Mkuu
Nyunyu,kama unakubaliana na Pasco kwamba mabadiliko ya chadema ni kumsimamisha Zitto,basi na wewe umepotoka.Zitto huyo ambaye hatoi ushirikiano na wenzake ndo mnataka aje kujibu hapa?sidhani kama atafanya hivyo.
Nisikufiche mkuu,humu tunatoa ushauri tu,lakini kazi ya chadema wanayoifanya especialy m4c,ndicho kinachotakiwa,kuwafikia wananchi wa kweli na si hivi vivuli humu ndani!Tena wala usjidanganye eti sapoti ya JF ndo sapoti ya wananchi.Kama ni ikulu mbona JF ilishawaingiza chadema 2010?ilikuwa ukiingia hapa,unadhani kuwa nchi haina kipingamizi inachukuliwa!
So kwa kifupi,hao uliowataja,pamoja na kwamba tunahitaji maoni yao,wao pia wanahitaji yetu.
Sijasema kwamba chadema ni perfect na kwamba haiitaji mabadiliko,tatizo ni hamsemi ni mabadiliko gani hayo ili tujadiliane kwa hoja.
Pasco,ameongezea bandiko la
Mchambuzi,sikufanikiwa kuchangia kwenye thread ile,lakini madhali yumo humu na nimem mention,hopefuly atakuja tujadiliane kwa hoja,maana nimeona ziko za kumjibu vyema kabisa bila wasiwasi,na amezungumzia mbali na "things right vs right things",pia amesema ufisadi siyo hoja ya kuwakomboa watanzania,jambo ambalo sikubaliani naye kabisa.