Uchaguzi 2020 Kudhaminiwa na watu mil. 1 tu kwenye mikoa 10, kimsingi ni kwamba Magufuli na CCM yake wamekataliwa kabla ya wakati

Tangu enzi ya Nyerere wasukuma ni CCM tu na ndio maana hamueleweki kimaendeleo kwa kuwa mko chini ya CCM, ni mtaji wa CCM, ni mafala wa CCM iliyowafanya muwe wafu kifikra mpaka leo mpo na CCM iliyowabomoa mkabomoka kisawasawa

Mtapona soon
Nyie watu wa kaskazini mmesahau hata Jakaya mlivyokuwa mnafanyia fitina za ukanda na uchaga wenu? Wasukuma hawana ukabila ila wametapaka Tanzania nzima sababu ya kuwa ni kabila lenye idadi ya watu wengi.
 
Tangu enzi ya Nyerere wasukuma ni CCM tu na ndio maana hamueleweki kimaendeleo kwa kuwa mko chini ya CCM, ni mtaji wa CCM, ni mafala wa CCM iliyowafanya muwe wafu kifikra mpaka leo mpo na CCM iliyowabomoa mkabomoka kisawasawa

Mtapona soon
Njoo mwanza na Shinyanga uone watu walivyo na pesa. Yaani ardhi yote imejaa dhahabu na almasi alafu tuwe choka mbaya?
 
Ngoja tuone Tundu Lissu atadhaminiwa na wangapi.
Inawezekana hujajua maana ya udhamini .Na nadhani hii ni elimu ambayo wana chadema wanatakiwa wapewe kwa taratibu mpaka waelewe kwani wajinga kwao ni wengi mno.Hivi ulitaka wana CCM wote watoke wakamdhamini mgombea ilihali utaratibu unafahamika ? Siku ya kupiga kura ndiyo inayosubiriwa na wana CCM wote kwenda kumpigia mgombea wao aliyepitishwa kwa utaratibu uliokubalika.
Tunaelewa chadema kwa sasa mumechanganyikiwa na hamna pakushika.Magufuli amewadhibilti LEFT,RIGHT & CENTRE kwa hiyo mnakimbilia kwenye 'non issues' ambazo hazina mantiki.Kwa mfano swala la udhamini.Kwa ushauri,mmeshashindwa hebu jaribuni tena mbinu nyingine ili mrudi kwenye siasa ingawaje najua itawachukua sio chini ya miaka saba kurudi kama mlivyokuwa.
 
Naona unawafariji watu, sioni mtu wa kushindana na JPM na kuuchukua urais. Kaeni.mkielewa hivyo na muendelee na shuhuli zingine za ujenzi wa taifa lenu.
 
Mlishabomoa matembe yote? Unaamini kuwa hiyo dhahabu ni yenu pole sana maana mpango wa CCM ulikuwa hivi iwanyime elimu ndipo iwatawale vizuri mpango huo umefaulu, hamna elimu huku mnaimba mapambio eti mna dhahabu na almas changu wa malunde mzima kwenye hiyo kichwa yako?

Chenge kawaroga hadi mnashobokea zawadi zake za chumvi ya mawe mnashangilia mzee wa vijisenti yeye anaishi kwenye ghorofa Dar nyie mnalala na mifugo huko shimiyu

Damn!! 🤣
Njoo mwanza na Shinyanga uone watu walivyo na pesa. Yaani ardhi yote imejaa dhahabu na almasi alafu tuwe choka mbaya?
 
Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana.

DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa CCM ni milioni 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa.

Mwisho wa CCM bila shaka yoyote umefika rasmi.

Pia soma > Uchaguzi 2020 - Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

Uhenda ukawa sahihi ila umesahau kuwa hao mil 5 wa dar si wote wna CCM wapo wenye vyana na wasio na vyama,hapa wanaodhamini ni wanachama hai
Na udhamini ni kuanzia watu 250 tu,kwa hiyo hakukuwa na haja kuja na wadhamini sawa na idadi ya wananchi wa Tanzania eti kuleta hoja ya kufanya watu waamini anakubalika☺☺
Mkuu kukubalika au kukataliwa ni october ,huu uliofanyika ni mchakato wa ndani ya chama tuuu,unafeli wapi kamanda mtiifu? Subiri October 2020,afu uje hapa
 
Unafahamu sifa ya kuwa mdhamini ndani ya CCM? Au unadhani ni kila mswahili anadhamini?
 
Uhenda ukawa sahihi ila umesahau kuwa hao mil 5 wa dar si wote wna CCM wapo wenye vyana na wasio na vyama,hapa wanaodhamini ni wanachama hai
Na udhamini ni kuanzia watu 250 tu,kwa hiyo hakukuwa na haja kuja na wadhamini sawa na idadi ya wananchi wa Tanzania eti kuleta hoja ya kufanya watu waamini anakubalika☺☺
Mkuu kukubalika au kukataliwa ni october ,huu uliofanyika ni mchakato wa ndani ya chama tuuu,unafeli wapi kamanda mtiifu? Subiri October 2020,afu uje hapa
Majibu tosha kabisa umempa mpotoshaji.
 
Maana yake kila mkoa anadhaminiwa na watu laki1.
 
Mlishabomoa matembe yote? Unaamini kuwa hiyo dhahabu ni yenu pole sana maana mpango wa CCM ulikuwa hivi iwanyime elimu ndipo iwatawale vizuri mpango huo umefaulu, hamna elimu huku mnaimba mapambio eti mna dhahabu na almas changu wa malunde mzima kwenye hiyo kichwa yako?

Chenge kawaroga hadi mnashobokea zawadi zake za chumvi ya mawe mnashangilia mzee wa vijisenti yeye anaishi kwenye ghorofa Dar nyie mnalala na mifugo huko shimiyu

Damn!! 🤣
Unahubiri habari za kusikia tu. Njoo uone kwa macho yako. Kwani nyie huko Dar wote mnakaa Masaki? Wengine si mmejirundika vingunguti na Tandika. Bora hata huku kwetu maisha mazuri kabisa.
 
Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana.

DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa CCM ni milioni 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa.

Mwisho wa CCM bila shaka yoyote umefika rasmi.

Pia soma > Uchaguzi 2020 - Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM
Lowassa alizikataa kura zingine lakini leo hakuna anayemkumbuka hata mmoja, hawa ni watafuta vyeo
 
Nilikuwa sifahamu Kama na wewe huwa Ni bwabwajaji namna hii, hivi Kama chadema pekee inawachama 11M Si uchaguzi wa 2015 wangeshinda asubuhi tu Tena kwa umoja wa ukawa kabisa?
Lowassa asingeweza kuishia kura 6M.

CCM yenyewe inayotambulika kuwa na wanachama wengi, wenye kadi za Chama hawafiki 11M sembuse hivi vikundi vidogovidogo vya upinzani?
Lowassa alipata zaidi ya kura mil 10

angalia hawa wanachokifanya
2332550_matokeo_uchaguzi_3.jpg
 
Hizi darasani ulikuwa unashika namba ipi kuwa muelewa miye naongelea nguvu na power aliyokuwa nayo JK katika chama kipindi Lowasa anasumbua JK alikuwa na uwezo wakufanya chochote kumtuliza tu Lowasa ila alimuacha mpaka wakafika kwenye upigaji kura ndani ya chama ndio akaonyesha JK nani

wewe unalitea habari za kwani kikwete alikuwa mgombea vipi ebu elewa nachosema

Ebu nikuulize anachofanya magu kwa membe kisa nini nguvu na power aliyonayo ndani ya chama au kisa ni mgombea ukipata jibu ndio utaelewa nazungumzia nini

Kwanini kina makamba Jr kina nape waneufyata kisa nini magu mgombea au nguvu aliyonayo na maamuzi yake yasiyoeleweka
Huijui CCM, aliyepambana na Lowassa alikuwa Mkapa baada ya JK kumuachia uwenyekiti. Nakueleza kitu ambacho sikusimuliwa. Nani ana command kubwa hata kesho katika CCM hata kesho kati ya JPM na JK? Huwezi kumlinganisha JPM na Kikwete. Hapa Tanzania JPM analinganishwa na Nyerere tu
 
Tangu enzi ya Nyerere wasukuma ni CCM tu na ndio maana hamueleweki kimaendeleo kwa kuwa mko chini ya CCM, ni mtaji wa CCM, ni mafala wa CCM iliyowafanya muwe wafu kifikra mpaka leo mpo na CCM iliyowabomoa mkabomoka kisawasawa

Mtapona soon
Acha ujinga ww wasukuma ni matajiri na ndio maana si wachoyo ukifika usukumani utakutana na ukarimu wa hali ya juu utakula, utakunywa maziwa, mtu anayekunywa maziwa jug moja kwa siku mafuta ya kutosha ya samli ana ng'ombe 5000+ ana watoto 60+ ana mashamba hektas 300+ unamuitaje maskini ww kuwa na mindset za kudanganywa
 
Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana.

DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa CCM ni milioni 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa.

Mwisho wa CCM bila shaka yoyote umefika rasmi.

Pia soma > Uchaguzi 2020 - Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM
Bila bao la mkono itakuwa shida sana kwa ccm kama kawaida ya uchaguzi mkuu.
 
Mods tuondoleeni huu upupu maana naona hoja ya jamaa kila mtu ameikataa. Tumekubaliana jamaa kakurupuka na hakujipa muda wa kufikiri kabla ya kuja na huu utoto jukwaani
 
Back
Top Bottom