#COVID19 Kudhibiti maambukizi ya COVID-19: Wasafiri kutoka Tanzania wapigwa marufuku kuingia Uingereza

#COVID19 Kudhibiti maambukizi ya COVID-19: Wasafiri kutoka Tanzania wapigwa marufuku kuingia Uingereza

Lakini hii sirikali yetu inachekesha sana, ni kweli maambukizi ya korona sio makubwa nchini. Kuna ubaya gani wa kutoa data za hao wagonjwa?

Nchi yetu sio kisiwa ina muingiliano na mataifa mengine yaliyoathirika sana na wala ugonjwa huu sio wa aibu haujaanzia kwetu...kuna tatizo gani kusema hali yetu nchini kuhusu korona ikoje.

Yaani li sirikali lipo kimya japo hata kuendelea kuhamasisha raia wake kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa ambao dhahiri bado ni tishio duniani.
Kwa kauli ya wingereza wageni na wasafiri waliko huko kuja tz na waliokuwa tz wanataraji kwenda kuhajihangaikia mkate huko wame kuwa blocked. Impact ni kubwa.

Tutarajie nchi zingine za EU kuunga mkono Wingereza.
 
Kuna wakati tuseme ukweli zaidi kuliko kusema siasa zaid,laiti kama Corona ingekuwepo kama inavyoonekana kuwepo katika mataifa mengine,na laiti kama wazee tungekuwa tunaishi kama tunavyoishi sasa na Corona ikawa kama ilivyo kwingine,basi Tanzania nzima hadi sasa maiti zingekuwa zikiliwa na kunguru barabarani,itoshe tu kusema Corona ipo na tahadhari zichukuliwe.
Kama watanzania watakataliwa kwenda sehemu nyingine kwa sababu kuna Corona,kwanini tung'ang'ani nchi za watu,hata bila COorna tungezuiana tu kuingia kwenye za watu maana yapo mengi ya kusababisha tuzuiane ila siyo kuja na kusingizia Corona,ajabu sana kuona watu wanadanganyika kwa kugeuzwa uongo kuwa ukweli.
kuna watu wanatamani usiku mchana waone haya ili tu waaminike tena na wananchi lakini holaaaa.

Mungu huwa hasimami na wachache wenye maslahi binafsi.
 
This is stupid sana.
Hii ndo sababu, hata siku moja, shangaa mapungufu ya nchi yangu, siwezi ku-support mataifa mageni kuingilia maswala ya ndani ya nchi za Africa.

Mbona kwao wanakufa wakiangahika na UK variant. Wamefanya lockdown na kila aina intervention na wameshindwa.

Ja AFRICA tumewatenga? NO!
AFRICA tumezuia watu wao? NO!
Tumewauliza maswali kuhusu sera zao za afya? NO!

Ila ndungu zetu hawaishiwi kutuwekea vizuizi
Mara wanataka lockdown
Mara wanataka Data

Kwani mkimpima mtu kuna Tatizo gani?!
Kwani hao residents wana resistance ya virus?!!

Hizi ndo siasa za mabeberu, uonevu na dhalau
Vitalu vya uwindaji na sheria mpya ya madini zinawatesa Mabeberu kiasi wanatapatapa tu. Kama ni kirusi kwanini tusifungiwe Afrika nzima? Iweje wachague mataifa machache ya kumsumbuana nayo?
 
Kuna wakati tuseme ukweli zaidi kuliko kusema siasa zaid,laiti kama Corona ingekuwepo kama inavyoonekana kuwepo katika mataifa mengine,na laiti kama wazee tungekuwa tunaishi kama tunavyoishi sasa na Corona ikawa kama ilivyo kwingine,basi Tanzania nzima hadi sasa maiti zingekuwa zikiliwa na kunguru barabarani,itoshe tu kusema Corona ipo na tahadhari zichukuliwe.
Kama watanzania watakataliwa kwenda sehemu nyingine kwa sababu kuna Corona,kwanini tung'ang'ani nchi za watu,hata bila COorna tungezuiana tu kuingia kwenye za watu maana yapo mengi ya kusababisha tuzuiane ila siyo kuja na kusingizia Corona,ajabu sana kuona watu wanadanganyika kwa kugeuzwa uongo kuwa ukweli.
Ukweli ni upi basi corona ipo au haipo.
 
Sasa Hivi tujikite kutengeneza fedha, baadaye dawa rasmi ikipatikana tutaenda. Waache waje tupate pesa, sie tujifukize tusife ili siku za usoni waone kuwa wao walikosea.
Usiseme tu / sema nisife..., no matter hata mambo yakiwa mabaya vipi sio wote watakufa / tutakufa na hata yakiwa mazuri sio wote tutapona...

Mwisho wako au wangu sio mwisho wa maisha, hata binadamu wote as a specie wakifa dunia bado itaendelea as a globe..., unless otherwise itokee a commet kuiondoa hapa au jua liishiwe fuel yake, na hapo sijui kama kuna anayejua kwa uhakika what will happen next...
 
Kwa wafanyabiashara na wanaokwenda kusoma inakaaje mkuu.
Nchi ziko nyingi duniani za kufanya biashara nazo, sio lazima UK. Mbona hao wenyewe hawajipigi marufuku kuingia Tanzania au kuwekeza Tanzania?

Vivyo hivyo na wanaokwenda kusoma. Vyuo vipo vingi duniani.
 
Sasa hiyo variant yupo south africa na kwa watani zetu, lakini tumekuwa singled out among all southern African countries , hapa ndio tatizo lilipo.
Cha msingi ni mtu kuchekiwa hapa na ulifika huko kutenganishwa kwa hizo wiki 2
Kucheckiwa hapa ??

Hatuwezi kuaminika tena kwenye suala hilo maana ilishaonekana hatuko serious.
 
bahati mbaya wamekutana na watu wanaofikiri kabla ya kufata mkumbo.

cha kushangaza utakuta kati ya walii 10 wanaoshuka viwanja vya ndege 5 wanatoka UK,jiulize wanakujaje nchi hatari kwa afya zao??

nakumbuka hata US kipindi inatangaza raia wake warejee ubarozi ili iwarudishe nyumbani,hakutokea hata mtu mmoja maana nyumbani hali ilikuwa inatisha.

Hadi sasa nimepokea nina marafiki 9 toka nchi za ulaya watatu wamefikia mombasa na 6 wako Tanzania.

Wanasema huko Europe kila mtu anapambana kujinasua kwenye huo mtego wa kufa kwa stress ya kufungiwa ndani kwa kutafuta nchi salama duniani akapumzike na wanasema all over the the world Tanzania ni sehemu pekee salama kwa sasa.

Adhabu ya kutofuata taratibu na masharti ya COVID ni faini ambayo minimum ni USD1000 na maximum ni USD5000

Nilicho observe kwa hawa wageni pamoja na mateso yote wanayopata huko kwao sijawasikia kutamka mabaya kuhusu serikali zao wala kuwatukana marais wao. Sijui wenzetu wamefundwaje kuwa wazalendo kiasi hicho ila Kuna cha kujifunza hapa!

Mimi naendelea kujiongeza rais wangu John Pombe Magufuli kwa ushindi mkubwa kwenye mambo mengi ya maendeleo ila najivunia kusema kwa alivyoweza kufanya maamuzi juu ya corona John Pombe Joseph Magufuli atabaki kuwa rais Jasiri zaidi duniani, huyu atabaki kwenye historia kama rais wa karne

Mungu ibariki Tanzania
 
wenzetu wanaamini katika utaifa kwanza,sisis huku bado tuko kwenye umimi bado.
ndio sababu unakuta maadam mtu kakatiwa mirija yake ya kibadhirifu,atapambana na serikali popote ilipo serikali.
 
Muulize mama yako kama akili yangu ni finyu atakueleza na kukwambia baba yako wa kweli ni nani
Mimi nafanana na dingi copy right yaani, photo copy hii hapa. Hivyo hilo swali lako kilaza bora ukaliuze huko huko.
 
You got to look at things from their perspective majuzi tu kuna mgeni kutoka Tanzania kaingia na COVID huko kwao.

Na jitihada za kupambana na huo ugonjwa huko kwao zimezua mabalaa mengine; heart attack zimeongezeka because ppl are eating more unhealthy diets and not exercising, mental health issues zinaanza kuwa tatizo kwa sababu za kufungia watu and there is an increase to acute deterioration of long term diseases for ppl living with cancer, diabetes, dementia, sepsis, etc; kwa sababu ya lockdown watu awapati vipimo vyao regulary nor professional advise to manage their conditions na wako majumbani for too long.

The strain of dealing with COVID is getting to them both the government and citizens.

Serikali yao wana elewa hayo madhara ya afya waliosababisha kutokana na lockdown; bado kuna impact za kibiashara na uchumi millions of ppl have lost their jobs because of lockdown na kushuka kwa makusanyo ya serikali; they have compromised a lot to manage COVID and everyone is feeling the pressure.

Halafu wewe uishi in denial wakuchukulie poa; ata kama COVID sio tishio Tanzania ni busara kuwaambia watu wachukue tahadhari sio kuikataa kabisa aipo; that’s just plain stupid wakati hospitali zinapokea wagonjwa mara kwa mara.
 
Maneno meeeengiiii.lkn ukweli utasimama kwamba staili yetu ya kupiga nyungu na vile vinywaji vyetu vilituvusha,huku tukinawa mara kwa mara na kuvaa barakoa.
ASANTE KWA TANGAWIZI,LIMAO,KITUNGUU SWAUMU NA KITUNGUU MAJI NK
Mtu mzima huhitaji kuambiwa kuna korona eti tena na mwanasiasa.Ukisikia tetesi jua lisemwalo lipo. Na za kuambiwa changanya na zako......J. Kikwete
 
Tusilishwe wala kulishana ujinga covid haipo Tz
Iwepo isiwepo lkn tambua Tz Ni sehem ya dunia hii hii inayohangaika na maumivu ya korona.Ndiyo jambo la msingi unatakiwa ujue.
Na wenye akili huwa wanachukua tahadhari na si kubweteka.hauko kisiwani peke yako.
 
With all due respect,Rais Magufuli aendelee kuwa makini na the way analihandle suala la covid.
Kweli ni ugonjwa ila mimi naona ndani yake wameingiza agenda nyingine ambazo tukikubali watupelekeshe,tutaicheza ngoma yao ya kuona faida hapa mwanzoni ila baadae we will find ourselves rotten in their cage.
Na haya mambo wanayapeleka kwa phase.
Lakini kinachonisumbua hata usipokubaliana nao watahakikisha wanakuharibia na kukutia umaskini.
Kuna mtu aliwahi kuonya kwamba resistance ambayo mwili ya waafrika imeonyesha kwa covid unaweza shangaa kunaibuka kirusi kingine kinachoweza kubypass kinga yetu tukaumizwa zaidi..and there it is in South Africa!
Inabidi wale wote wanaoelewa mini kinaendelea chinichini duniani na hawapendi washikamane ndio njia pekee kukabili this mighty dark force ambayo some of us tunatambua inakotaka kutupeleka na hatukubaliani na hili.
In this matter,I stand with the President.
 
With all due respect,Rais Magufuli aendelee kuwa makini na the way analihandle suala la covid.
Kweli ni ugonjwa ila mimi naona ndani yake wangu wameingiza agenda nyingine ambazo tukikubali watupelekeshe,tutaicheza ngoma yao ya kuona faida hapa mwanzoni ila baadae we will find ourselves rotten in their cage.
Na haya mambo wanayapeleka kwa phase.
Lakin kinachonisumbua hata usipokubaliana nao watahakikisha wanakuharibia na kukutia unmaskini.
Inabidi wale wote wanaoelewa mini kinaendelea chinichini duniani na hawapendi washikamane ndio njia pekee kukabili this mighty dark force ambayo some of us tunatambua inakotaka kutupeleka na hatukubaliani na hili.
In this matter,I stand with the President.
I stand with my President John Pombe Magufuli😍💪👍
 
Ahahaaaa hasira haisadii Mkuu.

Hivi Ma CCM mlivokuwa mnaibaka demokrasia hamkujua Kuwa in every action there is equal and opposite reaction?!!! Tulia hivo hivo mzee fimbo zaidi zinakuja.
Aisee... Mkuu hata 2025 kipigo kiko pale pale na mtarudi na maneno kama haya haya
 
Back
Top Bottom