Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #81
Mungu akupige laana ya milele wewe na uzao wakoWw wakala wa shetani utaomba poo tu magufuli ni malaika ameshushwa kutoka mbinguni ukimdhihaki unapigwa mapigo makali na utalaaniwA tunamhitaji kwa miaka 20+
Kwi Kwi KwiMods tuondoleeni huu upupu maana naona hoja ya jamaa kila mtu ameikataa. Tumekubaliana jamaa kakurupuka na hakujipa muda wa kufikiri kabla ya kuja na huu utoto jukwaani
Labda wanachama wanywa Konyagi na wavuta bangi.
Ww umepigwa laana ya upofu na umasikini tafuta njia mbadala ya kukuingizia kipato siasa hailipi tena kalime hata sukuma wiki na ufuge paka au panya itakusaidiaMungu akupige laana ya milele wewe na uzao wako
wanautapiamlo wa akili hawa manyumbu.Mbona unahangaika mzee shida nini?
Mkuu wangu sikuwezi maana hata hueleweki.
Unless you are quoting or writing conversation, you would not put a question mark in the middle of a sentence or a compound sentence as you have written.Na wewe kwanini umeweka alama ya ulizo katikati ya sentensi,hujui ni sawa na ukurupukaji ?
Mliwahesabia wapi? Au mwamba ndo kawaambia.Chadema ina wanachama mil11 na laki 7
Msamehe mpare wa Ugweno bwana Idd πππ. Maskini wa-tz wengi bado kuunda sentensi na matumizi ya punctuation marks ni tatizo. Blames be to CCM.Unless you are quoting or writing conversation, you would not put a question mark in the middle of a sentence or a compound sentence as you have written.
Wewe na wenzako Ndutulyama KIGENE mr chopa stakehigh , vilaza mliosapoti Urumqi...shule ya kata mumeenda kusomea ujinga? Viazi kabisa.π€¦πΎββοΈ
Kwani alitakiwa adhaminiwe na watu wangapi mkuu? Au tupe basi reference ya waliopita ilikuwaje! Huh!?Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana.
DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil. 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa CCM ni milioni 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa.
Mwisho wa CCM bila shaka yoyote umefika rasmi.
Pia soma > Uchaguzi 2020 - Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM
siyo tu kwamba huniwezi tu , bali pia hujui kitu , nimekuwekea hadi picha za masaki ( chumba maalum ) cha bao la mkono chini ya january na kinana lakini bado hujaelewaMkuu wangu sikuwezi maana hata hueleweki.
WeweKwani nani anatania?
Sitanii.Wewe
Kumbe ni Mpare wa Ugweno! Hahaha! Hiyo bow tie yake tu utajuwa.Msamehe mpare wa Ugweno bwana Idd πππ. Maskini wa-tz wengi bado kuunda sentensi na matumizi ya punctuation marks ni tatizo. Blames be to CCM.
Magufuli anavyopenda sifa angetaka adhaminiwe na wananchi wote , lakini amekwama .Hii ni hatua ya udhamini bado hatujafikia uchaguzi mkuu kamanda.
Niulize tu, kwani udhamini ni kwa kila mtu au wanachama wao?Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana.
DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil. 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa CCM ni milioni 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa.
Mwisho wa CCM bila shaka yoyote umefika rasmi.
Pia soma > Uchaguzi 2020 - Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM
Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana.
DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil. 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa CCM ni milioni 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa.
Mwisho wa CCM bila shaka yoyote umefika rasmi.
Pia soma > Uchaguzi 2020 - Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM
wewe haujioni unavyohangaika?Mbona unahangaika mzee shida nini?