Kajifungie ww na familia yako ulale kitandani na mkeo huku umevaa barakoa usipate covid. We unadhani tunapenda raia wenzetu wafe?au tunapenda hii hali inayoendelea kwenye nchi yetuAcha kutetea upumbavu
Panic,umeijulia wapi wakati hujaweka data hadharani?...
Ukifuatilia comments za humu kila mmoja anaongea lake mwengine atakwambia corona ipo Tz ila sio kali sana na mwengine anakwambia ipo na inauwa sana,sasa hata haieleweki ni nani yupo sahihi,sasa hapo uhalisia tutaujulia vp?Wewe na mimi tunajua uhalisia wa corona kuliko mjinga asiyependa kuambiwa ukweli.
U.K. officials have suggested paying people to stay home if they test positive for coronavirus, amid concerns too many are failing to get tested or comply with the lockdown rules.Raisi ametoa Challenge kwa wataalam kwa kitanzania tutengeneze dawa zetu za kupambana na magonjwa kama huo.
Hiyo ndo tabia ya kutaka kufanikiwa yaani kutafuta suluhisho la matatizo kwenye mazingira uliyopo.
I know about UK, I lived there sometime ago.U.K. officials have suggested paying people to stay home if they test positive for coronavirus, amid concerns too many are failing to get tested or comply with the lockdown rules.
Naona sisi serikali ya Wabongo hatujakimbilia kupiga marufuku Waingereza kama wao walivyotupiga marufuku..
To help to stop the spread of the COVID-19 variant identified in South Africa, we are banning all arrivals from Tanzania and Democratic Republic of Congo from 4am tomorrow.
Kwetu hapa wanapima wapi??Fake news, vipi kama mtu umepimwa na huna hicho kirusi hewa?
Hasa walivyo na upendo wa kupeana ice cream kwa na ww nyonya kidogo, na mimi naomba...Sky Eclat ni kweli tahadhari ni bora kuliko tiba.
Ila mimi nikiwaza hawa watoto wetu wadogo mashuleni huko, naendelea kumtanguliza Mungu kwakweli
Sisi wenyewe hatuwezi
Mungu awanusuruHasa walivyo na upendo wa kupeana ice cream kwa na ww nyonya kidogo, na mimi naomba...
Amen[emoji120]Mungu awanusuru