Kudhani wanawake waliofikisha miaka 30 bila kuolewa ni wanawake ambao wamekosa soko ni upumbavu wa hali ya juu...!Njoo and listen to me Matured MAN!

Mzee Kibangubangu naunga mkono hoja yako ila kuna sababu muhimu hujasema... wengi wa hao wanawake wa 30+ enzi wakiwa kwenye 20s walikuwa wachaguzi sana na kuwakataa wanaume wengi waliokuwa serious. Mimi ni mhanga wa kukataliwa na wanawake kadhaa ambao kwa sasa wana krismasi chache kabla ya kugonga 40 bila ndoa. Kwa sasa wanahaha na kutamani siku zirudi nyuma wanikubalie. Kinachotokea kwa sasa hivi ni kuwa wanaume wengi wanapiga tu miti na kusepa bila kuwaoa. Kuoa mtu mwenye miaka 37 au zaidi inahitaji moyo kwa sababu sokoni kuna watoto wakali mno under 30 ambao pia wanaweza kukuzalia hata watoto watano tofauti na mwenye 35+.
Hawa wanaponzwa sana na familia zao...familia ndo zinawaponza...

wenyewe hua wanakuà realy ila huhitaji kukidhi matakwa ya familia!
 
Sasa mkuu unashavuka 40 watoto watano wa nini 😁😁

Na kingine naomba kueleweshwa. Kwa nini wanaume tukibagua wanawake iwe kwa tabia, kimaumbile ama kiufahamu. Inakuwa ni sawa ila kwa wanawake wakibagua inakuwa ni shida

Je kwa situation yako huoni walivyokukataa walikuokoa maana ni bora kwa sasa wanapambana na fate zap kuliko wewe ungepambana na hisia zao
Mkuu sijaandika ili kujionyesha nikoje. Nimetoa sababu nyingine muhimu kwanini wenye 30+ wamejikuta kwenye hiyo hali. Na mimi kwa sasa ninawakataa kwa sababu kama hawajawahi kuwa na hisia nami hawawezi kuwa na hisia nami kwa sasa.
 
Kuna watu leo wataingizwa matumboni upya na watapachuliwa upya Pachuuuuuu....🤪🤪🤪🤪
 
Mkuu sijaandika ili kujionyesha nikoje. Nimetoa sababu nyingine muhimu kwanini wenye 30+ wamejikuta kwenye hiyo hali. Na mimi kwa sasa ninawakataa kwa sababu kama hawajawahi kuwa na hisia nami hawawezi kuwa na hisia nami kwa sasa.
Duniani tungekua watu tunazaliwa mara mbili hizi pisi zungetukazia zaidi ya hapa🤪🤪
 
wewe bana age go hao.
Washatumika , wanauhakika gani hao watakao kuja watadumu nao
Kila kitu ni kamari.
 
Mzee Kibangubangu naunga mkono hoja yako ila kuna sababu muhimu hujasema... wengi wa hao wanawake wa 30+ enzi wakiwa kwenye 20s walikuwa wachaguzi sana na kuwakataa wanaume wengi waliokuwa serious. Mimi ni mhanga wa kukataliwa na wanawake kadhaa ambao kwa sasa wana krismasi chache kabla ya kugonga 40 bila ndoa. Kwa sasa wanahaha na kutamani siku zirudi nyuma wanikubalie. Kinachotokea kwa sasa hivi ni kuwa wanaume wengi wanapiga tu miti na kusepa bila kuwaoa. Kuoa mtu mwenye miaka 37 au zaidi inahitaji moyo kwa sababu sokoni kuna watoto wakali mno under 30 ambao pia wanaweza kukuzalia hata watoto watano tofauti na mwenye 35+.
Huyu demu Ana miaka 20 kazaliwa 2004 hivo ndio kanijibu
 
Attachments

  • Screenshot_20250209_163612.jpg
    Screenshot_20250209_163612.jpg
    413.2 KB · Views: 1
Huyu demu Ana miaka 20 kazaliwa 2004 hivo ndio kanijibu
Familia mzee baba,trust me tuna mizoga mingi inazubaa kitaa kwa misimamo yao as because as family is Concerned...

Japo hawezi kusemea msimamo wake umetoka wapi but trust me all of them familia inahusila...

Wanatazama nani kafanya nini na wao wafanye nn kuwafikiw wale...

Sasa hawajui kwma muda una tambaa...na itapasa waogope muda unao tambaa..

maana si muda wataonekana vibibi!
 
Ni mtoto wa mwsho kwao alinambia kaka zake wa namuona bado mtoto kuolewa kwahyo wazazi wamempeleka degree akasomee
 
Back
Top Bottom