Pasco,
Umenena vema,ni rahisi sana kukosoa na kurekebisha makosa.au niseme ni rahisi sana kutazama boriti lililo ndani ya jicho la mwenzako,LAKINI nivigumu sana kuwa sehemu ya hayo mazuri unayoyafikiria.
Jamani serikali ya CCM haiwachoshi tu bibi,shangazi,na watoto wa wanachama wa chadema.Sote tumepigika,sote Tunaumia,sote tunateseka.NI lini!!!!!!!! kauli hizi za kunyooshea vidole wengine kwamba wafanye hivi wafanye vile zitakomeshwa.
Huu ni mda wa kufanya maamuzi na kusimama upande mmoja.kama uko CCM zungumza kama mwanaCCM na kama ni mpambanaji simama ujibainishe na kuwa sehemu ya mabadiliko.
Tuachane na uvuguvugu ndio unaochelewesha safari yetu ya ukombozi,nchi hii bwana,
walimu vuguvugu
madaktari vuguvugu
waandishi vuguvugu
wanasiasa vuguvugu
Tatizo liko hapo.!!!!!!!!
EVERYBODY HAS TO CHANGE .
Dada Fine,
I wish to address kwa your current title (2015CDM1STL2B).
Hivi huwezi kuwa Mtanzania bila upande?. Kama wote tutakuwa na pande inamaanisha wote tutakuwa ndani ya box hili au lile, nani atawaangalizia nje ya box?.
Hivi ningekuwa na upande, siku ile nilipokaa na wewe na yeye pale tulipokutana by chance, ningeweza kuwashauri ushauri nilio washauri?.
Mimi sina chama na sina upande, nilipowaambia CCM kuwa wamechokwa
pia niliwashauri cha kufanya kuondokana na kuchokwa kwao.
Nilipowaambia Chedema hamjajipanga, japo niliambulia matusi lakini pia niliwashauri cha kufanya.
Nimefanya vivyo hivyo kwa CUF kuhusiana na SUK. Pale mtaa wa Ufipa huwa nimefika na nitafika tena na tena!, Lumumba pia nimefika na nitaendelea kufika na pale Buguruni pia nimefika na nitafika!, ningekuwa na upande ningewezaje?.
When you look good, don't depend on a mirror to satisfy yourself how good you look, but listen to compliments from others on how they see you on your look!.
Chadema is doing good and its doing the right thing, but doing the right thing alone is not enough, Chadema got to do things right!.
Kama sio sisi tulio nje kuona mapungufu yenu, nani atawaambia wakati walio ndani wote wanawaimbia songs of praise kwa sifa na mapambio?.
Sisi wengine ni watazamaji tuu na kazi yetu ni kusema, 2010 mliliizwa mkalia, hatutaki na 2015 mje kulia lia as if hamkuambiwa na mkilizwa sisi tuliowaambia kabla hatuta wahurumia, tutawazomea!.
Pasco,