Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

majebere kwa nini uiongelei TLP na unaiongelea Chadema? hivi kuna binadamu mwenye akili timamu akatokwa na mipovu kama wewe kwa kitu ambacho siyo threat kwake!!?

mkuu usishangae mwenzako ndio sehem yake ya kaz asipofanya hivyo mkono hauendi kinywani.msamehe bure.
 
Last edited by a moderator:
mkuu Mkandara, apo palipopigiwa mstari nadhani hasa panalenga sera mbadala ambazo CDM wanazo zinazoonyesha kwa wananchi ni kwa nini waichague CDM 2015. Sasa nguvu zielekezwe kuelimisha wananchi na kuwapa sera za ukweli za CDM ambazo zinalenga moja kwa moja kwa wananchi ambao ndo walengwa wakuu.
eg 1.CCM wameshindwa kutatua tatizo la ajira, je CHADEMA wanasera gani katika suala la ajira? akuangalia sahivi wajiri wengi wanashirikiana na uhamiaji katika kupokea rushwa na kutoa workpermit ili kupitisha watu kutoka nchi zingine na wengine hawana uwezo kabisa kiutendaji (refer vodacom saga) na kule kwenye hospitality industry. Unajikuta unaletewa makaburu ambaye unamfundisha kazi then after two week ndo anakuwa boss wako.

2. Sasa hivi nchi ipo katika kipindi cha ufisadi mkubwa ambao CCM na washirika wake amabo ndo wanaiongoza nchi hakuna wa kumfunga nyani kengere. JE CDM wanamikakati gani ili kupambana na ufisadi ambao ata ndani ya CDM kwa namna moja ama nyingine unaweza kuwemo?. Kumbuka sasa hivi CDM inajiandaa kupokea mamluki wengi tuu kutoka ccm na kila mmoja anakuja na akili yake na malengo yake, je wote wanakuja kwa ajili ya maslahi ya wananchi?

3 kuna suala la uwajibikaji na kiutendaji kutokana na kurithi mfumo mbovu wa kikoloni na application of DEVIDE AND RULE STRATEGIES (udini, ukanda,ukabira)ambazo zinapigiwa zumali sana na CCM juzi CUF nao naona waliingia mkenge. ni muda muafaka sasa kwa CDM kujipambanua kikamilifu hasa kwa wananchi sije ikawa ya ""IF U DONT CONVINCE THE CONFUSE THEM"" na mangineyo mengi ambayo yanabidi yazingatiwe kwa umakini zaidi.

VIONGOZI wazingatie sana kuwaeleza wananchi sera mbadala, we need changes!!!!!!!!!!

sisi sote ni ndugu tatizo ni ccm
Umenigusa sana mkuu wangu na bila shaka wamekusikia.. zamani kabla ya Uchaguzi wa mwaka 2010 lazima ungemsikia Zitto, Mnyika, Au Doctor wakiingia hapa na kuanza na sisi kutupa darsa lakini nashangaa saa siku hizi tumebakia watupu. najiuliza kulikoni?..maana utawasoma wanazi tu hapa JF kila mtu akizungumza lake na ndio maana hadi sasa tumebakia hatuna majibu kwa Pasco.

I wish viongozi hawa watarudi JF na kuendelea pale walipoachia, maana yawabidi wakumbuke vizuri sana kwamba Chadema imejengwa na JF kwa michango mbalimbali ya wanabodi iwe wa CCM, CUF, Chadema au wale wenye machungu tu na kupotelewa dira. Tena ninayo orodha kubwa sana ya watu ambao hawana uanachama wala fikra za Uchadema isipokuwa Wazalendo wenye uchungu na nchi hii.

Uzalendo wao ulowasukuma kuitazama Chadema kama chama kilichopo ktk nafasi nzuri sana ya kumwondoa CCM na moja ya sababu kubwa ilikuwa kwamba viongozi wake walikuwa karibu sana na wananchi, wasikivu na wenye kutembelea vijiwe kama hivi kuelewa Watanzania wanataka nini.. Lakini ndio dunia wengine tukisema tunapachikwa jeuri na ukaidi...
 
Last edited by a moderator:
KUSHINDA NCHI KWA KISHINDO NA WAPAMBE KAMA LEMA INAWEZEKANA. HAPA CHINI ALIVYOTEKA TABATA DAR-ES-SALAAM KWA WAJANJA.

Huwezi kushinda urais na chama kilichojaa vihiyo wasanii na wachonganishi. Wanamchukia zito kabwe, wanachonganisha wahandishi na serikali, wananchi na polisi, ccm na wananchi. Wafie mbali na hao waingereza wao.
 
always fools are of the same colour masquarading with religious fibers in each and averything shame on
 
Huwezi kushinda urais na chama kilichojaa vihiyo wasanii na wachonganishi. Wanamchukia zito kabwe, wanachonganisha wahandishi na serikali, wananchi na polisi, ccm na wananchi. Wafie mbali na hao waingereza wao.
Wwe ni m2 kati ya wa2?
 
Umenigusa sana mkuu wangu na bila shaka wamekusikia.. zamani kabla ya Uchaguzi wa mwaka 2010 lazima ungemsikia Zitto, Mnyika, Au Doctor wakiingia hapa na kuanza na sisi kutupa darsa lakini nashangaa saa siku hizi tumebakia watupu. najiuliza kulikoni?..maana utawasoma wanazi tu hapa JF kila mtu akizungumza lake na ndio maana hadi sasa tumebakia hatuna majibu kwa Pasco.

I wish viongozi hawa watarudi JF na kuendelea pale walipoachia, maana yawabidi wakumbuke vizuri sana kwamba Chadema imejengwa na JF kwa michango mbalimbali ya wanabodi iwe wa CCM, CUF, Chadema au wale wenye machungu tu na kupotelewa dira. Tena ninayo orodha kubwa sana ya watu ambao hawana uanachama wala fikra za Uchadema isipokuwa Wazalendo wenye uchungu na nchi hii.

Uzalendo wao ulowasukuma kuitazama Chadema kama chama kilichopo ktk nafasi nzuri sana ya kumwondoa CCM na moja ya sababu kubwa ilikuwa kwamba viongozi wake walikuwa karibu sana na wananchi, wasikivu na wenye kutembelea vijiwe kama hivi kuelewa Watanzania wanataka nini.. Lakini ndio dunia wengine tukisema tunapachikwa jeuri na ukaidi...
Mkuu Mkandara, muda wa ku bow down na humbless bado haujawadia, ukikaribia, utawaona, ila hata binadamu, wakipata, hubadilika!.

Hata JK huyu, muoneni hivi hivi!, alipokuwa MFA, tulikaa nae meza moja Msondo, Arusha nimewahi kujichanganya nae mahali, na Mwanza kwenye mambo ya umiss nimewahi kumrekodi mwanzo mwisho, ingekuwa ni kama Daily Mail au Mirror, wala asingekuwa!. Enzi hizo akiniona nimeshika mic na kamera, alisimama japo kusalimia tuu!, leo yeye ni yeye, siku hizi hata salamu hijibiwa hujibiwa bila hata kugeuza kichwa "bize"!.

Juzi juzi alikuwa mgeni rasmi event fulani pale Kempinski, assignment yangu ni kuandaa program ya Kiswahili, Mkuu katoa hatuba ya Kiingereza, mwanzo mwisho!, nikafanya utaratibu wa protocal kupata access ya 5 min clip ya Kiswahili, thank to Premmy alinipatia access kwamba fight and get that!, nilifight sikufanikiwa mpaka anashuka chini kwenye group photo, wale jamaa walipoona najiandaa kwa vox pop, wakasema sorry mzee yuko busy ana wahi mahali!. Nilijiekekeza kwenye strategic location ili akipita tuu, camera imdake, na kweli alipita nikasalimia kwa kulazimisha, akajibu bila kugeuka huku anaelekea kwenye gari, then akachange mind akageuka kurudi, nikawasha tena kamera nikajua this time, amechange mind sasa anakuja!, huwezi amini, alinipita as nothing, na kuwaulizia wazungu fulani wa Errickson, alichat nao hapo nje ya kempinski for 15 good minutes!. Kiukweli I felt down small kama sisimizi, nikamrudia yule jamaa aliyenizua eti mzee yuko bize anawahi mahali!, nikasema kumbe mahali penyewe anapowahi ndio hapa!. Aliondoka bila a singe swahili word zaidi ya Marahaba!.

Vivyo ndivyo walivyo wazee wetu hawa, kwao jf doesn't matter much!, wako busy na tweeter na fb, humu utawaona from 2014 because by then, they'll need jf again, kama tulivyoshuhudia jamaa akilala mpaka chini mavumbini wakati wa kuomba kura!.

One thing for sure, they get the messege loud and clear, kama ni kutatokeleza, huo ni wajibu wao, sisi kwa kusema, tumetimiza wajibu wetu!.

Pasco.
 
Good kama haya yanatoka moyoni mwako inapendeza sana, my dought wewe ulishajipambanua sana hapa jamvini kwamba ni mfuasi wa lowassa.
:focus:
sisi sote ni ndugu tatizo ni ccm
Mkuu The One, wanasema "choose your love, and love your choice" kwani mpaka sasa Chadema inaye mgombea wa 2015?. Kwa upande wa CCM, huyo ndiye mgombea wangu na nimeishatoa angalizo humu, akisimamishwa yeye, 2015 ni CCM tena!.
 
pumba na mchele zikichanganywa pamoja.

badilika kwanza wewe na mafumbo yako. watanzania tushachoka na mafumbo na misemo(ya jk).
Mkuu Baba Kimoko, kiukweli pumba hukaa na mchele, ukishapepetwa, ndipo hujitenga na mchele!, Kwa vile hizi ni pumba zimechanganywa na mchele, naomba tusaidiane kupepeta ili wewe uchukue mchele na mimi ndio nibaki na pumba!.

Haya niliiongea humu ni mambo madogo tuu ya wazi kabisa na sio mafumbo, sasa kama wewe Babaa Kimoko, mambo madogo haya umeyaona mafumbo, jee nikukuletea hayo mafumbo utasema nini?. Kwa ushauri wa kuboresha I.Q nakushauri bora usiendele kula mchele, bora ule wanachokula kuku!, nimeukubali ushauri wako na nimeshaanza kubadilika kuanzia sasa, na tukisha upepeta, si ilikuwa mchele uchukuwe wewe, sasa nimebadilika, ili kukusaidia, mchele nitauchukua mimi na kukuachia hizo pumba zitakusaidia sana!.
 
KUSHINDA NCHI KWA KISHINDO NA WAPAMBE KAMA LEMA INAWEZEKANA. HAPA CHINI ALIVYOTEKA TABATA DAR-ES-SALAAM KWA WAJANJA.

Ni watu wasio na umakini tuu ndio hawataelewa hii picture.Mpiga picture alijaribu a good skill with little imagination and experience.Kivuli kimemsaliti,alikaa mbele ktik mkutano ambao watu walikuwa wamekimbia jua kali la Dar, ila hakukaa umbali wa kutosha ficha vivuli vya watu wengi nyuma yake....Poor smear campaign.This is JF ndugu yangu kila mtu ana skills zake.
 
Umenigusa sana mkuu wangu na bila shaka wamekusikia.. zamani kabla ya Uchaguzi wa mwaka 2010 lazima ungemsikia Zitto, Mnyika, Au Doctor wakiingia hapa na kuanza na sisi kutupa darsa lakini nashangaa saa siku hizi tumebakia watupu. najiuliza kulikoni?..maana utawasoma wanazi tu hapa JF kila mtu akizungumza lake na ndio maana hadi sasa tumebakia hatuna majibu kwa Pasco.

I wish viongozi hawa watarudi JF na kuendelea pale walipoachia, maana yawabidi wakumbuke vizuri sana kwamba Chadema imejengwa na JF kwa michango mbalimbali ya wanabodi iwe wa CCM, CUF, Chadema au wale wenye machungu tu na kupotelewa dira. Tena ninayo orodha kubwa sana ya watu ambao hawana uanachama wala fikra za Uchadema isipokuwa Wazalendo wenye uchungu na nchi hii.

Uzalendo wao ulowasukuma kuitazama Chadema kama chama kilichopo ktk nafasi nzuri sana ya kumwondoa CCM na moja ya sababu kubwa ilikuwa kwamba viongozi wake walikuwa karibu sana na wananchi, wasikivu na wenye kutembelea vijiwe kama hivi kuelewa Watanzania wanataka nini.. Lakini ndio dunia wengine tukisema tunapachikwa jeuri na ukaidi...
Thanks Mukandara.
Nadhani hayo ni sehemu ya mabadiliko anayosema Pasco. Kwamba wabadilike kutoka hapo walipo na kurudi katika nafasi yao. Ni ukweli moja ya mambo yaliyowajenga CDM ni sehemu kama hizi, sijui kwanini wameamua kuwa 'out of touch' na public

Pasco ana point kuwa CCM wamechokwa, hata bila sababu nzito watu wamechoka kwasababu hakuna jipya. Wanajua utendaji wa serikali ya CCM, Chama na Bunge. Hawatarajii jambo lolote zaidi kwamba wamefika 'yield point' beyond that..

Matarajio ya Wananchi ni kuona Chademawanaongoza kwa mtazamo na njia tofauti.
Inaonekana huko siko wanakoelekea!
Ifike mahali wananchi waone tofauti ya vyama hivi viwili kiitikadi, kiutendaji na kuwajibika.
Endapo hawatabadilika itafika mahali watu wanasema, better the devil you know than the angel yo don't know.
There should be a clear demarcation between the past and the future.
 
Kama utaguzi utaitishwa leo, Chadema itashinda kwa kishindo kikubwa cha ajabu, lakini ukiwauliza hao watakaokipa Chadema ushindi, ni sababu zipi za kuichagua Chadema, hawatakupa sababu yoyote zaidi ya kuichagua Chadema kwa sababu wameichoka CCM!.ili Chadema iweze kupata ushindi wa Tsunami kwa uchaguzi wa 2015, lazima Chadema ikubali kubadilika, isiendelee kuutegemea huu umaarufu wa muda kwa kushangiliwa na umati wa watu walioichoka CCM, bali Chadema sasa lazima iwape Watanzania sababu za kuichagua Chadema.
Hakuna ubishi kuwa siku zote, CCM imekuwa ikishinda chaguzi mbalimbali "kihalali" na mtaji wao mkubwa wa ushindi ni "watu".

Pasco.Kila mtu ataona juhudi yako ya kutoa ushauri na kujadili sana hoja.Ila hili hapa mimi nabisha.Na nina bisha neno "kihalali" na neno "watu".

Kwa jinsi chaguzo zimeendeshwa ni wazi neno halali si valid kama lilivyo zoezi zima la uchaguzi.Sheria inarushuru tume kutangaza mshindi.Jua kutangaza mshindi si kuchunga ushindi wa mshindi.

Uchaguzi ni process ni process inayoanzi mbali,kuanzia uteuzi, tume kuridhis wateule, kampaeni, kupiga kura, na matokeo.Bila kote kufanyika kwa kiwango kinachokubalika kisheria na uadilifu matokeo yanaweza yasilingane na uhalisia na hivyo kufanya yasiwe "halali au valid" nadhani umeshalewa ninapoelekea.Hakuna ubishi kuwa tume haipo huru na hivyo haina "uhalali" kuleta matokeo "halali".

Tofauti ya CCM na watu wengine ni kwamba CCM kama ilivyo TBS yao huwa wanaangalia matokeo katk zoezi lenye stage nyingi.TBS wanaangali ubora wa Ufungaji wa asali ila hawana uangalizi wala viwango kwa uzalishaji wa asali huko kwa wafugaji wa nyuki,na hivyo kutoguarantee(kutohakikisha au halalisha),ubora wa asali kwa mtumiaji.Ndio maana si TBS walioona kuwa asali ya Tabora ina sumu iliyotokana na sumu iliyipigwa katika tumbaku.Tupo pamoja mkuu wangu?

Kuhusu watu huwezi sema kuwa CCM ilikuwa na mtaji watu halafu ukaenda halalisha kuwa ndio maana CCM kushinda utakuwa unarahisisha sana mambo.This is politics n apolitics mtaji wa kila chama cha kisiasa ni watu,so huwezi sema watu walikuwa mtaji kwa CCM na wasiwe kwa CDM.Nadhani umeshaanza ona how Logically flawed is your concept?

Mtaji watu ni too Obvious and against CCM,tofauti zita base on "how many" people would vote.Na hawa si lazima wawe wanachama.Records zinaonyesha raia walio wanachama kwa ujumla wake ni wachache kuliko wasio wanachama.Kwa hiyo wanachama wa CCM hawana influence sana.CDM walikuwa na impressive records ya kuwa na wahudhuriaji wengi na wao ndio wamechangia kutokeza kwa wapiga kura wengi ingawa pia watu wanegi walikosa kwa kutokuwa na vitambulisho au kuhama n ahivyo kushindwa piga kura.

So far so good, Chadema is doing a good job kwa sababu M4C is doing the right thing!. Doing the right thing alone, doesn't guarantee sweet clear victory for Chadema, it got to do things right!. Hii inamaanisha ili Chadema ishinde kwa kishindo kinachotakiwa, lazima ikubali kubadilika and start doing things right besides doing the right thing!.

Hii hoja ni mfu na wametumia sana mkandara na mchambuzi na occasionally Pasco.Tofauti ni lugha tuu katik ya mchambuzi na Mkandara

Na kusisitiza kuwa chadema lazima wabadilike bila kuwa na solution wabadilike katik nini ni kufanya ushauri mfu kama si kuita upinzani.CDM wapo dyanimic na M4C imekuja na concepts za mageuzi na mabadiliko kila idara,kuanzia agenda,propaganda, kuongeza wanachama, etc.Kwa hiyo kitu "kubadilika" si kuwa wewe ndio unawafundisha ila wana ki practice sasa hivi kwa kasi ya ajabu ndio maana CCM wapo katika mawazo yaleyale na propaganda zilezile ila failures zilezile wakati CDM igunga hawakuwa na hata mgombea ila sasa kura walizozipata n astronomical", arumeru hawakuwa na mbunge leo wana mbunge waliyempata kwa kumbana CCM na tume katik kila angle kama hewa inavyobanwa ndani ya tube.

Hivyo ndugu zangu viongozi wa Chadema najua 2015 mmedhamiria kwa dhati kuchukua nchi kwa ushindi wa kishindo!, lakini ili lengo hili litimie, ni lazima kwanza mkubali kusikiliza, pili mkubali kubadilika kwa kuzikiliza hoja zinazotolewa kuhusu Chadema na kuzifanyia kazi!.

Ushauri si amri kwa hiyo si lazima kuufuata kama unaona hauna manufaa, n aushauri hautolewi kwa mtu kwa kumwambia sokoni kwa kutumia Microphones.

So far wapo successful inaonyesha kuwa wamesikiliza ushauri wa watu wengi,na kuuafanyia kazi,pia wamesikia ushauri wenye malengo ya kipumbavu sana tena mara nyingi sana na hawakuufanyia kazi.mfano upo kwenye ushauri wa WanaCCM ambao hata kushauri chama chao hawajaweza ni vipi wataweza mshauri mpinzani ambaye kila siku anwashida kwa hoja,mbinu na kila kitu.Na its illogical kufikiri kuwa mtu mwenye akili timamu akimshauri adui jinsi ya kushinda vita.Hizi postings ushauri wa wengi ni kama ushauri wa mtu anayetaka fanya "suicide".
Naomba kumalizia kwa nukuu kutoka kwa mmoja wa wanachama wetu humu jf.
quote_icon.png
By Mzee Mwanakijiji
Nitasema jambo moja zito- labda mbeleni nitaliangalia zaidi - ni wagumu sana kushaurika. Wametengeneza cocoon ya kujilinda kiasi kwamba ni vigumu sana kuweza kutoka ndani. Na kama kuna kitu kitakachosababisha waendelee kuwa wapinzani wa kudumu siyo kukosa ushauri au mawazo mapya bali kutokukubali kubadilika.

Its funny kuwa Mwanakijiji namheshimu na anaheshimika sana katika tasnia ya habari, na hii quote niliona katika thread husika.Ingawa sikuweza ipatia tafsiri sahihi hivyo nikaipotezea na sikuona haja ya kutaka kueleweshwa sana.Ila nakumbuka wapo watu walikuwa wakisuggest sana CDM imjukuishe katik safu ya uongozi.Na mmojawapo ya wachangiaji waliowahi shauri hilo si mwingine ni Mkandara.Its no coincidence huyu controversial mkandara alikwenda mbalia sana kushauri vijana aliowaona kuwa wasomi mmojawapo ni Michuzi. Nadhani unaweza ona mambo jambo issues za wachangiaji humu ndani.Nimekupa hii highlight ili uwezo kuona kwamba kuwa, mbali na wewe kuipa credibility hii posting kwa vile unadhani inasupport nortion zako,pia hatuna hakika kuwa mwanakijiji hakuathirika na mawazo ya akina Mkandara.Na pengine majaribio yake hayakuleta matokeo aliyoyategemea na hivyo hakuwa katika position ya kukubali procedures za kuingia CDM na ku climb ladders.Hii inaweza pia kuelezea kilichoandikwa.

Kwanini watu wasione ugumu wa CDM kushaurika nndio power yao badala yake watu wanakimbilia kuita udhaifu wao?Kwa jinsi nimeona washauri wengi tuu,tena wengine wana wafuasi kibao na katika media wana mawazo ya kukurupuka sana.Pia si best options in a long term.

NIMEONA GAZETI MOJA LINA ARTICLE KAMA WARAKA WA MKANDARA KWA CDM.Sisemi uongo lile gazeti nimeliweka katik list ya vimeo,nimelichanachana palepale.Its funny huyu mkandara anaye fumble kuelezea hiyo "big theory yake ya doing right thing in a right way" hapa JF ndio kapata hiyo coverage nyepesi.Hili ni anguko la utashi na wepesi wa wachambuzi wa taifa.taifa hili limekuwa na magazeti kama takataka tuu,hakuna gazeti mtu anaweza liweka ktik shelf n akulisoma siku unataka angalia concepts na approaches za watu wengine.

Kwa wale wapenzi wa Chadema, for sure, Uchaguzi wa 2015, Chadema inaweza kabisa Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If "Itabadilika" and provided that CCM haitamsimamisha yule mgombea wangu!. Japo ni vema kuwa great expectations on Chadema kuchukua nchi 2015, only if Chadema itabadilika, vinginevyo keep hopping for the best na kama Chadema haitabadilika, you better get prepared for the worst kwa sababu 2015 itakuwa ni CCM Tena!.

NB. Msiniulize Chadema wabadilike nini, wahusika wameshaambiwa imebaki kusikiliza na kutekeleza!.

Naomba kuwasilisha.

Pasco.

Pasco unajua mnakuwa wepesi sana kama wale watu walikuwa wakipigwa na kuwapiga wengine pasi enzi zile kunyoosha na kutibu maumivu ya mgongo.

CDM wala hawahitaji wazo la kubadilika na hata jinsi ya kubadilika,wana njia zao za kupata data na wanafanya choices zao si kwa porojo za vijiweni ina based on conreate facts.

Kuhusu mgombea wako sipendi pinga kuwa ni influencial ila lazima atengue kitendaliwi hiki.(Yeye asiwe Mzigo kwa CCM, na CCM isiwe mziko kwake),pia aweze washawishi wazee wote pale CCM ambao hawapo tayari tena kusubiri miaka inayoweza kuwa 10 au zaidi.Aweze washawishi kwa kiasi cha kuwafanya wakubali kushindwa na kubaki bila hasira na tamaa itakayofanya wamchafue zaidi huku wengine wakijidai kuwa wanamsapport.

NADHANI HAPA NDIPO PANAHITAJI USHAURI WAKO KULIKO CDM.Chadema wanauwezo wa kumbomoa yeyote katik CCM pamoja na CCM yenyewe.ILa watafaidi sana CCM ikijivunja yenyewe.Uchaguzi ujao CDM ikiwepo yeyote atakayesimama anashinda kama hakuna big and samart move upande wa CCM."Big sacrifice".

Muda si mrefu msajili wa vyama anakuwa useless kw ahivyo hawezi futa CDM tena, majeshi tayari kuna vijana kibao si wana CCM achilia mbali wazee.

"Naomba msinione kuwa mnoko n ampiga sumu katika kila mazalia yenu"
 
Thanks Mukandara.
Nadhani hayo ni sehemu ya mabadiliko anayosema Pasco. Kwamba wabadilike kutoka hapo walipo na kurudi katika nafasi yao. Ni ukweli moja ya mambo yaliyowajenga CDM ni sehemu kama hizi, sijui kwanini wameamua kuwa 'out of touch' public'

Pasco ana point kuwa CCM wamechokwa, hata bila sababu nzito watu wamechoka kwasababu hakuna jipya. Wanajua utendaji wa serikali ya CCM, Chama na Bunge. Hawatarajii jambo lolote zaidi kwamba wamefika 'yield point' beyond that..

Matarajio ya Wananchi ni kuona Chademawanaongoza kwa mtazamo na njia tofauti.
Inaonekana huko siko wanakoelekea!
Ifike mahali wananchi waone tofauti ya vyama hivi viwili kiitikadi, kiutendaji na kuwajibika.
Endapo hawatabadilika itafika mahali watu wanasema, better the devil you know than the angel yo don't know.
There should be a clear demarcation between the past and the future.

Sidhani kama mna hakika kuwa CDM hawajasikia kelele zote hizi za wimbo unaaorudiarudia sana.Pengine kama mnataka neno .Tumesikia.
 
Huwezi kushinda urais na chama kilichojaa vihiyo wasanii na wachonganishi. Wanamchukia zito kabwe, wanachonganisha wahandishi na serikali, wananchi na polisi, ccm na wananchi. Wafie mbali na hao waingereza wao.

Haha..hapa hakuna tofauti na mtu anayelia na daktari kuwa Kamchonganisha na Ngono kwa vile kamwambia ana virus visababishavyo ukimwi.:yawn::yawn::yawn::yawn:
 
...Mkuu Mzalendo80, Pasco bado anajaribu sana kuzuga watu hapa jamvini kwa kusema hivi, "Mimi sina chama na sina upande, nilipowaambia CCM kuwa wamechokwa pia niliwashauri cha kufanya kuondokana na kuchokwa kwao." lakini ukweli ni kwamba bado ni gamba wa kutupa na wala hatalivua gamba. Yule mgombea wake bado anampigia chapuo la nguvu kwa mategemeo kwamba kama mambo yatamnyookea 2015 baada ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi basi anaweza kuambulia manukato japo kidogo ili naye ajirushe kwa raha zake.

Vipi Mkuu Pasco umeshasoma upepo nini? Sasa umeshamwambia yule mgombea wako kuwa hamna chenu? Ulifikiri atakuja kuwa Rais na upewe Promotion kama ya Michuzi? Na umemwambia rafiki yako Lemutuzi kuwa umeshasoma alama za nyakati, kama bado basi mmpe nae amekuwa siku hizi akili zake zimeshikwa na Nape, anaropoka kuliko hata mwalimu wake Nape.

Umenigusa sana mkuu wangu na bila shaka wamekusikia.. zamani kabla ya Uchaguzi wa mwaka 2010 lazima ungemsikia Zitto, Mnyika, Au Doctor wakiingia hapa na kuanza na sisi kutupa darsa lakini nashangaa saa siku hizi tumebakia watupu. najiuliza kulikoni?..maana utawasoma wanazi tu hapa JF kila mtu akizungumza lake na ndio maana hadi sasa tumebakia hatuna majibu kwa Pasco.

I wish viongozi hawa watarudi JF na kuendelea pale walipoachia, maana yawabidi wakumbuke vizuri sana kwamba Chadema imejengwa na JF kwa michango mbalimbali ya wanabodi iwe wa CCM, CUF, Chadema au wale wenye machungu tu na kupotelewa dira. Tena ninayo orodha kubwa sana ya watu ambao hawana uanachama wala fikra za Uchadema isipokuwa Wazalendo wenye uchungu na nchi hii.

Uzalendo wao ulowasukuma kuitazama Chadema kama chama kilichopo ktk nafasi nzuri sana ya kumwondoa CCM na moja ya sababu kubwa ilikuwa kwamba viongozi wake walikuwa karibu sana na wananchi, wasikivu na wenye kutembelea vijiwe kama hivi kuelewa Watanzania wanataka nini.. Lakini ndio dunia wengine tukisema tunapachikwa jeuri na ukaidi...

NI muda muafaka kuanzia sasa wale member wote wa chadema waliokuwa humu jf miaka ile from 2009 mpaka january 2011 warudi tujenge chama, those days jf ilikuwa na wanachama kama sikosei 12000 but now ukiangalia scale ya invisible wanaitafuta laki sasa ya wanachama, kuna wengine kama laki wanaingia as guest.Zile mada za kipindi kile zirudi tena katika mtindo wa kisasa zaidi na kumwaga sera bila kikomo, mbona makampuni ya simu mpaka leo bado yanatangaza ununue vocha na promotion kibao. Viongozi tunawahitaji warudi humu ndani tujenge chama. Wengine nasikia sahivi wanaipoNDA JF.

sisi sote ni ndugu tataizo ni ccm
 
Huwezi kushinda urais na chama kilichojaa vihiyo wasanii na wachonganishi. Wanamchukia zito kabwe, wanachonganisha wahandishi na serikali, wananchi na polisi, ccm na wananchi. Wafie mbali na hao waingereza wao.

Wewe hujui unachoongea, kwanini wewe mwanaccm umshabikie zito kabwe? ni lini umemsikia akilalamika kwamba anachukiwa ndani ya chama? vp kuhusu lowassa? muulize pasco atakusimulia yote habari za lowassa chamani then ndo ukurupuke zito anachukiwa.

sisi sote ni ndugu tatizo ccm
 
Back
Top Bottom