Kwa namna ambavyo tumekuwa tukiendesha chaguzi zetu kuu huwezi kusema WANANCHI wamekuwa wakiiweka madarakani CCM. Pasco utakubaliana nami kwamba kwa mfano ulio wazi kabisa CCM haijawahi kushinda uchaguzi wowote kule Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze.Mkuu Barbaru, Mtambaza mwenzangu, wewe nione tuu kama unavtoniona kuwa mimi ni Mchadema na huu ndio muona wa Ki ccm zaidi kwa sababu baadhi ya dose zangu zinaichapa bakora CCM, na Chadema nao wananiona mimi ni Msisiem kufuatia kuwaambia ukweli.
Kiukweli from the botom of my heart mimi sina chama, naguzswa na uzalendo, na kiukweli kila Mtanzania mwenye uzalendo wa kweli kwa nchi hii, anawish CCM ipumzishwe, hata wana CCM wazalendo wa ukweli, wanajua chama chao kimechoka, kimelewa madaraka, kimejisahau na kinahitaji mapumziko!.
Kukitarget CCM kama ndie adai is a wrong move, CCM imewekwa na wananchi, tukiwatarget wananchi walioiweka CCM madarakani as our focal point, CCM itapigwa chini jumla!.
Kwa namna ambavyo tumekuwa tukiendesha chaguzi zetu kuu huwezi kusema WANANCHI wamekuwa wakiiweka madarakani CCM. Pasco utakubaliana nami kwamba kwa mfano ulio wazi kabisa CCM haijawahi kushinda uchaguzi wowote kule Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze.
Uchaguzi wa mwaka 1995 Mh Mrema alipata kura nyingi sana. Ni baada ya uchaguzi huu ndipo ile sheria ya kumtangaza mgombea wa Urais kuwa ni mshindi hata kwa "simple majority" ilipopitishwa. Tulishuhudia pia Dr Slaa alivyomhenyesha Kikwete mwaka 2010 hadi JK kudhani ni DINI yake imechangia pia!
ADUI wa kweli kabisa anaweza asiwe CCM peke yake bali hata vyombo vya DOLA ambavyo hadi kesho vinaamini nje ya CCM hatuwezi kumpata RAIS anayetufaa WATANZANIA. Sielewi kama KATIBA MPYA itatusaidiaje katika hili. Kwamba JWTZ, UwT,NEC na vyombo vingine vituache waTanzania tuchaguane kwa haki, uhuru na amani.
Sanduku la kura kuiondoa CCM madarakani sio rahisi. Tulikofikishwa na CCM kama NCHI tunahitaji "vox populi" kama ile ya nchi za Kiarabu sio kupitia sanduku la kura kwa vyombo hivi vya DOLA tulivyonavyo. Vinginevyo tungoje CCM ipasuke mwaka 2015 watakaposhindwa kuafikiana nani agombee.
Mkuu WildCard, mimi naamini katika msemo wa Kilatini usemao "Vox Populi is Vox Dei" ukimaanisha sauti ya watu ni sauti ya Mungu. Ule uchaguzi wa 2010 CCM imeshinda kwa kura milioni 5 tuu hapo ndio kujumlisha na uchakachuaji wote wa NEC, na michango ya ma RC, ma DC maofisa wote wa serikali, vyombo vyote vya dola, na ile mechanisim yao kubwa ya kugawa t-shirt na kofia, na kile kidogo dogo cha kugawa mlo wa shibe ya siku moja, lakini bado kura ndio zilikuwa hizo milioni 5 kati ya milioni 20, waliojiandikisha kupiga kura. Iwapo upinzania wangelijua hili na kuelekeza efforts kwenye zile milioni 15 wazipate wao, CCM hata ingeiba vipi, bado ingepigwa mweleka!. Ndio maana nimetoa angalizo, CCM sio adui yetu mkubwa, adui yetu mkubwa ni wananchi ambao wanaichagua CCM, na wale wengi zaidi ambao hawakupiga kura!.
Baada ya kauli ya Pinda kuhusu ma RC na ma DC kuhakikisha CCM inashinda na kutawala milele, inner concious yangu inanieleza maelekezo kama hayo hayakuishia kwa ma RC na ma DC pekee, bali ni kwa maofisa wote wa serikali na vyombo vyote vya dola!, that being the case, lets just leave CCM na serikali yake alone and concentrate on reaching out the great potential ya "vox populi" na mtaona matokeo yake!.
Mimi bado nina imani kubwa na sanduku la kura, kama watu wakihamasishwa ipasavyo na wakajiandikisha kwa wingi na siku ya kupiga kura wakajitokeza kwa wingi, CCM inangoka tuu japo ni ngumu kama kisiki cha mpingo!.Sanduku la kura kuiondoa CCM madarakani sio rahisi. Tulikofikishwa na CCM kama NCHI tunahitaji "vox populi" kama ile ya nchi za Kiarabu sio kupitia sanduku la kura kwa vyombo hivi vya DOLA tulivyonavyo. Vinginevyo tungoje CCM ipasuke mwaka 2015 watakaposhindwa kuafikiana nani agombee.
Kama umeshang'amua wananchi ndio wamerubiniwa na CCM ili kuichagua, then ili kuiondoa hiyo CCM iliyowarubuni ni kuwafikia hao wananchi na kuwaelkimisha ili wasiendelee kurubuniwa!. Wewe jiulize anayepiga kura kuchagua ni nani?, CCM si ni inachaguliwa?!, unatakiwa kumfuata mchaguaji na sio mchaguliwa!, ukiendelea kumtarget mchaguliwa tuu, mchaguaji ataendelea kumchagua huyo huyo mchaguliwa aliyemzoea, ukimtarget mchaguaji na kumuelimisha asiendelee kuchagua kwa mazoea bali kwa sababu, then, mchaguliwaji wa mazoea, hata chaguliwa tena na atajifia natural death!.
Pasco,
Kwa nini unaamini ili CCM ianguke lazima CDM iungane na vyama vingine (kuepuka huo "u-mimi")?
nimeipongeza hii move, target isiwe CCM, target iwe watu!,Pili kwa sasa CDM wanaendelea na M4C, umeshapima matokeo ya vuguvugu hilo kwa siasa za Tanzania kwa sasa?
what for?, nazungumzia mpangaji wa ile nyumba nyeupe pale Magogoni mwaka 2015!.Tatu, umezingatia "political dynamics" na factors nyingine ambazo hujazitaja, e.g. michapano ndani ya CCM, role ya mahakama katika baadhi ya kesi "hot" mf. Arusha Mjini & Igunga katika kubadili upepo wa kisiasa?
ndio one and only promising party besides CCM, mti wenye matunda!.Nne, kwa nini uwalaumu CDM peke yao katika harakati za kuiangusha CCM?
I reserve my comments but the guilt are always afraid, hizi kauli za (ama kwa makusudi au kwa malengo uyajuayo) ni signs za a haunted house!.Tano, kwa nini nawe umetaja (ama kwa makusudi au kwa malengo uyajuayo) "tuhuma" za udini, ukanda & ukabila? Je chaguo lako la maneno hayo lina msingi upi? Na kwa tawkimu zipi (ingawa umekwepa kuongelea)?
Mkuu malua, Watanzania wazalendo wa type yangu tupo wengi tuu ambao hatuna any political ambitions bali tunaumizwa na uchungu wa hali ya taifa letu ilivyo sasa na tunasupport juhudi zozote za ukombozi wa pili wa kweli wa taifa letu kutoka vyama vyovyote ikiwemo CCM!.PASCO umesema mambo mengi lakini bado naamini wewe kuna mahali unatumika.Na shawishika kuamini kuwa unatafuta ENTRY POINT ya kuingia kwenye upinzani ili hatimae uwadhoofishe kwa dhana kwamba CDM peke yao hawaiwezi CCM.uliona IGUNGA? ARUMERU MASHARIKI? hizi ni dalili tosha kwamba CDM wanaweza!!!! kama ccm walitumia bil 7 IGUNGA bado wakahitaji kuchakachua na kulazimisha ushindi,yafaa uone kwamba YOU ARE COMPLETELY WRONG.
Mkuu malua, Watanzania wazalendo wa type yangu tupo wengi tuu ambao hatuna any political ambitions bali tunaumizwa na uchungu wa hali ya taifa letu ilivyo sasa na tunasupport juhudi zozote za ukombozi wa pili wa kweli wa taifa letu kutoka vyama vyovyote ikiwemo CCM!.
Kama unaamini, mimi natumiwa na kwa sasa ndio natafuta entry point kuingia upinzani ili niudhoofishe, you are very wrong!, mimi sio mwanachama wa chama chochote, sio mshabiki, mfuasi au mkereketwa wa chama chochote zaidi ya maslahi ya taifa!.
Sina sababu ya kujigamba humu offer ngapi za kujiunga na vyama vipi ili kupewa ulaji, nimezikataa!. Wengi wa wanasiasa wetu, wanaingia siasa kama ajira ili waweze kuishi maisha mazuri, sisi wengine kama mimi, ni masikini jeuri, tumeishauzoea umasikini wetu tena wa kujitakia!, na ikitokea nikaingia siasa, lengo litakuwa ni kuwatumikia wananchi, na sio kuchuma au kujineemesha!.
Wanasiasa wengi zaidi ni wachumia tumbo kuliko watumishi wa watu!. Mimi ni mtumishi zaidi wa watu na mara kibao hulala njaa huku nikismile, na hata zile siku ninapokuwa sina hata senti tano,mwili wangu huingia ganzi ya mfungo wa lazima na hata nikikaribishwa chakula au kinwaji bure, huwa sili!.
Mkuu Molemo, kama umenisoma vizuri nimeeleza mazingira ya ushirikiano na kusisitiza kuwa Chadema itake isitake, ni LAZIMA ishirikieane na wengine!.Hujajibu hoja kuhusu mtiti wa CDM Igunga na Arumeru Mashariki.
Naomba nikuthibitishie hapa kwamba katu asilani CDM haitaungana na vyama vibaraka katika harakati zake za kukomboa wanyonge.Tulijaribu mbinu hiyo kwa miaka 15 ikashindikana.
CDM kwa sasa itatumia vuguvugu la M4C kuwaunganisha watanzania popote pale walipo bila kuangalia rangi,dini,kabila wala jinsia na bahati nzuri wananchi wametuelewa.Lakini kama kuna watu wanadhani wataimaliza CDM kwa kuwashawishi kushirikiana na viongozi mamluki na vibaraka wa upinzani wamekosea sana.
CDM imetumia miaka 20 ya uhai wake kujifunza mengi.Kina Mbatia,Mtikila,Cheyo,Mrema na Lipumba waendelee na harakati zao na tunawatakia kila la kheri...
Mkuu Molemo, kama umenisoma vizuri nimeeleza mazingira ya ushirikiano na kusisitiza kuwa Chadema itake isitake, ni LAZIMA ishirikieane na wengine!.
Katiba mpya itatamka wazi kuwa ili chama kitawale Tanzania, lazima kipate kura za sehemu zote za Muungano!. CCM tayari inazo kura zake Zanzibar, na CUF inazo kura zake Zanzibar, to be honest, I don't see kura za Chadema Zanzibar, hivyo hata Chadema washinde kwa 98% ya kura za bara, wataishia kuwa disqualified kwa kwa technical knock out kwa kukosa kura za Zanzibar!. Mark my words!.