Kama utaguzi utaitishwa leo, Chadema itashinda kwa kishindo kikubwa cha ajabu, lakini ukiwauliza hao watakaokipa Chadema ushindi, ni sababu zipi za kuichagua Chadema, hawatakupa sababu yoyote zaidi ya kuichagua Chadema kwa sababu wameichoka CCM!.ili Chadema iweze kupata ushindi wa Tsunami kwa uchaguzi wa 2015, lazima Chadema ikubali kubadilika, isiendelee kuutegemea huu umaarufu wa muda kwa kushangiliwa na umati wa watu walioichoka CCM, bali Chadema sasa lazima iwape Watanzania sababu za kuichagua Chadema.
Hakuna ubishi kuwa siku zote, CCM imekuwa ikishinda chaguzi mbalimbali "kihalali" na mtaji wao mkubwa wa ushindi ni "watu".
Pasco.Kila mtu ataona juhudi yako ya kutoa ushauri na kujadili sana hoja.Ila hili hapa mimi nabisha.Na nina bisha neno "
kihalali" na neno "
watu".
Kwa jinsi chaguzo zimeendeshwa ni wazi neno halali si valid kama lilivyo zoezi zima la uchaguzi.Sheria inarushuru tume
kutangaza mshindi.Jua kutangaza mshindi si kuchunga ushindi wa mshindi.
Uchaguzi ni process ni process inayoanzi mbali,kuanzia uteuzi, tume kuridhis wateule, kampaeni, kupiga kura, na matokeo.Bila kote kufanyika kwa kiwango kinachokubalika kisheria na
uadilifu matokeo yanaweza yasilingane na uhalisia na hivyo kufanya yasiwe "
halali au valid" nadhani umeshalewa ninapoelekea.Hakuna ubishi kuwa tume haipo huru na hivyo haina "uhalali" kuleta matokeo "halali".
Tofauti ya CCM na watu wengine ni kwamba CCM kama ilivyo TBS yao huwa wanaangalia matokeo katk zoezi lenye stage nyingi.TBS wanaangali ubora wa Ufungaji wa asali ila hawana uangalizi wala viwango kwa uzalishaji wa asali huko kwa wafugaji wa nyuki,na hivyo kutoguarantee(kutohakikisha au halalisha),ubora wa asali kwa mtumiaji.Ndio maana si TBS walioona kuwa asali ya Tabora ina sumu iliyotokana na sumu iliyipigwa katika tumbaku.Tupo pamoja mkuu wangu?
Kuhusu watu huwezi sema kuwa CCM ilikuwa na mtaji watu halafu ukaenda halalisha kuwa ndio maana CCM kushinda utakuwa unarahisisha sana mambo.This is politics n apolitics mtaji wa kila chama cha kisiasa ni watu,so huwezi sema watu walikuwa mtaji kwa CCM na wasiwe kwa CDM.Nadhani umeshaanza ona how Logically flawed is your concept?
Mtaji watu ni too Obvious and against CCM,tofauti zita base on "how many" people would vote.Na hawa si lazima wawe wanachama.Records zinaonyesha raia walio wanachama kwa ujumla wake ni wachache kuliko wasio wanachama.Kwa hiyo wanachama wa CCM hawana influence sana.CDM walikuwa na impressive records ya kuwa na wahudhuriaji wengi na wao ndio wamechangia kutokeza kwa wapiga kura wengi ingawa pia watu wanegi walikosa kwa kutokuwa na vitambulisho au kuhama n ahivyo kushindwa piga kura.
So far so good, Chadema is doing a good job kwa sababu M4C is doing the right thing!. Doing the right thing alone, doesn't guarantee sweet clear victory for Chadema, it got to do things right!. Hii inamaanisha ili Chadema ishinde kwa kishindo kinachotakiwa, lazima ikubali kubadilika and start doing things right besides doing the right thing!.
Hii hoja ni mfu na wametumia sana mkandara na mchambuzi na occasionally Pasco.Tofauti ni lugha tuu katik ya mchambuzi na Mkandara
Na kusisitiza kuwa chadema lazima wabadilike bila kuwa na solution wabadilike katik nini ni kufanya ushauri mfu kama si kuita upinzani.CDM wapo dyanimic na M4C imekuja na concepts za mageuzi na mabadiliko kila idara,kuanzia agenda,propaganda, kuongeza wanachama, etc.Kwa hiyo kitu "kubadilika" si kuwa wewe ndio unawafundisha ila wana ki practice sasa hivi kwa kasi ya ajabu ndio maana CCM wapo katika mawazo yaleyale na propaganda zilezile ila failures zilezile wakati CDM igunga hawakuwa na hata mgombea ila sasa kura walizozipata n astronomical", arumeru hawakuwa na mbunge leo wana mbunge waliyempata kwa kumbana CCM na tume katik kila angle kama hewa inavyobanwa ndani ya tube.
Hivyo ndugu zangu viongozi wa Chadema najua 2015 mmedhamiria kwa dhati kuchukua nchi kwa ushindi wa kishindo!, lakini ili lengo hili litimie, ni lazima kwanza mkubali kusikiliza, pili mkubali kubadilika kwa kuzikiliza hoja zinazotolewa kuhusu Chadema na kuzifanyia kazi!.
Ushauri si amri kwa hiyo si lazima kuufuata kama unaona hauna manufaa, n aushauri hautolewi kwa mtu kwa kumwambia sokoni kwa kutumia Microphones.
So far wapo successful inaonyesha kuwa wamesikiliza ushauri wa watu wengi,na kuuafanyia kazi,pia wamesikia ushauri wenye malengo ya kipumbavu sana tena mara nyingi sana na hawakuufanyia kazi.mfano upo kwenye ushauri wa WanaCCM ambao hata kushauri chama chao hawajaweza ni vipi wataweza mshauri mpinzani ambaye kila siku anwashida kwa hoja,mbinu na kila kitu.Na its illogical kufikiri kuwa mtu mwenye akili timamu akimshauri adui jinsi ya kushinda vita.Hizi postings ushauri wa wengi ni kama ushauri wa mtu anayetaka fanya "suicide".
Naomba kumalizia kwa nukuu kutoka kwa mmoja wa wanachama wetu humu jf.
By Mzee Mwanakijiji
Nitasema jambo moja zito- labda mbeleni nitaliangalia zaidi - ni wagumu sana kushaurika. Wametengeneza cocoon ya kujilinda kiasi kwamba ni vigumu sana kuweza kutoka ndani. Na kama kuna kitu kitakachosababisha waendelee kuwa wapinzani wa kudumu siyo kukosa ushauri au mawazo mapya bali kutokukubali kubadilika.
Its funny kuwa Mwanakijiji namheshimu na anaheshimika sana katika tasnia ya habari, na hii quote niliona katika thread husika.Ingawa sikuweza ipatia tafsiri sahihi hivyo nikaipotezea na sikuona haja ya kutaka kueleweshwa sana.Ila nakumbuka wapo watu walikuwa wakisuggest sana CDM imjukuishe katik safu ya uongozi.Na mmojawapo ya wachangiaji waliowahi shauri hilo si mwingine ni Mkandara.Its no coincidence huyu controversial mkandara alikwenda mbalia sana kushauri vijana aliowaona kuwa wasomi mmojawapo ni Michuzi. Nadhani unaweza ona mambo jambo issues za wachangiaji humu ndani.Nimekupa hii highlight ili uwezo kuona kwamba kuwa, mbali na wewe kuipa credibility hii posting kwa vile unadhani inasupport nortion zako,pia hatuna hakika kuwa mwanakijiji hakuathirika na mawazo ya akina Mkandara.Na pengine majaribio yake hayakuleta matokeo aliyoyategemea na hivyo hakuwa katika position ya kukubali procedures za kuingia CDM na ku climb ladders.Hii inaweza pia kuelezea kilichoandikwa.
Kwanini watu wasione ugumu wa CDM kushaurika nndio power yao badala yake watu wanakimbilia kuita udhaifu wao?Kwa jinsi nimeona washauri wengi tuu,tena wengine wana wafuasi kibao na katika media wana mawazo ya kukurupuka sana.Pia si best options in a long term.
NIMEONA GAZETI MOJA LINA ARTICLE KAMA WARAKA WA MKANDARA KWA CDM.Sisemi uongo lile gazeti nimeliweka katik list ya vimeo,nimelichanachana palepale.Its funny huyu mkandara anaye fumble kuelezea hiyo "big theory yake ya doing right thing in a right way" hapa JF ndio kapata hiyo coverage nyepesi.Hili ni anguko la utashi na wepesi wa wachambuzi wa taifa.taifa hili limekuwa na magazeti kama takataka tuu,hakuna gazeti mtu anaweza liweka ktik shelf n akulisoma siku unataka angalia concepts na approaches za watu wengine.
Kwa wale wapenzi wa Chadema, for sure, Uchaguzi wa 2015, Chadema inaweza kabisa Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If "Itabadilika" and provided that CCM haitamsimamisha yule mgombea wangu!. Japo ni vema kuwa great expectations on Chadema kuchukua nchi 2015, only if Chadema itabadilika, vinginevyo keep hopping for the best na kama Chadema haitabadilika, you better get prepared for the worst kwa sababu 2015 itakuwa ni CCM Tena!.
NB. Msiniulize Chadema wabadilike nini, wahusika wameshaambiwa imebaki kusikiliza na kutekeleza!.
Naomba kuwasilisha.
Pasco.
Pasco unajua mnakuwa wepesi sana kama wale watu walikuwa wakipigwa na kuwapiga wengine pasi enzi zile kunyoosha na kutibu maumivu ya mgongo.
CDM wala hawahitaji wazo la kubadilika na hata jinsi ya kubadilika,wana njia zao za kupata data na wanafanya choices zao si kwa porojo za vijiweni ina based on conreate facts.
Kuhusu mgombea wako sipendi pinga kuwa ni influencial ila lazima atengue kitendaliwi hiki.(
Yeye asiwe Mzigo kwa CCM, na CCM isiwe mziko kwake),pia aweze washawishi wazee wote pale CCM ambao hawapo tayari tena kusubiri miaka inayoweza kuwa 10 au zaidi.Aweze washawishi kwa kiasi cha kuwafanya wakubali kushindwa na kubaki bila hasira na tamaa itakayofanya wamchafue zaidi huku wengine wakijidai kuwa wanamsapport.
NADHANI HAPA NDIPO PANAHITAJI USHAURI WAKO KULIKO CDM.Chadema wanauwezo wa kumbomoa yeyote katik CCM pamoja na CCM yenyewe.ILa watafaidi sana CCM ikijivunja yenyewe.Uchaguzi ujao CDM ikiwepo yeyote atakayesimama anashinda kama hakuna big and samart move upande wa CCM."Big sacrifice".
Muda si mrefu msajili wa vyama anakuwa useless kw ahivyo hawezi futa CDM tena, majeshi tayari kuna vijana kibao si wana CCM achilia mbali wazee.
"Naomba msinione kuwa mnoko n ampiga sumu katika kila mazalia yenu"