Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...

Lowassa alianza kuungwa mkono na makundi makubwa ya kijamii, kisha makundi makubwa ya wanaCCM na sasa hadi UKAWA wanamuunga mkono.
Jua liwake, mvua inyeshe 25/Oktoba ni lazima Lowassa atashinda vizuri kabisa.
 
With just two days to go, there is nothing new to say, yote yameishasemwa, sasa imebaki kukumbushana tuu, tulisema nini, nini kimefanyika, uchaguzi ndio keshokutwa Jumapili, nini kitafanyika siku hiyo, na baada ya hapo, tukutane tena wiki ijayo, au tupongezane, au tupeane pole!.

Nchi hii inaweza tuu kubadilishwa kwa watu wenye uthubutu wa kuchukua maamuzi magumu, na kusimama wahesabiwe!.

I'm very proud kuwa ni mmoja wa wapiga kura hiyo Jumapili.

Haya shime kwa wote waliojiandikisha, tujitokeze kwa wingi, tuitumie haki yetu ya kidemokrasia kujichagulia viongozi wetu,

We have to choose our leaders and love our choices and live with or without!.

Pasco
 
Aisee huu uzi ndo nnausoma leo, najuta kwanini nilichelewa kujiunga jamii forum. Pascal unaona mbali sana na kwa potential uliyonayo ilibidi at least uwe mtu fulan ndani ya gvt yetu.
 
Ule uchaguzi wa 2015, Chadema had a chance, tukaishauri not to miss the target. They missed.
Sasa tunaelekea 2020, sasa sio tena Chadema inaweza kumiss the target, sasa hata kulenga tuu sioni dalili.

Huu ndio ukweli wenyewe. Hebu tuchangie bila povu wajameni.

Mkuu Magonjwa Mtambuka, asante sana kwa hii kitu. Huyu ni mmoja wa ma Prof wa ukweli ninao waaminia, hivyo naunga mkono hoja ya Prof. Safari.

Tulisema humu akina sisi,

Kuna kitu hapa kilisemwa na Masha

Kikapuuzwa, sasa leo kusema Prof. Safari, haya sasa manazi wa Chadema, njooni mumponde kama kawaida yenu.

Mkiambiwa
Mnakasirika

P.
 

Nzuri,

kitu kimoja tu mimi naamini CUF haijawahi kushidwa uchaguzi wa Raisi kwa miaka 15 sasa. Katika historia ya nchi hii wajukuu zetu watakuja kuandika kitabu kwa hili maana ndiyo ukweli.
 
Nzuri,
kitu kimoja tu mimi naamini CUF haijawahi kushidwa uchaguzi wa Raisi kwa miaka 15 sasa. Katika historia ya nchi hii wajukuu zetu watakuja kuandika kitabu kwa hili maana ndiyo ukweli.
Mkuu Kamundu, wewe endelea kuamini hicho unacho amini, lakini kwa mujibu wa sheria yetu ya uchaguzi, mshindi ni yule anayetangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa ameshinda regardless kura zimepigwaje, determinant ya mshindi kwenye chaguzi za Kiafrika, sisi Tanzania tukiwemo, sio mpiga kura anayepiga kura, bali determinant ni anayehesabu kura, na kumtangaza mshindi.

P
 

Watanzania wengi tuko kwenye bubble 😂 kitu kimoja kinachonisikitisha ni ukweli kwamba mimi nipo nje ya Tanzania lakini nina uhuru wa kusema na kufanya yaliyo kwenye nafsi yangu kuliko hata mtu aliye Tanzania. Yaani moyo uko free. Kuna ndugu zangu Watanzania wana miaka mpaka 70 lakini wanaogopa kusema ya moyoni na wanasifia kwa woga😴
 
The law of the jungle applies, survival is for the fittest, to be fit, one has to be adaptive to the changing environments, otherwise you'll perish.

P
 
Huna lolote la maana uliloandika .. Kama kweli mnajiamin ruhusun mikutano na fair grounds kwa vyama vya siasa tuone mkishindana kwa haki ..


Sio hivi mnavyojitapa na kujifanya malaika kwa kutabiri ujinga ambao hata mtoto mchanga angeweza kuandika ...
 
Huna lolote la maana uliloandika ..

Sio hivi mnavyojitapa na kujifanya malaika kwa kutabiri ujinga ambao hata mtoto mchanga angeweza kuandika ...
Next time ukikutana na bandiko ambalo halina lolote, unajipitia tuu, lakini ukichangia, hata kama utachangia utumbo, ni mchango.

Nakushukuru pia kunielimisha, kumbe hiki nilichoandika hata mtoto mchanga angeweza kuandika... good to know, learn.
P
 
Next time ukikutana na bandiko ambalo halina lolote, unajipitia tuu, lakini ukichangia, hata kama utachangia utumbo, ni mchango.

Nakushukuru pia kunielimisha, kumbe hiki nilichoandika hata mtoto mchanga angeweza kuandika... good to know, learn.
P
Umejibu mipasho tu. Kalale huko.
 
P
U thinked very fAr broo, ingalitokea ile chadema ya m4c wakafanyia Kazi Walao theruth tu nw tungekuwa tunazungumza mengine


Isivyo bahati Pasco na Pascal ni watu 2 tofaut kabisa, bt ulifanye sehem yako Pasco
 
 
Mkuu Mshana Jr, kwanza heshima mbele, hakuna mtu yoyote anayeiombea Chadema ife, kosa langu ni kuwa mkweli too much.

Humu jf tuna members wa aina 3, tuna
  1. Simple minds, discuss people, wao badala ya kujadili hoja iliyo mezani, hawa watamjadili mtoa hoja.
  2. Ordinary minds, discuss events, hawa watadili matukio, nini kimetokea etc
  3. Great minds discuss ideas, hawa watajadili hoja iliyo mezani.
Hivyo naomba keep on being free, kujadili watu, matukio na hoja, katika mabandiko yangu, ukiweza kujibu hoja, nitashukuru, ila hata ukinijadili, sikulaumu na likes nakutwangia.
Ukipata muda karibu ujibu hoja za bandiko hili.

Asante
P
 
adui bado anabakikia kuwa ccm na tume ya ccm ya uchaguzi.
 
Mkuu rodrick alexander , hii dhana ya kudhani adui mkubwa wa Chadema ni CCM, is a wrong concept!.
Ukienda vitani, kama hunjui adui yako, Huwezi kushinda vita maana hujui umlenge Nani.

Enzi za bandiko hili, website ya CCM ilionyesha CCM ina wanachama milioni 6. Watu walijiandikisha kupiga kura ni watu milioni 20, wakiwemo wale milioni 6 wa CCM. Watu waliojitokeza kupiga kura ni watu milioni 8. Mshindi anashinda kwa kura milioni 5!. Kuna watu milioni 12 ambao walijiandikisha kupiga kura na hawakujitokeza. Adui yenu mkubwa sio wale watu milioni 5 walioichagua CCM, kati ya wanachama wake milioni 6, bali ni wale milioni 12 ambao hawajui thamani ya kura Yao!. Chadema needs to invest in people, mass mobilization and reaching out strategies kuwafikia wale milioni 12. Hao ndio ilikuwa wawe targeted, na 2015 ilikuwa Chadema waingie Ikulu. Adui wa Chadema aliyeikosesha Chadema Ikulu sio CCM, ni ...

Mfano sasa kwa haya madudu na maroroso yanayoendekea ndani ya Chadema, kuna chama cha kuipa ikulu yetu.
P
 

Tokea lini kura zinaamua nani awe rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…