Uchaguzi 2020 Kudhaminiwa na watu mil. 1 tu kwenye mikoa 10, kimsingi ni kwamba Magufuli na CCM yake wamekataliwa kabla ya wakati

Na wewe kwanini umeweka alama ya ulizo katikati ya sentensi,hujui ni sawa na ukurupukaji ?
Unless you are quoting or writing conversation, you would not put a question mark in the middle of a sentence or a compound sentence as you have written.

Wewe na wenzako Ndutulyama KIGENE mr chopa stakehigh , vilaza mliosapoti na kutoa likes...shule ya kata mumeenda kusomea ujinga? Viazi kabisa.🤦🏾‍♂️
 
Unless you are quoting or writing conversation, you would not put a question mark in the middle of a sentence or a compound sentence as you have written.

Wewe na wenzako Ndutulyama KIGENE mr chopa stakehigh , vilaza mliosapoti Urumqi...shule ya kata mumeenda kusomea ujinga? Viazi kabisa.🤦🏾‍♂️
Msamehe mpare wa Ugweno bwana Idd 😂😂😂. Maskini wa-tz wengi bado kuunda sentensi na matumizi ya punctuation marks ni tatizo. Blames be to CCM.
 
Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana.

DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil. 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa CCM ni milioni 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa.

Mwisho wa CCM bila shaka yoyote umefika rasmi.

Pia soma > Uchaguzi 2020 - Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM
Kwani alitakiwa adhaminiwe na watu wangapi mkuu? Au tupe basi reference ya waliopita ilikuwaje! Huh!?
 
Kabisa! Kama wanachama wa CCM wako karibia milioni 11,lakini waliomdhamini ni 10% huenda hata CCM wamemchoka.
Na huenda hizo ndizo kura atakazopata wakati wa Uchaguzi.
 
Mkuu wangu sikuwezi maana hata hueleweki.
siyo tu kwamba huniwezi tu , bali pia hujui kitu , nimekuwekea hadi picha za masaki ( chumba maalum ) cha bao la mkono chini ya january na kinana lakini bado hujaelewa
 
Hii ni hatua ya udhamini bado hatujafikia uchaguzi mkuu kamanda.
 
Msamehe mpare wa Ugweno bwana Idd 😂😂😂. Maskini wa-tz wengi bado kuunda sentensi na matumizi ya punctuation marks ni tatizo. Blames be to CCM.
Kumbe ni Mpare wa Ugweno! Hahaha! Hiyo bow tie yake tu utajuwa.
 
Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana.

DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil. 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa CCM ni milioni 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa.

Mwisho wa CCM bila shaka yoyote umefika rasmi.

Pia soma > Uchaguzi 2020 - Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM
Niulize tu, kwani udhamini ni kwa kila mtu au wanachama wao?
 
Kama Rais wa nchi anapata wadhamini wachache kiasi hicho basi hii ni dalili mbaya sana.

DSM pekee inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya mil 5 na bila shaka yaweza kuwa na watu wazima ( kwa maana ya wapiga kura ) zaidi ya mil. 2 unusu, sasa ikiwa hawa na wa mikoa mingine 9 waliomdhamini Mgombea pekee wa CCM ni milioni 1 tu hii ni ishara ya Magufuli kukataliwa.

Mwisho wa CCM bila shaka yoyote umefika rasmi.

Pia soma > Uchaguzi 2020 - Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

Mnalinganisha na 1.8 m waliomdhamimi lowassa
Wanasema wale walipewa pesa
 
Back
Top Bottom