Kudorora mapokezi ya Rais Samia kutoka Marekani Tatizo limeanzia hapa...

Kudorora mapokezi ya Rais Samia kutoka Marekani Tatizo limeanzia hapa...

Nchi ya ajabu sana hii, Mama alionekana akisoma speech huku akiwa nervous huku mataifa huru yakimsanifu kwa unafiki wake uliotukuka.

Halafu Chama cha Mazezeta kwa kutumia Tozo za kuwaniga Wananchi ndio zinatafunywA kwa kumfanyia Hangaya Tafrija.

Kha!
Mama alikuwa anatetemeka kwa sababu alikuwa anasoma uongo.
 
Tokea yalipo elezwa ya kua anakwenda kuandika historia kwa kuhutubia baraza la umoja wa matiafa nikajaribu kurudia ya mkoa Kikwete na mwalimu nyerere walipokua wakifanya kitu kama hicho kwa kweli sijaona jipya au cha muhimu kuzidi walio mtangulia, na pengine walio mtangulia walikua Bora, mathalani hotuba ya Kikwete wakati fulani baraza la 66 ile hotuba ilikua bora kuliko, nadhani ilikua ya 2011, huko alielezea kuhusu Tanzania na nchi jirani na Tanzania na hata Afrika kwa ujumla.mengi aliyaongelea yaliokuwa yanavuta attention kuendelea kusikiliza tena.

Huyu wa kwetu zaidi ya promo kwa kweli na ujinga wangu kwenye mambo hayo sijaona la mno!
Ile speech ya Kikwete kwenye mazishi ya Mandela ilikua speech bora kuliko zote za karne hii
 
Raisi wa Zambia pamoja na kualikwa WH na kupongezwa na Dunia kwa Speech nzuri hajafanyiwa Tafrija

Sisi hapa upigaji wa Tozo ndio unatengenezewa mazingira.
 
Kama hamna ubavu wa kumrudisha Magufuli kaeni mtulie! Kila zama na kitabu chake!
Hakuna anayetamani roho mbaya ya Jiwe. Tunataka na Mama asirudie yale yale ya Jiwe. Ndio maana tunmshauri akitaka achukue akitaka aache.
 
Back
Top Bottom