kibangubangu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 272
- 353
- Thread starter
- #21
😄🤪Kutafuta attention tu mleta mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄🤪Kutafuta attention tu mleta mada
Sasa ndo ushindwe kupinga hoja kwa hoja kabisa???😄Kutafuta attention tu mleta mada
Amejichanganya kwenye masamaki wakati yeye hapo ni kiluwiluwiPunguza hasira kijana hakuna aliyekulazimisha kuoa 30+ 😂 endelea kujifariji
Uzi wa kutoa matumaini.Punguza hasira kijana hakuna aliyekulazimisha kuoa 30+ 😂 endelea kujifariji
Mpaka uko sahihiMtu yoyote anakuwa sokoni wakati wowote, ni kutaka au kutotaka tu. Tunaona wanawake aged, wapo 40s na wanakutana na wanaume wa kuwaoa bila shida.
Kijana yupo 30s hawezi kuelewa kwamba kila rika lina favoutes wake, sisi tulio 40s na 50s kama kweli unataka kusettle na mtu mature huwezi kukimbilia binti wa 20s, lazima utafute mtu wa 30s na 40s muanzishe mahusiano.
na hapa pia ni kweli umeongeaHii dhana kwamba kuna umri watu wanakosa soko haina mashiko, kila age group ina watu wao.
Hapa umetudanganyaKwani mwanamke wa 40s anawahitaji vijana wa 20s na 30s? Yeye anahitaji mtu mature, 40s na 50s huko. Tuache "kubagaza" wanawake kwa hoja dhaifu.
Labda katika mtazamo wa kigeni,nazungumzia mtizamo wa mtu wa Ukerewe,Bukoba,au kule tandaiva au bagamoyo...temeke,mwananyamala au chanikaMtu yoyote anakuwa sokoni wakati wowote, ni kutaka au kutotaka tu. Tunaona wanawake aged, wapo 40s na wanakutana na wanaume wa kuwaoa bila shida.
Kijana yupo 30s hawezi kuelewa kwamba kila rika lina favoutes wake, sisi tulio 40s na 50s kama kweli unataka kusettle na mtu mature huwezi kukimbilia binti wa 20s, lazima utafute mtu wa 30s na 40s muanzishe mahusiano.
Hii dhana kwamba kuna umri watu wanakosa soko haina mashiko, kila age group ina watu wao. Kwani mwanamke wa 40s anawahitaji vijana wa 20s na 30s? Yeye anahitaji mtu mature, 40s na 50s huko. Tuache "kubagaza" wanawake kwa hoja dhaifu.
Mi hata sina hoja mkuu, nisije nikalia bure hapaSasa ndo ushindwe kupinga hoja kwa hoja kabisa???😄
Daah kumbe ww ni over 30 usie na ndoa, manawaneUzi bora toka mwaka umeanza 😻😻
Tatizo kuna kunguni zinajua wanawake wanahusudu kufua viboksa vyao vilivyotoboka, kumbe tunawachora tu..!! 😹🤣🤣
Hii inanikumbusha kitu,anyaway kuna watu hata Africa wana mlengo wa kimantiki wa kutetea maslai ya nchi flani...We ni mwanamke?
Hii inanikumbusha kitu,anyaway kuna watu hata Africa wana mlengo wa kimantiki wa kutetea maslai ya nchi flani...
mfano nchi yako inaweza kuwa inatetea maslai ya nchi flani je nchi yako ni nchi hiyo😄😄😄
Unjinga unaanza pale kudhani ukitaka mtoto ni kushiriki tendo la kuzaliana na mwanamke asiye na kinga ya uzazi...Kama wewe ni Mwanaume utakuwa ni mpumbavu sana, tena ni Mjinga, mwanamke akipita 30 Hana mtoto na hajawahi Kuwa na mtoto, is already negative!
Mda mzuri wa mwanamke kuanza kuchukulia serious issue ya ndoa ni 25 na akipita 30 ajaolewa ni changamoto kubwa sana!
Hakuna mtu kakukataza kumuoa huyo Mbibi; ila usituvute kuku support kwenye ujinga wako! Mtu kaanza kulalwa ana miaka 16, ungoje tena 14 miningine atakuwa na ma X 120!
Kama unapinga hili wewe huna na mimi sina AKILI😄🤪Akili huna, umejibu ulichoulizwa? Nani kauliza kuhusu nchi!