Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Nakuzaa huku napiga deki shauri yako 😹😹😹Daah kumbe ww ni over 30 usie na ndoa, manawane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuzaa huku napiga deki shauri yako 😹😹😹Daah kumbe ww ni over 30 usie na ndoa, manawane
Hawa wanaponzwa sana na familia zao...familia ndo zinawaponza...Mzee Kibangubangu naunga mkono hoja yako ila kuna sababu muhimu hujasema... wengi wa hao wanawake wa 30+ enzi wakiwa kwenye 20s walikuwa wachaguzi sana na kuwakataa wanaume wengi waliokuwa serious. Mimi ni mhanga wa kukataliwa na wanawake kadhaa ambao kwa sasa wana krismasi chache kabla ya kugonga 40 bila ndoa. Kwa sasa wanahaha na kutamani siku zirudi nyuma wanikubalie. Kinachotokea kwa sasa hivi ni kuwa wanaume wengi wanapiga tu miti na kusepa bila kuwaoa. Kuoa mtu mwenye miaka 37 au zaidi inahitaji moyo kwa sababu sokoni kuna watoto wakali mno under 30 ambao pia wanaweza kukuzalia hata watoto watano tofauti na mwenye 35+.
😄😄😄😄☝️Kuna watu wana maneno ya laana😄😄🤪Nakuzaa huku napiga deki shauri yako 😹😹😹
Mkuu sijaandika ili kujionyesha nikoje. Nimetoa sababu nyingine muhimu kwanini wenye 30+ wamejikuta kwenye hiyo hali. Na mimi kwa sasa ninawakataa kwa sababu kama hawajawahi kuwa na hisia nami hawawezi kuwa na hisia nami kwa sasa.Sasa mkuu unashavuka 40 watoto watano wa nini 😁😁
Na kingine naomba kueleweshwa. Kwa nini wanaume tukibagua wanawake iwe kwa tabia, kimaumbile ama kiufahamu. Inakuwa ni sawa ila kwa wanawake wakibagua inakuwa ni shida
Je kwa situation yako huoni walivyokukataa walikuokoa maana ni bora kwa sasa wanapambana na fate zap kuliko wewe ungepambana na hisia zao
Duniani tungekua watu tunazaliwa mara mbili hizi pisi zungetukazia zaidi ya hapa🤪🤪Mkuu sijaandika ili kujionyesha nikoje. Nimetoa sababu nyingine muhimu kwanini wenye 30+ wamejikuta kwenye hiyo hali. Na mimi kwa sasa ninawakataa kwa sababu kama hawajawahi kuwa na hisia nami hawawezi kuwa na hisia nami kwa sasa.
Age go precious people...wewe bana age go hao.
Washatumika , wanauhakika gani hao watakao kuja watadumu nao
Kila kitu ni kamari.
Fo sure,for their being but not for the culture!Mwanamke yeyote anaweza kuolewa sijajua huko kwingine .Hapa mtaani wako wanawake 30+ ila bado wanaringa wala hawana ndoa kabisa.
But your big balls never take that. did you know that...Age as go as realy wife as Come...
Just take it🤪
Huyu demu Ana miaka 20 kazaliwa 2004 hivo ndio kanijibuMzee Kibangubangu naunga mkono hoja yako ila kuna sababu muhimu hujasema... wengi wa hao wanawake wa 30+ enzi wakiwa kwenye 20s walikuwa wachaguzi sana na kuwakataa wanaume wengi waliokuwa serious. Mimi ni mhanga wa kukataliwa na wanawake kadhaa ambao kwa sasa wana krismasi chache kabla ya kugonga 40 bila ndoa. Kwa sasa wanahaha na kutamani siku zirudi nyuma wanikubalie. Kinachotokea kwa sasa hivi ni kuwa wanaume wengi wanapiga tu miti na kusepa bila kuwaoa. Kuoa mtu mwenye miaka 37 au zaidi inahitaji moyo kwa sababu sokoni kuna watoto wakali mno under 30 ambao pia wanaweza kukuzalia hata watoto watano tofauti na mwenye 35+.
Familia mzee baba,trust me tuna mizoga mingi inazubaa kitaa kwa misimamo yao as because as family is Concerned...Huyu demu Ana miaka 20 kazaliwa 2004 hivo ndio kanijibu
Ni mtoto wa mwsho kwao alinambia kaka zake wa namuona bado mtoto kuolewa kwahyo wazazi wamempeleka degree akasomeeFamilia mzee baba,trust me tuna mizoga mingi inazubaa kitaa kwa misimamo yao as because as family is Concerned...
Japo hawezi kusemea msimamo wake umetoka wapi but trust me all of them familia inahusila...
Wanatazama nani kafanya nini na wao wafanye nn kuwafikiw wale...
Sasa hawajui kwma muda una tambaa...na itapasa waogope muda unao tambaa..
maana si muda wataonekana vibibi!
😂 hip hop eeOhi Ohi niaje jirani? 😹😹
Unajua mi hip hop nyingi sijui kubembeleza lazima muungwana yeyote achemke..!!
Kiajeeweeee😂 hip hop ee
Huyu ana krismas chache kabla ya kutiwa mimba.Huyu demu Ana miaka 20 kazaliwa 2004 hivo ndio kanijibu