mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
lissu kashuka airport anakuta wafuasi wake mbali na kumsiliza lakini hawana barakoa,kucheki taifa watu hawana barakoa wanamuaga mzee mkapa,kufika ufipani ndio kabisaa hata sanityzer hakuna[emoji23][emoji23],akaona aaaaaagh sivai namimi bana liwalo na liwe,na halikutokea lolote,maisha yakaendelea.Walitabiri kutakuwa na maiti mtaani zikidondoka ... lakini wapi !! Tuna njia zetu za asili kupambana na hivi vitu wamuulize lissu .. tuna dawa ya NIMR ile NIMRCAF kuna kujifukiza na yale majani ... kuna mchanganyiko wa tangawizi ... kwa ufupi sisi ndio wataalam wao watulie tu wajifungie sisi milango ipo wazi
ila kwa sababu tu fulani mtu anaendelea kuimba huo wimbo akitamani kitu,ila haiwezekani kutokea.