Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Iwe Chadema au CCM, ifikapo 2015 Watanzania tusifanye makosa ya kuchagua Rais asiyekerwa na umaskini wetu ndani ya nchi yenye resources zote za kutufanya tuwe nchi tajiri na mfano Afrika. Tulikosea miaka ya nyuma, tusirudie makosa. Ee Mwenyezi Mungu tusaidie.
 
Unataka wafanane na magamba sio, wao ndio wanajuwa kuvumiliana hata kama ukiwa fisadi watakuvumilia tu, na ni bora kuwatimua wanakiuka katiba ya chama licha ya kupewa mda wa kuombaradhi wanakuwa viburi, hii ni nzuri kuliko kuwaacha watu wawe juu ya chama
 

Kwa nini watu mnapenda kukausha koo zenu hata pale ambapo hapastahili kupigwa yowe?? Mpaka CDM imuombe Lowasa kugombea urais ni kwamba tunataka kuamini kauli za Sita?! Kama anakuja kama mwanachama wa kawaida wa kuongeza idadi ya kura, basi anakaribishwa. Karibu ndugu LOWASA.
 

Okay nakubaliana na wewe kabisa, nili ova luku kidogo, kama atakubaliwa kama mwana chama wa kawaida tu. thanx
 
Mjadala huu ni very constructive.Niliona niwe msomaji zaidi ili niwe focused katika kujifunza,kweli wachangiaji wengi wametoa lecture ya kutosha kabisa!Bravo
 
Hivi CHADEMA itakapochukua nchi mwaka 2015 na kumkomboa mtanzania kutoka kwa mkoloni wakijani ungeshauri tuwatendeeje hawa waliotufikisha kwenye janga hili lakitaifa ambalo ni ufisadi, umaskini, elimu duni,sanaa michezo nautamaduni wa Mtanzania kufikia hapa tulipo leo tuwafanyeje je? tuwaache tusherehekee ukombozi pamoja au wafanyiwe kama china wanavyofanyiwa tafadhali toa maoni yako weka uzalendo mbele.
 
Wapewe kazi ya kufukia yale mashimo yote ya migodi iliyomalizwa madini na kuachwa mahandaki. Inauma sana aisee
 
Kwa wale wanaofaham comptition wataelewa wanacho kifanya cdm wanaleta ushindani wa kutenda mazuri kuwaongeza mashabiki wake,ndio hivyo itakavyo kuwa ikingia madarakani itapenda kutenda mahajcu ili ionekane ccm walikuwa wanawapotezea mda tu watanzania tuichague cdm ili ilete ush
 
Naendelea kufanya rejea, haya ndio yaliyokuwa matumaini ya Chadema kuchukua nchi!, kwa hiki kinachoendelea sasa, kweli bado kuna matumaini?!.
Pasco.
 
No doubt you are one of the most premium great thinker!mie tunatofautiana kwa mzee wako Yule!ccm itashinda kwa kishindwo Kama haitamsimamisha your only one!hii saccoss inaaminika majukwaani tu,inafaa sana Kuwa upinzani kwani inachangamsha kila idara lakini nakuhakikishia haifai kiongoza nchi hasa Tanzania!umaarufu kidogo tu wanataka kutoana Roho Vipi wakipewa nchi?
 
Nafanya rejea nilivyoiona Chadema 2012, na hii Chadema ya sasa kuelekea 2015!.
Pasco
 
Wanabodi,
Ushauri huu niliutoa 2012, leo miaka miwili baadae, naupitia na kuukuta ushauri wangu huu bado ni very valid, naanza kuukumbushia kidogo kidogo kadri 2015 inavyokaribia, ili baada ya 2015, nifanye stock taking, walishauriwa nini, walifanya nini, walipuuza nini na matokeo ni nini!.

Pasco.
 
Ni rahisi sana kuuliza swali lolote kuliko kutoa jibu sahihi..

Umeandika mambo mengi lakini haujasema 'specifically' wabadilike katika mambo yapi..; ?




  1. wabadilike kutoka uana harakati wawe chama cha siasa
  2. waache kusubiri ccm wakosee ndio iwe mtaji wa kujitangaza
  3. wafanye evaluation za operations zoote walizo fanya waone kama zimesaidia kiasi gani the wabadili strategies zao.
  4. sera ya maandamano imesababisha vifo vya watu wengi kwa kupigwa na vitu vyenye ncha kali pamoja na mabomu ya kutoa machozi hivyo waangalie jinsi ya kunusuru maisha ya wapenzi/wanachama wao kwa kutumia njia mbadala
  5. kuna wapenzi wa cdm wanapenda kujibu matusi kwa watu ambao wanatofautiana nao kimawazo hii ina sababisha watu wadhani cdm ni chama cha vurugu na matusi (kama huamini watch the comment za pro cdms)
  6. and the list goes on.....
 
Jamani mimi ni mwanachamam wa ccm, ila kiukweli haya maneno yameniingia sana moyoni, viongozi wa chdm fanyieni kazi
 
Naendeleza tafakuri ya uwezekano wa Chadema kushinda 2015!,kwa kuangalia niliona nini, na nini kimefanyika, nini bado na jee uwezekano bado upo?!.
Pasco
 
Thanks jamani mjadala ndio unatakiwa kuanza maana uchaguzi bado ndio unashika kasi huwez kufunga... mpaka 2015 nov tutafunga tukiwa na latest updates
 
Thanks jamani mjadala ndio unatakiwa kuanza maana uchaguzi bado ndio unashika kasi huwez kufunga... mpaka 2015 nov tutafunga tukiwa na latest updates

Mkuu,chadema kwa sasa hasa juu ya haya maamuzi ya kumfukuza Zito nafikiri wana rudi hatua mbili nyuma badala ya kwenda mbele.
 

Kwa vile wamemkata, sasa njia ni nyeupe kwa UKAWA.

Pasco
 
Hivi chadema itashinda kwa kura za kina nani? wachagga? wako wangapi nchi hii?
Tatizo una fwata upepo hujielewi. kama kijana amka acha itikadi zaki zee wewe. haitaji darasa kuelimishwa hilo sio chadema tena ni UKAWA acha uzoba ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…