Kudorora mapokezi ya Rais Samia kutoka Marekani Tatizo limeanzia hapa...

Mama alikuwa anatetemeka kwa sababu alikuwa anasoma uongo.
 
Ile speech ya Kikwete kwenye mazishi ya Mandela ilikua speech bora kuliko zote za karne hii
 
Raisi wa Zambia pamoja na kualikwa WH na kupongezwa na Dunia kwa Speech nzuri hajafanyiwa Tafrija

Sisi hapa upigaji wa Tozo ndio unatengenezewa mazingira.
 
Kama hamna ubavu wa kumrudisha Magufuli kaeni mtulie! Kila zama na kitabu chake!
Hakuna anayetamani roho mbaya ya Jiwe. Tunataka na Mama asirudie yale yale ya Jiwe. Ndio maana tunmshauri akitaka achukue akitaka aache.
 
Raisi wa Zambia pamoja na kualikwa WH na kupongezwa na Dunia kwa Speech nzuri hajafanyiwa Tafrija

Sisi hapa upigaji wa Tozo ndio unatengenezewa mazingira.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…