Kwa kauli ya wingereza wageni na wasafiri waliko huko kuja tz na waliokuwa tz wanataraji kwenda kuhajihangaikia mkate huko wame kuwa blocked. Impact ni kubwa.Lakini hii sirikali yetu inachekesha sana, ni kweli maambukizi ya korona sio makubwa nchini. Kuna ubaya gani wa kutoa data za hao wagonjwa?
Nchi yetu sio kisiwa ina muingiliano na mataifa mengine yaliyoathirika sana na wala ugonjwa huu sio wa aibu haujaanzia kwetu...kuna tatizo gani kusema hali yetu nchini kuhusu korona ikoje.
Yaani li sirikali lipo kimya japo hata kuendelea kuhamasisha raia wake kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa ambao dhahiri bado ni tishio duniani.
Tutarajie nchi zingine za EU kuunga mkono Wingereza.