Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Mkuu hebu twende taratibu, huenda kuna habari zimenipita jana na leo. Kuna kiongozi wa upinzani aliyetoa kauli ya kupingana na ya mkuu wa nchi kuhusu matumizi ya mask?... Mfano Mkuu wa nchi anaesema tutumie mask ambazo tunao uhakika wa usalama wake kiafya, hii imekuwa kama hoja kwa upinzani na wafuasi wake. Je hii itawabeba?