Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wahuni kama mazeri wako?!.Chadema na wapinzani wengine ni wahuni tu
Na condom zinazoingizwa nchini nazo zina virusi? Kama kuna njama basi ingeanzia kwa condom maana ni kwa mamilioni na zimegawiwa bure na kuuzwa. Sasa walishindwa ndipo wamedandia kondomu?Mleta mada una PhD ya upumbavu.
Izo masks huyu mjinga mwenzio anazo sema zina corona kwani ndo mara ya Kwanzaa kuingia Tz. Tengenezeni za kwenu kama mmnauwezo huo.
Labda kama inasema jiwe kwa nyuma😁😁😁😁😁Wana JF, hii kasumba ya wanasiasa wa upinzani kuwa wanasubiri majanga au kadhia flani itokee alafu wao wanufaike kisiasa ni kukosa busara za kisiasa.
Sasa hivi kila mwanasiasa wa upinzani amekomaa kuikosoa serikali ya Ccm bila hata kuwa na hoja zenye mashiko.
Mfano Mkuu wa nchi anaesema tutumie mask ambazo tunao uhakika wa usalama wake kiafya, hii imekuwa kama hoja kwa upinzani na wafuasi wake. Je, hii itawabeba?
Achana na hilo, bado wapinzani walitaka kupata kick ya kisiasa kutaka kuaminisha umma na jumuia ya kimataifa kuwa serikali haijachukua hatua madhubuti kupambana na jaga la covid 19. Jambo ambalo kiuhalisia sio kweli. Mlitaka hatua zipi zichukuliwe ili muone serikali inapambana na janga hili? Maana zipo taratibu za kupambana na haya majanga na ni lazima kiwango cha hatari kijulikane.
My take; Tusidhanie kuwa Covid 19 itakuwa mtaji wa kisiasa. Kama Watanzania tuonyeshe umoja kupambana na hili janga.
Kutoka general hospital dodoma watu wanakufa kwa makumi kwenye kodi. Sababu wamekosa oxygen. Madaktari hawana vifaa Tiba sababu serikali haijanunu?Wana JF, hii kasumba ya wanasiasa wa upinzani kuwa wanasubiri majanga au kadhia flani itokee alafu wao wanufaike kisiasa ni kukosa busara za kisiasa.
Sasa hivi kila mwanasiasa wa upinzani amekomaa kuikosoa serikali ya Ccm bila hata kuwa na hoja zenye mashiko.
Mfano Mkuu wa nchi anaesema tutumie mask ambazo tunao uhakika wa usalama wake kiafya, hii imekuwa kama hoja kwa upinzani na wafuasi wake. Je, hii itawabeba?
Achana na hilo, bado wapinzani walitaka kupata kick ya kisiasa kutaka kuaminisha umma na jumuia ya kimataifa kuwa serikali haijachukua hatua madhubuti kupambana na jaga la covid 19. Jambo ambalo kiuhalisia sio kweli. Mlitaka hatua zipi zichukuliwe ili muone serikali inapambana na janga hili? Maana zipo taratibu za kupambana na haya majanga na ni lazima kiwango cha hatari kijulikane.
My take; Tusidhanie kuwa Covid 19 itakuwa mtaji wa kisiasa. Kama Watanzania tuonyeshe umoja kupambana na hili janga.
Utawabeba sasa?
Mtapata kick ya kisiasa?Kutoka general hospital dodoma watu wanakufa kwa makumi kwenye kodi. Sababu wamekosa oxygen. Madaktari hawana vifaa Tiba sababu serikali haijanunu?
In life every human being is a political animal.
Unafikiri siasa ni kuiba kura tu???
Ili wakutoe kimaisha, ndio maana unaishia kuanzisha vijimada uchwara vya siasaKujikomba ili iweje?
Na condom zinazoingizwa nchini nazo zina virusi? Kama kuna njama basi ingeanzia kwa condom maana ni kwa mamilioni na zimegawiwa bure na kuuzwa. Sasa walishindwa ndipo wamedandia kondomu?
Sasa kiki ya nini wewe UVCCM ?Mtapata kick ya kisiasa?
Every human being is a political animal. Ni Tanzania tu unakuta kuna mipaka. Yaani hata mwanafunzi anasoma POLITICAL SCIENCE anaambiwa asijihusishe na siasa. Na wananchi hawaruhusiwi kabisa kujadili mambo kinyume na fikra za mwenyekiti.Mtapata kick ya kisiasa?
Bora anayetegemea siasa kuishi kuliko anayetegemea upumbavu kuishi kama weweWakishanitoa? Kwani sasa sijatoka kivyangu? Unadhani wewe kukosa ubunge ndio udhanie kila mtu anategemea siasa kuishi?
Tumia akili we kidampa. Ishu sio kujihusisha na siasa.Je kutumia Covid 19 kama janja ya kupata kick kisiasa itakusaidia wewe na mabwana zako?Every human being is a political animal. Ni Tanzania tu unakuta kuna mipaka. Yaani hata mwanafunzi anasoma POLITICAL SCIENCE anaambiwa asijihusishe na siasa. Na wananchi hawaruhusiwi kabisa kujadili mambo kinyume na fikra za mwenyekiti.
Huyu anaeanzisha hivi vijimaneno ni muumini wa fikra za mwenyekiti zidumu. Wengi wetu ushatoka huko
Wewe ni mwehu, Wapinzani hawana mamlaka, hawana media, hawaruhusiwi kuongea chochote mahali popote, hawajawahi kupewa mimbara Ibadani wahubiri. Ni Wapinzani gani unaowasemea hapa? Au unaizungumzia CCM? Akili zitawakaa sawa soonWana JF, hii kasumba ya wanasiasa wa upinzani kuwa wanasubiri majanga au kadhia flani itokee alafu wao wanufaike kisiasa ni kukosa busara za kisiasa.
Sasa hivi kila mwanasiasa wa upinzani amekomaa kuikosoa serikali ya Ccm bila hata kuwa na hoja zenye mashiko.
Mfano Mkuu wa nchi anaesema tutumie mask ambazo tunao uhakika wa usalama wake kiafya, hii imekuwa kama hoja kwa upinzani na wafuasi wake. Je, hii itawabeba?
Achana na hilo, bado wapinzani walitaka kupata kick ya kisiasa kutaka kuaminisha umma na jumuia ya kimataifa kuwa serikali haijachukua hatua madhubuti kupambana na jaga la covid 19. Jambo ambalo kiuhalisia sio kweli. Mlitaka hatua zipi zichukuliwe ili muone serikali inapambana na janga hili? Maana zipo taratibu za kupambana na haya majanga na ni lazima kiwango cha hatari kijulikane.
My take; Tusidhanie kuwa Covid 19 itakuwa mtaji wa kisiasa. Kama Watanzania tuonyeshe umoja kupambana na hili janga.
Mm sijasomea ubunge ila sijui wewe ulisoma nini ?Huyu bwege alikosa ubunge amebaki kulia kama demu amepigwa mashine alafu hajalipwa. Wewe na yeye mmejaa makamasi kichwani. Muulize lazima awe mbunge?
Wakishanitoa? Kwani sasa sijatoka kivyangu? Unadhani wewe kukosa ubunge ndio udhanie kila mtu anategemea siasa kuishi?