Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Mkuu Nguruvi3, sina neno la kuongeza, wenye masikio, wamesikia.
 
Mkuu Nicholas, leo ndio nimekufikia na kiukweli hoja zako nyingi zimeisha jijibu kupitia majibu kwa wengine, tusiurefu sana huu mjadala bila sababu za msingi, walengwa wamesha sikia, unless kama bado kuna burning issue kwenye post zako za mbele, nitazikia na nitazijibu!.

Ila pia na wewe naomba unijulishe kabla kama na wewe unazo tabia za "kike" za kususa, ili nizijibu posti zako zote kabla hujasusa!.
P.
 
Mzee wa things right usiyeelewa hata maana yake.Nilikwambia usiijibu kama hutaki nirudi hapa.We mnafiki sana!Hasira kwasababu huwezi jibu hoja,umebakia kujibu post nyingine na kudai eti unarudi kinyumenyume!wapi wewe na mchezo wako huo.PM upate upate msaada kama yamekushinda!Nimeshakwambia sitojibu kama usipojibu.Ninajuwa kuna ambao wanayasimamia maswali yangu na mengine mengi unayo ya ignore!mambo ya kitooto!eti hata nikianzisha thread nisichangie kwasababu unatoa likes!kwani ukimquote mtu hapati notification?like miye sitoi kinaifki,nikiitoa ni kwamba kweli nimelike something about it!si kila mtu anauweza unafiki!Na wala miye sina style ya ku ilke posti ambayo siipendi contents zake kama wewe.

Ninaweza kuilike post kama nataka kuja kuifanya reference amakuipitia baadaye na kusioma nk.Hayo ya notification ili mtu arudi kujibu,inatakiwa umquote ili akirudi ajuwe cha kujibu.Hilo la kulike kwasababu ya kuchangia sijalizungumzia,na sababu uliyoitoa mwanzoni ni hilo la notification.

Unaweza kuendelea na mjadala wako,again,kama hutaki,do not quote.Na kama you don't like it,then don't give it a "like"
 
Nguruvi3,heshma mbele,unaweza kuja hapa kuchangia mkuu ili tuelewane?nimeshindwa kuelewa naomba uje hapa utoe msaada.Ni ombi mkuu maana inaonyesha mnakubaliana na ndugu Pasco.

Tafadhali sana mkuu ningependa uje hapa,na ndugu Mchambuzi ambaye ulilizungumzia suala la things right vs right things,unaweza kuja hapa mkuu?maana ndugu Pasco amelitumia bandiko lako kwenye hoja yake,kama umemwelewa,naomba uje hapa kuelewesha wengine ambao tuna maswali. Wale ambao bado hawajawaelewa nyie ma great thinkers,ni ombi mkuu.
Mzee Mwanakijiji pia na wewe kwa mara nyingine,nakuomba uje hapa ili tuweze kueleweshana.Nilimwomba ndugu Pasco aniwekee link ya thread ili niweze kuona context ulyoitumia kuyasema maneno ambayo Pasco ameyatumia kama mojawapo ya kauli za kuiback up hoja yake.Ni muhimu mkaja na kutuelewesha.

Natanguliza shukran!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu The One, nafanya marejeo kabla ya kuhitimisha hii thread, wewe ni mmoja wa wanachama ambao ni hazina kubwa kwa Chadema, nimeipenda sana reasoning yako. Thanks!.
P.
 

Wakuu zangu Mkandara na Pasco,

Ni wazi kuwa JF ya siku hizi imepoteza mvuto kwa watu serious! Kwa kweli Pasco ameleta bandiko linalogusa epicenter ya ushindi wa CDM 2015! Surely ningetamani CDM wawemo humu, kama ZZK, JJM, TL na wengineo ambao naamnini wana uwezo kuchangia growth ya CDM!

Ni wazi kuwa kama CDM watabadili na kufanyia kazi kero chache chache zinazoelekezwa kwao, 2015 itakuwa huree kwao. Hata kama CCM watamsimamisha EL, CDM wana nafasi nzuri sana ya kubadili dola 2015! Waache mambo ya kubweteka na nyomi ya sasa, muda bado sana, sijui kama kuna strategies zozote serikali za mitaa, hapa ndipo wanapotakiwa kutumia uchaguzi huo kama "mtihani wa moko" kuelekea 2015!!

Pasco dont loose tamper, tutashindwa kumjua nani ni nani!!!
 
Mkuu Nyunyu,kama unakubaliana na Pasco kwamba mabadiliko ya chadema ni kumsimamisha Zitto,basi na wewe umepotoka.Zitto huyo ambaye hatoi ushirikiano na wenzake ndo mnataka aje kujibu hapa?sidhani kama atafanya hivyo.

Nisikufiche mkuu,humu tunatoa ushauri tu,lakini kazi ya chadema wanayoifanya especialy m4c,ndicho kinachotakiwa,kuwafikia wananchi wa kweli na si hivi vivuli humu ndani!Tena wala usjidanganye eti sapoti ya JF ndo sapoti ya wananchi.Kama ni ikulu mbona JF ilishawaingiza chadema 2010?ilikuwa ukiingia hapa,unadhani kuwa nchi haina kipingamizi inachukuliwa!

So kwa kifupi,hao uliowataja,pamoja na kwamba tunahitaji maoni yao,wao pia wanahitaji yetu.

Sijasema kwamba chadema ni perfect na kwamba haiitaji mabadiliko,tatizo ni hamsemi ni mabadiliko gani hayo ili tujadiliane kwa hoja.

Pasco,ameongezea bandiko la Mchambuzi,sikufanikiwa kuchangia kwenye thread ile,lakini madhali yumo humu na nimem mention,hopefuly atakuja tujadiliane kwa hoja,maana nimeona ziko za kumjibu vyema kabisa bila wasiwasi,na amezungumzia mbali na "things right vs right things",pia amesema ufisadi siyo hoja ya kuwakomboa watanzania,jambo ambalo sikubaliani naye kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale ambao tulikuwa wasomaji tu kwenye mtanange huu wa magreat thinkerz hadi kufikia hapa kila mmoja
anajibu lake kichwani.

Wenye macho wameona na wenye masikio wamesikia...MCHELE umeonekana na PUMBA zimeonekana.

So hakuna haja ya kugombana! munaweza kuifunga hii thread kwa amani tu.
 
Mchele tunauchukua...Pumba tunaenda kuzitupa kwenye dampo.

Na bado tutaendelea kujifunza na kuchagua yale mazuri kutoka kwenu.
 
Mkuu Nyunyu, asante kwa ushauri. Natamani kulitumia bandiko lako hili as closing remarks!. Thanks.
P.
 
Tatizo la Pasco na group lake hawasemi chadema ibadilike nini? anasema vitu kwa mafumbo mafumbo

Labda


  1. [* Pasco unataka viongozi wa chadema ambao hawajaoa wala kuolewa, basi waoe ama kuolewa kabla ya 2015 kufika?
    [* Pasco unataka waache kuvaa kombati may be wanawatisha wananchi?
    [* Pasco unataka chadema isitishe mara moja M4C, wasubili uchaguzi 2015?
    [* Pasco unataka wajifunze na wao kuwanunulia ubwabwa, kofia, kanga, vilemba, na kuwagawia pesa wananchi kipindi cha uchaguzi kama wanavyofanya ccm?
    [* Pasco unataka chadema ihache kumtaja taja Lowasa kwamba ni mwizi na ni waziri mkuu aliejiuzuru kwa kashfa ya aibu ya ufisadi
    [* Pasco unataka chadema imuunge mkono na kumpa ushirikiano Tendwa?
    [* Pasco unataka chadema ihache udikteta wa kufukuza madiwani walichaguliwa na wananchi?
    [* Pasco unataka chadema ihache kususia na kutoka nj'e bungeni
    [* Pasco unataka chadema isitishe maandamano kwa sababu hayana tija kwa watanzania?
    [* Pasco labda anataka chadema ifunge ndoa na ccm kamailivyo CUF kule visiwani?
    [* Pasco labda ????
    [* Pasco labda ???
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mshikachuma, the matchmaker, nakupa urefa, raund 12 zimemalizika, tangaza kuisha kwa pambano. Toa points za Chadema Ibadilike vs Iendelee Hivyo Hivyo ilivyo!.
 

Hey:
Kwanza unakubali
Evidence is a piece of information that supports a conclusion

Pili unakubali

There is more than one type of evidence

Hiyo paragraphy ya pili iangalie vizuri kama in support unachobishania.
 
Watu mna njaa na kiu ya mabadiliko,
Chakula mpikiwe, mpakuliwe kwenye hotpot, muwekewe mezani, mpakuliwe kwenye sahani, kula huli hadi mlishwe, haya mpaka umelishwa tafuna basi umeze, hutafuni hadi nimewatafunia imebaki kumeza tuu!, sasa hata kumeza mnashindwa?!. Kasome Mchunguzi amewatafunia, sasa meza!.
 
Last edited by a moderator:
wewe kama mwandishi unatia aibu.Postings zako zimeonyesha jinsi ulivyo biased.Hujasupport hoja zako kwa hoja,ila kwa nguvu za kupost vitu vingi,kudanganya,kupotosha kwa makusudi etc.

Wakati unapiga blah blah zako uliponifurahisha ni hii trick ya novice ya "kutaja mapungufu kwa kutumia positive qualities" .Tupo dunia tofauti sana.Hizi ni trick wale jamaa watoa ushauri kwa recruits,ambao huwaambia watu ktk maswali wataulizwa maswali haya na haya halafu majibu yao yawe hivi na hivi.Mi nilishaapa kutopoteza muda kusoma non-sense za interviews za kazi, ila nitajifunza negotiation skills kwani zingenisaidia ktk business na hata katk conflicts. mimi huwa interview nilikuwa nawa interview pia hao interviers wengine wali kasirika na wengine waliofunguka kifikra walikubaliana nami na kunipa kazi. Maswali ya kijinga kama "can you work under pressure? bila kuniambia pressure gani , ni kusaini mkataba wa kinyonyaji au kumuonyesha muajiari mwenye akili kuwa upo tayari kuuza haki zako za msingi. Hapa kwa waliofanya kazi na wanyonyaji wa kichina/wahindi/waarabu and the type watanielewa, Kwanini mimi huwa nawataka waweke kauli sawa.Yaani hiyo pressure itatoka wapi?katika demands za task au pressure za kipuuzi toka kwa supervisors?Mimi nilikuwa nikiwapa kiasi cha malipo nitakacho,longolongo nyingine niliwapa live kama hawawezi lipa ni wazi hawana uwezo wa kuniajiri,full stop.Wapo waliweza elewa na wapo waliweka hisia zao.Siwezi shangaa kwa majibu yenu ya kukariri na kuchekesha kama ya Zitto alipokuwa akijibu maswali kuhusu magari ya kifahari .Hakuacha jiwekea vionjo ya ubishoo ambavyo this time,vilikuwa vinathibitisha against himself.
 

haha..kwa hiyo unadhani huhitaji jibu?Acha upuuzi kwanini nisuse sasa?naona unajitahidi tafuta support za kizembe kutojibu palipo kushinda.Pia kwa vile umeshaona jinsi gani unafanya wrong things right.Sasa adhabu yako ni kufunga mjadala na kuenda jipanga upya.ili ukaanze kwa kufanya right thing.

By the way mimi nafanya multiple tasks at the same time.Hivi ndivyo ubongo unapenda.So kama nina kitu nafanya nje ya computer na outdoors then its obvious sitakuwa na uwezo wa kufuatilia mambo.
 
Pasco,unaposema "things right" una maanisha kitu gani kwenye muktadha wa chama cha kisiasa?
 
Last edited by a moderator:
I salute you Pasco, ushauri mzuri ni jukumu la CDM kuangalia wapi panafaa wanyofoe wakayafanyie kazi......sasa itakuwaje yule mgombea wako akiona hiki ulichoandika, si ataona umeanza kuvaa gwanda?
 

Mkuu umenena, tatizo tulio wengi hatujui kuwa wanasiasa wanaiitaji JF kuliko JF inavyowaitaji wao. Mi naamini hapa yamekosekana majina tu lakini kimichango tupo nao muda wote.!!
 
Last edited by a moderator:
I salute you Pasco, ushauri mzuri ni jukumu la CDM kuangalia wapi panafaa wanyofoe wakayafanyie kazi......sasa itakuwaje yule mgombea wako akiona hiki ulichoandika, si ataona umeanza kuvaa gwanda?

Inaonyesha kuna sizable group of members who fear brightness very much.Hakuna ubishi wapenda giza hushirikiana kwa vile hupotea mara nyingi kuliko wapenda mwanga ambao wapo huru kuenda wapaonapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…