Huwa wananufaika kwa kuwaelimisha wanachama wake na pia kuwawezesha wanapokuwa katika shughuli za kichama na haswa wakati wa uchaguzi. Kubwa zaidi kulinda kura mpaka zihesabiwe na kutangazwa.Kwahiyo chadema inaweza kunufaika vipi na hali mbaya ya uchumi na ya kielimu ili waweze kuipiku ccm kwa wingi wa kura?kuwalipa zaidi ya wanavyolipwa na ccm?
kila kata kuwepo na mhamasishaji na pia usafiri wa kupeleka wananchi kwenye vituo vya kupiga kura kama inaruhusiwa kisheria.Watu milioni 12 ambao hawakupiga kura tatizo ni nini?ni muhimu kuandikisha wapiga kura,lakini pia kuna tatizo kama idadi ya waliopiga kura haifikii nusu ya wale waliojiandikisha kupiga kura.Je utafiti unaonyesha ni kwanini.Nakubali kuwa elimu ni muhimu na itasaidia.Lakini I am sure kuna tatizo zaidi.Huwa wananufaika kwa kuwaelimisha wanachama wake na pia kuwawezesha wanapokuwa katika shughuli za kichama na haswa wakati wa uchaguzi. Kubwa zaidi kulinda kura mpaka zihesabiwe na kutangazwa.
Mkuu JMushi, kiukweli wengi ambao hawakupiga kura asilimia kubwa ni watu walioichoka CCM lakini walikuwa hawaiamini Chadema kama inaweza, hivyo kuliko kujisumbua kupiga kura, waliona ni wastage of time!.kila kata kuwepo na mhamasishaji na pia usafiri wa kupeleka wananchi kwenye vituo vya kupiga kura kama inaruhusiwa kisheria.Watu milioni 12 ambao hawakupiga kura tatizo ni nini?ni muhimu kuandikisha wapiga kura,lakini pia kuna tatizo kama idadi ya waliopiga kura haifikii nusu ya wale waliojiandikisha kupiga kura.Je utafiti unaonyesha ni kwanini.Nakubali kuwa elimu ni muhimu na itasaidia.Lakini I am sure kuna tatizo zaidi.
Mkuu Mwita Maranya, kwanza nawapongeza sana kwa M4C so far so good!.Pasco katika hili nakubaliana na wewe kiasi fulani.
M4C iko kwenye right track hizo kasoro unazojaribu kuzionyesha ni vitu vidogo sana ambavyo haviwezi kuzuia ushindi wa Chadema 2015 kama wananchi wataendelea kupokea elimu ya uraia kama inavyoenezwa na Chadema kupitia M4C.
Pasco katika hili nakubaliana na wewe kiasi fulani.
M4C iko kwenye right track hizo kasoro unazojaribu kuzionyesha ni vitu vidogo sana ambavyo haviwezi kuzuia ushindi wa Chadema 2015 kama wananchi wataendelea kupokea elimu ya uraia kama inavyoenezwa na Chadema kupitia M4C.
Mkuu Mwita Maranya, nimeipenda objectivity yako, kwa Chadema kuwa na mtu kama wewe, its an asset!.Pasco nadhani kuna umuhimu wa Chadema kushirikiana na CUF lakini kwanza CUF wanatakiwa wasimame waziwazi kama wapinzani wa kweli kuliko hivi sasa ambapo si moto wala baridi. Wanatakiwa kujiweka katika nafasi ya kuaminiwa na kuaminika ili kuweza kuunganisha nguvu nao, vinginevyo bado kutakuwa na wasiwasi wa ushirika wa siri dhidi ya ccm. Naamini kwamba kuna watu wazuri na wenye mtazamo mpana toka cuf wataweza kukaa chini na Chadema na kufikia muafaka juu ya jambo hili kwa ajili ya ustawi wa demokrasia na kuondokana na zimwi la ccm.
Hilo la katiba kubadilishwa ili mshindi apatikane kwa 50%+ ni wazo zuri sana kwani si jambo jema kwa demokrasia raisi wa nchi anaingia madarakani kwa ridhaa ya watu 42% tu. Na suala la kuunda coaltion government najua ccm wanalifanyia kazi kwa nguvu sana ili watakaposhindwa walau wapate nafasi ya kubaki madarakani kupitia mlango wa "dharura" wa coalition lakini kwa sasa bado na sisi tunajipanga kwa dhati kuhakikisha kwamba tunapata ushindi wa kutosha na hakuna nafasi ya ccm kuwepo serikalini hata kwa kupitia dirishani!!
Pasco.
NB. Pasco wa JF, sio mwanachama, mfuasi wala mshabiki wa chama chochote cha siasa, bali ni Mtanzania wa kawaida mwenye kuweka mbele maslahi ya taifa.Last edited by Pasco; Yesterday at 19:46.
Mkuu t2015ccm, kwenye hili nakubaliana na wewe lakini angalau CUF kimeonyesha mwanga wa matumani makubwa kwa kuwa na wabunge wa kuchaguliwa sehemu zote tatu za muungano, bara, unguja na pemba. CCM ,wana bara na unguja tuu hawana kitu kabisa Pemba, Chadema wao ndio bara tuu, hawana kitu kabisa Zanzibar na Pemba, na wakiambiwa ukweli kuwa bado hawajajipanga mkao wa kushika dola, wanakuja mbogo!. Ila kwa vile uchaguzi ni 2015, there is enough time kwa Chadema kujipanga kikamilifu na Watanzania tutakiaminia na kukikabidhi nchi, CCM ipumzishwe for good!.Pasco,umeandika sana,hongera kwa hilo lakini kwa ufupi tu kwamba mpaka sasa hakuna chama cha upinzani chenye utambulisho wa umoja wa kitaifa,ndio maana watanzania hawaviamini.hao wanaoviunga mkono hawajui walitendalo na hakika ipo siku watajitambua na watarudi kundini.
Mkuu Mwita Maranya, nimeipenda objectivity yako, kwa Chadema kuwa na mtu kama wewe, its an asset!.
Kwa upande wa CUF, ile SUK ni marriage of convenience baada ya kujaribu mara tatu na kupokwa, wakaamua kukubali yaishe kwa mtindo wa "if you can't beat them, join them", lakini after 2015 baada ya CUF kufika kileleni, kibao kitageuzwa na kitakachofuatia kwa CCM, only God knows, kuna watu bado wanauguza makovu ya mapinduzi ya 1964 na wataibuka kufanya malipizi ambapo salama ya Zanzibar ni kudumu tuu katika muungano, bila muungano, jambia zitatembea tena!.
Mkuu Barbaru, Mtambaza mwenzangu, wewe nione tuu kama unavtoniona kuwa mimi ni Mchadema na huu ndio muona wa Ki ccm zaidi kwa sababu baadhi ya dose zangu zinaichapa bakora CCM, na Chadema nao wananiona mimi ni Msisiem kufuatia kuwaambia ukweli.Nilipo Blue.
Pasco nimefurahi sana kwa maneno yako hao. Kumbuka kuwa mtu haikupasi wewe kujipambanua bali maneno(maandiko) yako ndio yanayyoweza kukupambanua bila wasi wasi.
Mimi naona ndio wale wale wenye kuficha ukweli wa mambo.
Binafsi napingana na wewe kabisaaaaaaaa na kukuona unaendeleza ushabiki tu wa kisiasa wa kupenda CDM pasi na kusema ukweli.
ADUI mkubwa wa waTz ni KUKOSA UZALENDO wa kuipenda nchi yao na mali zake. Watu wamekuwa ni wa kujilimbikizia mali na kusahau wale wa Vijijini. Ikumbukwe hata hao unaowaona akina MBOWE na wenzake wanachukua posho mpaka leo bungeni na kudai maslahi zaidi ya kibunge na kusahau waalimu na wauguzi. Kumbuka kuwa wanasemea mdomoni lakin moyoni wapo tofauti.
Zamani watu walikuwa wazalendo sana na ndio maana rasilimali zenu zililindwa na kuwepo mpaka leo. Lakin sasa watu ni walafi sana hawana utu ila wameelekeza Mali mbele na Uzalendo kwa nchi na jamii zao nyuuma.
Mimi nafikiri WATZ kwa sasa walitakiwa kufundisha suala la UZALENDO maskulini ili vijana wawe wazalendo katika kulinda nchi yao na rasilimali zake.
Kumbuka UZALENDO HAUNA SIASA WALA KABILA. Bali ni tarbia binafsi za watu.
Mkuu Barbaru, Mtambaza mwenzangu, wewe nione tuu kama unavtoniona kuwa mimi ni Mchadema na huu ndio muona wa Ki ccm zaidi kwa sababu baadhi ya dose zangu zinaichapa bakora CCM, na Chadema nao wananiona mimi ni Msisiem kufuatia kuwaambia ukweli.
Kiukweli from the botom of my heart mimi sina chama, naguzswa na uzalendo, na kiukweli kila Mtanzania mwenye uzalendo wa kweli kwa nchi hii, anawish CCM ipumzishwe, hata wana CCM wazalendo wa ukweli, wanajua chama chao kimechoka, kimelewa madaraka, kimejisahau na kinahitaji mapumziko!.
Kukitarget CCM kama ndie adai is a wrong move, CCM imewekwa na wananchi, tukiwatarget wananchi walioiweka CCM madarakani as our focal point, CCM itapigwa chini jumla!.