Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

...maisha wanaisho watz walio weng ndo yatafanya chadema kuingia madaran...ila wananch wakkubal kufwanya mifugo na ccm kamwe hakuta tokea mabadlko hapa tz
 
Ni rahisi sana kuuliza swali lolote kuliko kutoa jibu sahihi..

Umeandika mambo mengi lakini haujasema 'specifically' wabadilike katika mambo yapi..; ?

You and Pasco like this.
Sijaelewa Pasco amekupa like kwa misingi gani?
 
kama wachaga waliweza kuwachagulia wabunge iringa,mwanza,dar,arusha,mbeya,singida ninini kitawazuia kuwapa nchi yote?
hizi propaganda hazijawahi kuisaidia ccm bado wewe na ukilaza wako unaendelea kuziamini?

Hata makaratasi ya kura hesabu juu, chini, nje, ndani lakini kura za Urais msahau. Kuna mtu alikumbusha kura za Jimbo la Zitto, ubunge Zitto, Urais Kikwete. Sijui Zitto alimpigia debe Kikwete? maana naona misafara mingi wapo pamoja. Hapo sasa.
 
You could say better than this, na Mzee Mwanakijiji naye ni mtu wa mafumbo?

Hata pale asipotumia mafumbo utakuta analazimisha watu wachukue maamuzi ambayo anayafikiria yeye, ukienda kinyume na mawazo yake anakuclassify kama "Mgumu kubadirika" as if there is only one way...
 
Hivi chadema itashinda kwa kura za kina nani? wachagga? wako wangapi nchi hii?

naona sasa unatumia pombe ya ukabila na hii madhara yake ni sawa na pombe ya udini utajinyea hovyo na kuhara uharo mbele ya watoto wako na mke wako na kutia aibu cha msingi acha pombe hizi unajiddharilisha tumechoka na kujinyea kwako hapa jf.
 
Hata makaratasi ya kuyahesabu juu, chini, nje, ndani lakini kura za Urais msahau. Kuna mtu alikumbusha kura za Jimbo la Zitto, ubnge Zitto, Urais Kikwete. Sijui Zitto alimpigia debe Kikwete, maana naona misafara migi wapo pamoja. Hapo sasa.

Zitto anaonewa wivu na wachaga.
2015 atagombea urais kwa tiketi ya BAKWATA.
 
Mimi niliwashauri zamani na niliwauliza wana kipi cha kuwaahidi Waislaam? Nyuzi ikaishia kufutwa mbio mbio na moderator mwenye mapenzi na chadema, badala ya kujadili, mwenyewe akidhani anaitengenezea chadema kumbe anaiharibia.

Huo ndio ufinyu mkubwa wa hawa watu. "Hawasikii la muadhini wala mteka maji msikitini".

Nchi hii ina makundi maalumu, walemavu wa viungo, wazee, wagonjwa, wajawazito, wanawake. . . .

Hawa wote wanapewa upendelea sehemu moja au nyingine. Waislamu nao ni kundi maalum?

Maajabu, with this attitude ya kutaka favour, mtakuwa wa kupewa ubwabwa na ccm na kuwapigia kura daima dumu.
 
Mimi niliwashauri zamani na niliwauliza wana kipi cha kuwaahidi Waislaam? Nyuzi ikaishia kufutwa mbio mbio na moderator mwenye mapenzi na chadema, badala ya kujadili, mwenyewe akidhani anaitengenezea chadema kumbe anaiharibia.

Huo ndio ufinyu mkubwa wa hawa watu. "Hawasikii la muadhini wala mteka maji msikitini".
Tumeahidiwa mambo yafuatayo
1.elim bure amboyo ccm imeshindw kutoa
2.maishabora ambayo ccm wameshidwa kutekeleza
3.kukamata wezi(mafisad)namengine mengi
 
Mtake msitake CDM haiwezi kushinda bila kura za waislamu,lazima mkumbuke ni wakristo wengi hawaikubali CDM na waislamu %99.9 hawaikubali CDM.
 
Pasco,

Umenena vema,ni rahisi sana kukosoa na kurekebisha makosa.au niseme ni rahisi sana kutazama boriti lililo ndani ya jicho la mwenzako,LAKINI nivigumu sana kuwa sehemu ya hayo mazuri unayoyafikiria.

Jamani serikali ya CCM haiwachoshi tu bibi,shangazi,na watoto wa wanachama wa chadema.Sote tumepigika,sote Tunaumia,sote tunateseka.NI lini!!!!!!!! kauli hizi za kunyooshea vidole wengine kwamba wafanye hivi wafanye vile zitakomeshwa.

Huu ni mda wa kufanya maamuzi na kusimama upande mmoja.kama uko CCM zungumza kama mwanaCCM na kama ni mpambanaji simama ujibainishe na kuwa sehemu ya mabadiliko.

Tuachane na uvuguvugu ndio unaochelewesha safari yetu ya ukombozi,nchi hii bwana,

walimu vuguvugu
madaktari vuguvugu
waandishi vuguvugu
wanasiasa vuguvugu

Tatizo liko hapo.!!!!!!!!

EVERYBODY HAS TO CHANGE .
Dada Fine,
I wish to address kwa your current title (2015CDM1STL2B).
Hivi huwezi kuwa Mtanzania bila upande?. Kama wote tutakuwa na pande inamaanisha wote tutakuwa ndani ya box hili au lile, nani atawaangalizia nje ya box?.

Hivi ningekuwa na upande, siku ile nilipokaa na wewe na yeye pale tulipokutana by chance, ningeweza kuwashauri ushauri nilio washauri?.

Mimi sina chama na sina upande, nilipowaambia CCM kuwa wamechokwa
pia niliwashauri cha kufanya kuondokana na kuchokwa kwao.

Nilipowaambia Chedema hamjajipanga, japo niliambulia matusi lakini pia niliwashauri cha kufanya.

Nimefanya vivyo hivyo kwa CUF kuhusiana na SUK. Pale mtaa wa Ufipa huwa nimefika na nitafika tena na tena!, Lumumba pia nimefika na nitaendelea kufika na pale Buguruni pia nimefika na nitafika!, ningekuwa na upande ningewezaje?.

When you look good, don't depend on a mirror to satisfy yourself how good you look, but listen to compliments from others on how they see you on your look!.

Chadema is doing good and its doing the right thing, but doing the right thing alone is not enough, Chadema got to do things right!.

Kama sio sisi tulio nje kuona mapungufu yenu, nani atawaambia wakati walio ndani wote wanawaimbia songs of praise kwa sifa na mapambio?.

Sisi wengine ni watazamaji tuu na kazi yetu ni kusema, 2010 mliliizwa mkalia, hatutaki na 2015 mje kulia lia as if hamkuambiwa na mkilizwa sisi tuliowaambia kabla hatuta wahurumia, tutawazomea!.

Pasco,
 
Chadema sio rahisi kushinda, kwa sababu imeonesha dhahiri kuwa ni chama cha kanisa, sisi waislamu hatuwapi kura zetu , hilo lazima walijue, sasa watashinda kwa kura za kina nani?

WATANZANIA. pombe ya udini unayakunywa na wenzio akina zomba matokeo yake mnajinyea hovyo kama mabata humu jf mtakuja kubaka hata watoto zenu. Jitazame nzi wanavyokufata umeshajiharibia mdamrefu.
 
Hivi chadema itashinda kwa kura za kina nani? wachagga? wako wangapi nchi hii?
Kweli wapo watu wana vichwa vigumu kama wewe, hivi mpaka leo, bado unafikiria hiyo propaganda ya ukabila utaendelea kuwalisha wa-TZ? Hivi huko Morogoro na Iringa, ambako magamba waliomba support ya polisi,baada ya kuona maji ya shingo, kutokana na hicho kimbunga cha M4C, hadi wakauawa kina Mwangosi na Ally Zona, huko nako wanaishi wachaga??!!
 
Kwa wale wapenzi wa Chadema, for sure, Uchaguzi wa 2015, Chadema inaweza kabisa Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If "Itabadilika" and provided that CCM haitamsimamisha yule mgombea wangu!. Japo ni vema kuwa great expectations on Chadema kuchukua nchi 2015, only if Chadema itabadilika, vinginevyo keep hopping for the best na kama Chadema haitabadilika, you better get prepared for the worst kwa sababu 2015 itakuwa ni CCM Tena!.

NB. Msiniulize Chadema wabadilike nini, wahusika wameshaambiwa imebaki kusikiliza na kutekeleza!.

Naomba kuwasilisha.

Pasco.

Vipi Mkuu Pasco umeshasoma upepo nini? Sasa umeshamwambia yule mgombea wako kuwa hamna chenu? Ulifikiri atakuja kuwa Rais na upewe Promotion kama ya Michuzi? Na umemwambia rafiki yako Lemutuzi kuwa umeshasoma alama za nyakati, kama bado basi mmpe nae amekuwa siku hizi akili zake zimeshikwa na Nape, anaropoka kuliko hata mwalimu wake Nape.

 
ikifika 2015
Dresalaam itakuwa jiji jipya
lenye flying overs na mabasi yaendayo kasi
na daraja kigamboni

CCM watalitumia hili kama ahadi kwa majiji mengine
na Kikwete hatakuwa mgombea

CHADEMA wana mlima wa kupanda
 
Pasco,

Umenena vema,ni rahisi sana kukosoa na kurekebisha makosa.au niseme ni rahisi sana kutazama boriti lililo ndani ya jicho la mwenzako,LAKINI nivigumu sana kuwa sehemu ya hayo mazuri unayoyafikiria.

Jamani serikali ya CCM haiwachoshi tu bibi,shangazi,na watoto wa wanachama wa chadema.Sote tumepigika,sote Tunaumia,sote tunateseka.NI lini!!!!!!!! kauli hizi za kunyooshea vidole wengine kwamba wafanye hivi wafanye vile zitakomeshwa.

Huu ni mda wa kufanya maamuzi na kusimama upande mmoja.kama uko CCM zungumza kama mwanaCCM na kama ni mpambanaji simama ujibainishe na kuwa sehemu ya mabadiliko.

Tuachane na uvuguvugu ndio unaochelewesha safari yetu ya ukombozi,nchi hii bwana,

walimu vuguvugu
madaktari vuguvugu
waandishi vuguvugu
wanasiasa vuguvugu

Tatizo liko hapo.!!!!!!!!

EVERYBODY HAS TO CHANGE .
Hata wewe umepigika? Hii ni kali. Hivi unajua kama Tanzania kuna washabiki wa vyama vingine mbali na ccm na cdm?
 
Back
Top Bottom