fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,809
- 8,032
Imekuaje tumetajwa sisi na drc peke yetu wakati sa ndio mhusika wa hii variant strain ya covid 19?Issue siyo Coronavirus tena, ni variant ya Coronavirus.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekuaje tumetajwa sisi na drc peke yetu wakati sa ndio mhusika wa hii variant strain ya covid 19?Issue siyo Coronavirus tena, ni variant ya Coronavirus.
Kwambe hichi chetu ni OGIssue siyo Coronavirus tena, ni variant ya Coronavirus.
With all due respect,Rais Magufuli aendelee kuwa makini na the way analihandle suala la covid.
Kweli ni ugonjwa ila mimi naona ndani yake wameingiza agenda nyingine ambazo tukikubali watupelekeshe,tutaicheza ngoma yao ya kuona faida hapa mwanzoni ila baadae we will find ourselves rotten in their cage.
Na haya mambo wanayapeleka kwa phase.
Lakini kinachonisumbua hata usipokubaliana nao watahakikisha wanakuharibia na kukutia umaskini.
Kuna mtu aliwahi kuonya kwamba resistance ambayo mwili ya waafrika imeonyesha kwa covid unaweza shangaa kunaibuka kirusi kingine kinachoweza kubypass kinga yetu tukaumizwa zaidi..and there it is in South Africa!
Inabidi wale wote wanaoelewa mini kinaendelea chinichini duniani na hawapendi washikamane ndio njia pekee kukabili this mighty dark force ambayo some of us tunatambua inakotaka kutupeleka na hatukubaliani na hili.
In this matter,I stand with the President.
Hii taarifa inapingana na idea za watoto wa "vidudu" labda ikiwa lugha hapa inakupigia chenga hapo utakuwa mtoto mchanga kutoka mtoto wa viduduKucheckiwa hapa ??
Hatuwezi kuaminika tena kwenye suala hilo maana ilishaonekana hatuko serious.
Endeleza "utoto" naona unapenda maziwaHujui chochote kuhusiana na mutation ya virus. Variant kusemwa ni ya South Africa sio lazima ilianzia huko! Angalau huko wanapima! Sisi huku vipi? Mutations hazina mipaka!!! UK sio wajinga, tuendelea kufurahia yaani. Ni utamu tu yaani.
(Warundi wahead nyie. Msitake kutufanya sote tu mazuzu wa kumshabikia Mrundi.)"Wengi tumeipata na tumevuka." Hayo ni maneno yako.
Sina hakika kama waliotangulia au jamaa zao wanaweza kuwa na kauli fyongo kama hiyo. Wako wapi wale wabunge, yule mstaafu na wengi wengine achilia mbali wasiokuwa na majina makubwa makubwa nao kuwa habari?
Aliyesema "usipoziba ufa utajenga ukuta" hakuwa mjinga kihivyo.
Kwamba Agha Khan wana tiba? Kwani hawazijui medical journal zinazoshughulika na taarifa nyeti kwa afya ya dunia na kwenye dharura kama hii?
Warundi wahead nyie. Msitake kutufanya sote tu mazuzu wa kumshabikia Mrundi mwenzenu kijinga jinga tu hata kama tunaopukitika ni sisi.
Hata hivyo mola wetu ni mkubwa na tulipo yetu macho. Wako wapi kina Nkurinziza?
Eeh mola wetu na ukatudhihirishie ukuu wako dhidi ya miungu watu hawa wanaojitanua na kutelekezea watu wako gonjwa linaowapukutisha hali lingeweza kuepukika. Na ikawe fundisho kuwa kwa hakika hayupo aliye mkuu Ila wewe.
Kwani umekufa au bado?
kama unaogopa kufa ondoka tz kwanza mpaka siku wakitangaza hao unaowaaamini kuwa hakuna corona ndo urudi.
Unapiga kerere kwenye keyboard huku hujavaa barakoa na wala hunawi mikono na kukaa distance hata kujifungia ndani hutaki ila unataka waseme kuna corona ndo ufurahi.
Jinga kabisa, ungekua na maana kama unge vaa hata barakoa tu.
Watoto maambukizi wanapata na kupona fasta huna haja ya kuwa worried i work with them.Sky Eclat ni kweli tahadhari ni bora kuliko tiba.
Ila mimi nikiwaza hawa watoto wetu wadogo mashuleni huko, naendelea kumtanguliza Mungu kwakweli
Sisi wenyewe hatuwezi
(Warundi wahead nyie. Msitake kutufanya sote tu mazuzu wa kumshabikia Mrundi.)
Unamuita Rais Mrundi we fu*kn rasist?
Kwanza,warundi si binadamu kama wewe.
Hivi we mpuuzi, gorilla mmoja hivi unapata wapi mamlaka ya kutuambia rais tuliyemchagua ni Mrundi?
Utafikiwa ulipo utoe uthibitisho nyau we.
Watoto maambukizi wanapata na kupona fasta huna haja ya kuwa worried i work with them.
My Vaccination in 2 weeks 😊
💩Wewe ni paka nyau kabisa aka kimbulu pori.
Kumbe rais ni Mrundi kama ulivyo sema wewe? Asante kwa taarifa.
Baada ya hapo si haba kukuitisha usitufokee wala kututisha mbuzi wewe.
Povu limekujaa mpaka mgongoni. Kwani hata unahitaji kununua sabuni? Nenda kafulie hilo kabla halija kukauka.
Idiot!
Chanjo ndio imetoka. Nchi nyingi hata bado hawaja fanikiwa ku vaccinate 10 percent ya population yao.Si kuna chanjo?
Hizi nchi wanafanya maamuzi yao kutokana na research data. Hawaangali mtu mmoja mmoja bali majority.Je, kama ume-test negative?
Madhumuni ya Lockdown ni kwa ajili ya ku slow infection spread ili na sio kumaliza infection.Kwa mawazo finyu unaweza kufikiri lockdown ni solution. Mbona haijesha huko Ulaya na Marekani? Hivi unajua kuwa wengi tumeipata na tumevuka? Siamini kupigana na zimwi lisiloonekana bali kujizatiti tu.
Aga Khan ni hospital na sio pharmaceutical au biotechnology firm. Hawausiki na kuvumbua dawa na hata hawana kibali hicho.Aga Khan hospital has reportedly developed a special formula for the treatment of Covid-
Huelewi kijana, wao wana mchanganyiko ambao unatibu. Sijasema waketengeneza dawa. Think and read outside your sphereAga Khan ni hospital na sio pharmaceutical au biotechnology firm. Hawausiki na kuvumbua dawa na hata hawana kibali hicho.
Unataka kusema hao wanajua zaidi ya walio vumbua hizo dawa!!
Mbona wanasiweke wazi ni dawa gani hizo?!
WHO hawalali wanahangaika usiku na mchana kupata dawa hawajakaa wakitegemea maombi, sisi (Tz) wala hatujishughulishi hata kujaribu chanjo zilizopo tunasubiri rehema za Mungu.
Huo mchanganyiko mbona wasiweke wazi? Hata wangeandika kwenye medicine journals ili watu wengine wachambue!Huelewi kijana, wao wana mchanganyiko ambao unatibu. Sijasema waketengeneza dawa. Think and read outside your sphere
litapiga wapi wewe
mwaka mmoja toka Covid 19 imetangazwa!unatamani balaa litokeee lakini haiwi,umebaki kusononeka tu.
Kwa hiyo wewe unataka lockdown? Halafu tuishi vipi?Unasema je kama tuliokosea ni sisi? Ama kweli "nyani haoni kundule."
Eti tuendelee kujifukiza tusife hadi dawa rasmi ipatikane. Kwa nini kujifukiza kusiwe ndiyo dawa rasmi basi?
Eti tuendelee kutengeneza pesa!
Hii inaitwa, "tamaa mbele, mauti nyuma."
Mawazo duni kabisa.