Kudhani wanawake waliofikisha miaka 30 bila kuolewa ni wanawake ambao wamekosa soko ni upumbavu wa hali ya juu...!Njoo and listen to me Matured MAN!

Mtu yoyote anakuwa sokoni wakati wowote, ni kutaka au kutotaka tu. Tunaona wanawake aged, wapo 40s na wanakutana na wanaume wa kuwaoa bila shida.

Kijana yupo 30s hawezi kuelewa kwamba kila rika lina favoutes wake, sisi tulio 40s na 50s kama kweli unataka kusettle na mtu mature huwezi kukimbilia binti wa 20s, lazima utafute mtu wa 30s na 40s muanzishe mahusiano.

Hii dhana kwamba kuna umri watu wanakosa soko haina mashiko, kila age group ina watu wao. Kwani mwanamke wa 40s anawahitaji vijana wa 20s na 30s? Yeye anahitaji mtu mature, 40s na 50s huko. Tuache "kubagaza" wanawake kwa hoja dhaifu.
 
Nasikia wanawake wakifika 35 ndiyo wanakuwa kwenye peak ya utam wao.
KIjana unayetaka kuoa usiangalie umri utakosa vitu vingi sana..
 
Mtu yoyote anakuwa sokoni wakati wowote, ni kutaka au kutotaka tu. Tunaona wanawake aged, wapo 40s na wanakutana na wanaume wa kuwaoa bila shida.

Kijana yupo 30s hawezi kuelewa kwamba kila rika lina favoutes wake, sisi tulio 40s na 50s kama kweli unataka kusettle na mtu mature huwezi kukimbilia binti wa 20s, lazima utafute mtu wa 30s na 40s muanzishe mahusiano.
Mpaka uko sahihi
Hii dhana kwamba kuna umri watu wanakosa soko haina mashiko, kila age group ina watu wao.
na hapa pia ni kweli umeongea
Kwani mwanamke wa 40s anawahitaji vijana wa 20s na 30s? Yeye anahitaji mtu mature, 40s na 50s huko. Tuache "kubagaza" wanawake kwa hoja dhaifu.
Hapa umetudanganya
 
Mtu yoyote anakuwa sokoni wakati wowote, ni kutaka au kutotaka tu. Tunaona wanawake aged, wapo 40s na wanakutana na wanaume wa kuwaoa bila shida.

Kijana yupo 30s hawezi kuelewa kwamba kila rika lina favoutes wake, sisi tulio 40s na 50s kama kweli unataka kusettle na mtu mature huwezi kukimbilia binti wa 20s, lazima utafute mtu wa 30s na 40s muanzishe mahusiano.

Hii dhana kwamba kuna umri watu wanakosa soko haina mashiko, kila age group ina watu wao. Kwani mwanamke wa 40s anawahitaji vijana wa 20s na 30s? Yeye anahitaji mtu mature, 40s na 50s huko. Tuache "kubagaza" wanawake kwa hoja dhaifu.
Labda katika mtazamo wa kigeni,nazungumzia mtizamo wa mtu wa Ukerewe,Bukoba,au kule tandaiva au bagamoyo...temeke,mwananyamala au chanika

Settle there!
 
Kama wewe ni Mwanaume utakuwa ni mpumbavu sana, tena ni Mjinga, mwanamke akipita 30 Hana mtoto na hajawahi Kuwa na mtoto, is already negative!

Mda mzuri wa mwanamke kuanza kuchukulia serious issue ya ndoa ni 25 na akipita 30 ajaolewa ni changamoto kubwa sana!

Hakuna mtu kakukataza kumuoa huyo Mbibi; ila usituvute kuku support kwenye ujinga wako! Mtu kaanza kulalwa ana miaka 16, ungoje tena 14 miningine atakuwa na ma X 120!
 
tabia zako na za hao wanawake unaowazungumzia hakuna utofauti
 
Uzi bora toka mwaka umeanza 😻😻
Tatizo kuna kunguni zinajua wanawake wanahusudu kufua viboksa vyao vilivyotoboka, kumbe tunawachora tu..!! 😹🤣🤣
Daah kumbe ww ni over 30 usie na ndoa, manawane
 
We ni mwanamke?
Hii inanikumbusha kitu,anyaway kuna watu hata Africa wana mlengo wa kimantiki wa kutetea maslai ya nchi flani...

mfano nchi yako inaweza kuwa inatetea maslai ya nchi flani je nchi yako ni nchi hiyo😄😄😄
 
Akili huna, umejibu ulichoulizwa? Nani kauliza kuhusu nchi!
 
Kama wewe ni Mwanaume utakuwa ni mpumbavu sana, tena ni Mjinga, mwanamke akipita 30 Hana mtoto na hajawahi Kuwa na mtoto, is already negative!

Mda mzuri wa mwanamke kuanza kuchukulia serious issue ya ndoa ni 25 na akipita 30 ajaolewa ni changamoto kubwa sana!

Hakuna mtu kakukataza kumuoa huyo Mbibi; ila usituvute kuku support kwenye ujinga wako! Mtu kaanza kulalwa ana miaka 16, ungoje tena 14 miningine atakuwa na ma X 120!
Unjinga unaanza pale kudhani ukitaka mtoto ni kushiriki tendo la kuzaliana na mwanamke asiye na kinga ya uzazi...

Kuna watu wanafanya hivyo na hawana watoto hadi leo hebu kua basi
 
Hivi mwanaume mleta mada unapoandika habari za wanawake huwa unajisikiaje? Una hormones za kike au sikuelewi kwa kweli

Una shida mahali sio bure
 
Back
Top Bottom