Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Jumlisha wachaga wote wa Mbeya, Mwanza, ubungo, Kawe, Arusha, Arumeru, na kwingine kote ambako Chadema wamekula majimbo yaliyokuwa ya CCM utapata jibu... sawa?

teh teh...jumlisha waliopo "malawi, china, dubai ,etc" .Kuongezea uthibitisha kwa failures za serikali.Nao watambiwa wanadhoofisha juhudi za serikali kupata ushidni katik suala la ziwa nyasa , "china" wataambiwa wanajaribu ichonganisha serikali na comrade wa kichina,"Dubai" pengine wanaipigia deal zenj.
 
Ama kweli Chadema ina wenyewe...Hata yale maneno ya Pasco naambiwa nimeyasema mimi.. kazi kweli kweli mijitu mingine imesoma lakini hamna kitu..
 
quote_icon.png
By zomba
Mimi niliwashauri zamani na niliwauliza wana kipi cha kuwaahidi Waislaam? Nyuzi ikaishia kufutwa mbio mbio na moderator mwenye mapenzi na chadema, badala ya kujadili, mwenyewe akidhani anaitengenezea chadema kumbe anaiharibia.

Huo ndio ufinyu mkubwa wa hawa watu. "Hawasikii la muadhini wala mteka maji msikitini".
Kwanza CDM kuwataja si waislam hata wengine kwa makundi yao mfululizo ni kosa. Hilo tuu ni kosa la kibaguzi na siwashauri kufanya hivyo.Ikiwa tanzania hatuna neno sahihi kwa politically correct peopla la kuwaita "Albinos".Imagine kumtaja rais liyeshindwa kuongoza halafu umtaje kwa kuweka na dini yake?.Ama waislam waepeleke mawazo yao na CDM iyaangalie na kuomba na dini nyingine walete madai yao.Chama kisort out common things ambayo yatakwenda moja kwa moja ktk majuisho kabla ya kuhamia katika unique things.

Hivi unadhani waislam wakidai mahakama ya kadhi wakristu nao watashindwa dai?Nadhani unaanza ona tatizo.CDM wanaweza ahidi kutoa ushirikiano kwa waislam ili waweze jenga mahakama imara na inayoaminika na waislam bila ingilia mfumo wa ki secular wala kuwekwa katika katiba.Kwanza waislam hawajahi kuwa na imani na chochote cha waislam.mfano mzuri ni bakwata sasa iweje watake iwawekee mahakama ya kadhi halafu wasione kuwa hata mamluki wa serikali wanaweza kuwepo?

Mchangiaji alipaswa washauri waislam waanza mchakato ktk misikiti utakaopelekea wao kujuana,kujiwekea katika ya kidunia itumike ktk kuongoza (administration) ya mahakama,huku (sheria za hukumu mashauri) zikiwa zitoka katika vitabu vya kiislam.Waumini waandaliwe kuziheshimu na kuzifuata, automatically zitafanya kazi vizuri sana na atakayekaidi basi pawe na adhabu ndogondogo km kutengwa,kususiwa matatizo yake na akitokea kuzidi mipaka ni ishara kuwa si muumini tena.
 
Ama kweli Chadema ina wenyewe...Hata yale maneno ya Pasco naambiwa nimeyasema mimi.. kazi kweli kweli mijitu mingine imesoma lakini hamna kitu..

Sio swala la chadema ina wenyewe, issue ni kwa nini mnakuja na mijadala yenye mafumbo kwa viongozi wa chadema wakati kama wewe ushajitanabaisha hapa ni mwanachama wa chadema, wataje viongozi wenye mapungufu au hao wasioshaurika ndani ya chadema, sio kila siku mnakuja na thread zenye mafumbo na majungu majungu hayo mambo yapo ccm si chadema
 
well said mkuu..hawa wachawi wana mumunya maneno si waseme tu watakalo.Niliwahi mwambia mtu humu ndani kwamba katik ku-practice ushirikina wake ana option ya kusema wazi "tumwitwe mganga" ajifiche kuyafanya sirini tumwite "mchawi".

Sawa sawa, Hawa ni "CERTIFIED LIERS" tena wanafiki, maneno meeeeeeeeeeeeeeeeengi hakuna pointi, wanajizungusha kwa ufahamu wa kucheza na maneno na vijibusara hewa lakini ukiangalia kwa makini maandiko yao mareeeeeeeeefu hayana hata chembe ya msaada, Ni wao wenyewe na wana CCM wenzao ndio wakisoma maandiko yao wanaelewa wanamaanisha nini no wonder why umewaia wachawi, ni kama vile wamejitengenezea ka secrete society ambako wanayoyaandika wanaelewa wao wenyewe. Self proclaimed Great Thinkers.

Nawapa option ya Mwisho kabla sijawacertify kuwa vilaza.
CCM Inatakiwa kubadirika kwa kuacha kukumbatia viongozi ambao wamekwisha bainika kuwa ni Mafisadi, Mfano Lowasa, Chenge, Mkono n.k

watueleze Chadema wanatakiwa kubadirika namna gani, na kwa nini?
 
Pasco umetumia neno "Hakuna ubishi" kama tayari umeshafanya research ya kutosha, ikiwa hivyo ni kheri.

Lakini ukweli ni huu, kwa miaka mingi CCM imejaribu kujenga matumaini ya maisha bora kwa watanzania bila mafanikio. Jambo hili ndiyo ambalo limekuwa chukizo kubwa kwa wapiga kura wa rika zote. Kwa mantiki hiyo, kazi inayofanywa na CDM ni mazalia ya matendo ya CCM toka miaka mingi kuongoza nchi pasi kuwa na malengo serious.

Lakini huo ni upande wa mmoja, upande wa pili ili CDM iweze kuingia 2015 madarakani ni kuomba upepo wa kusiasa uvume vizuri mpaka 2014 - 2015 ambapo wapiga kura wengi watakuwa wameshatoa maamuzi ya chama gani kishinde.

Lakini naona CCM nao wamejipanga vya kutosha kuhakikisha hilo nalo halitokei kwa kuanza kukipaka CDM matope kuwa ni chama cha vurugu na mauaji!!!!!

Zaidi ya hapo CCM ipo nyuma ya Jeshi la Polisi kuhakikisha mambo hayaendi mrama.
Hayo ni maoni yangu.

Kuingia CDM 2015 madarakani itategemea na karata wabunge wake watavyozichanga vizuri mpaka 2015 nakujiandalia mazingira mazuri ya kushinda.
...............................................................................................................................................................

I am puzzled with DEPENDENCE SYNDROME OF OUR TOP POLITICAL ELITES. WHO CAN DO US AWAY WITH THIS SYNDROME?! JE VILE VYAMA VYA UHURU VYA MWANZO KAMA TANU WALIPATA WAPI MTAJI WAO WA KUENEZA SERA NA NIA YA KUWAKOMBOA WANANCHI? JE KUNA KITU GANI KIMEBADILIKA HIVI SASA KIASI CHA WATU KUSHINDWA KUWA MTAJI WA MABADILIKO? NANI HATATUTOA KWENYE UBEBERU MAMBO LEO? JE NI NANI?

I AM IN VIEW THAT CDM SHOULD CONTRAST ITSELF FROM THIS SYNDROME IF IT NEEDS TO LEAD THE NATION TO PROSPERITY WITHOUT EXTERNAL PRESSURES AND INFLUENCES! THIS IS A PUZZLE TO TOTAL LIBERTY. I STAND TO BE CORRECTED.

I SUBMIT!
 
Sio swala la chadema ina wenyewe, issue ni kwa nini mnakuja na mijadala yenye mafumbo kwa viongozi wa chadema wakati kama wewe ushajitanabaisha hapa ni mwanachama wa chadema, wataje viongozi wenye mapungufu au hao wasioshaurika ndani ya chadema, sio kila siku mnakuja na thread zenye mafumbo na majungu majungu hayo mambo yapo ccm si chadema
Mkuu wangu tutaweza tu kujadili kama utakuwa msikivu badala ya kutumia jazba..Taratibu tutaelewana, sasa nakuomba nionyeshe mahala niliposema Viongozi wa Chadema ndio wenye mapungufu, hivi 'doing thing right' ni mapungufu ya uongozi? maana nijuavyo JK na CCM ni dhaifu aren't 'Doing the right thing'.

Labda nikufafanulie dhana ya 'Doing the right thing' na 'Doing thing right' halafu upime mwenyewe..
Unaweza kuweka nguvu kubwa sana ktk kupanga na kutayarisha mikakati kwa fikra za kwamba utauza lakini ukiwaletea wananchi hawatazipenda. CCM wameweka nguvu kubwa ktk kukibomoa Chadema badala ya kuwapelekea maendeleo wananchi - is it the right thing? - Don't think so!..wanafanya makosa na ndio maana wananchi wanazidi kukikimbia chama..Hapa naweza kusema kuna Udhaifu na Mapungufu ya uongozi maana planning huanza na kutazama soko lako (WATU) na mahitaji yao hata iwe biashara huwezi kwenda China kama ni right palce kuchukua mzigo halafu ukaleta mali isiyokuwa na soko nchini ikakudodea. Hivyo 'Doing the right thing' inatangulia sku zote..

Vile vile 'Doing the right thing' pekee haitoshi isipokuwa 'Doing things right' inaongeza matamanio ya wateja wako. Ni jambo zuri sana kuwapa watu kile wanachokihitaji (soko) lakini pia unatakiwa kuweka ktk mazingira ambayo wanunuzi wataendelea kupenda kununua kutoka kwako. Doing thing right it's about your own image na sio product unayouza. Hivyo maadam CCM inapwaya na wananchi wana hamu ya kuwaondoa madarakani kuna kila sababu Chadema kujiweka ktk nafasi ya kuonyesha inaweza na ikapendwa kwa sababu hizo ktk uchaguzi wa mwaka 2015. Doing thing right haina maana mbaya hata kidogo sijui nyie wenzangu mmesoma shule zipi, lakini mimi sioni kabisa tatizo lolote..
 
Sawa sawa, Hawa ni "CERTIFIED LIERS" tena wanafiki, maneno meeeeeeeeeeeeeeeeengi hakuna pointi, wanajizungusha kwa ufahamu wa kucheza na maneno na vijibusara hewa lakini ukiangalia kwa makini maandiko yao mareeeeeeeeefu hayana hata chembe ya msaada, Ni wao wenyewe na wana CCM wenzao ndio wakisoma maandiko yao wanaelewa wanamaanisha nini no wonder why umewaia wachawi, ni kama vile wamejitengenezea ka secrete society ambako wanayoyaandika wanaelewa wao wenyewe. Self proclaimed Great Thinkers.

Nawapa option ya Mwisho kabla sijawacertify kuwa vilaza.
CCM Inatakiwa kubadirika kwa kuacha kukumbatia viongozi ambao wamekwisha bainika kuwa ni Mafisadi, Mfano Lowasa, Chenge, Mkono n.k

watueleze Chadema wanatakiwa kubadirika namna gani, na kwa nini?
Mkuu hakuna sababu ya kutoleana matusi wala kumhukumu mtu kwa mawazo yake. Tunakusoma na kukuelewa japokuwa unachoongea wewe ndio uongo mkubwa maana ndio kwanza nayasikia kwako. Mtatukana weee mwisho wa siku hamshindani na Mkandara isipokuwa 2015 ni uchaguzi mkuu..

#168 Umeandika hivi:-
Nachokijua mimi ni kwamba CHADEMA wanakubaliana na Waislamu kuwa na Mahakama ya Kadhi na ni matarajio yangu kwamba watawasupport katika kuhakikisha kwamba Kadhi anaoperate effectively.
Kitu kingine nakitambua ni kwamba CHADEMA wanashare sentiments na waislamu wengi juu ya uwepo wa BAKWATA, Lakini pia najua hawakubaliani na kuiingiza Tanzania kwenye Jumuiya ya nchi za Kidini ikiwemo OIC. inawezekana yakawapo mambo mengi sana ambayo waislamu wanahitaji direct support ya Serikali ama Idara za Kiserikali na ninauhakika kwamba serikali chini ya CHADEMA haitokuwa nzito kwenye kutoa ushirikiano huo na pia nina uhakika mkubwa sana kwamba kuna baadhi ya mambo watawaambia waislamu kwamba haya hayawezekani.

Ushauri wangu kwa waislamu ama Jumuiya za Kiislamu ni kujiandaa kuwa na viongozi wenye upeo wa kusimamia maslahi yao reasonably ama sivyo SERIKALI ITAENDELEA KUWA SERIKALI
 
Mkuu wangu tutaweza tu kujadilikaa utakuwa na msikivu badala ya kutumia jazba..Taratibu tutaelewana, sasa nakuomba nionyeshe mahala niliposema Viongozi wa Chadema ndio wenye mapungufu 'doing thing right' ni mapungufu au? maana nijuavyo JK na CCM ni dhaifu aren't ' Doing right thing'.

Labda nikufafanulie dhaa ya 'Doing the right' na 'Doing thing right' halafu upime mwenyewe..Unaweza kuweka nguvu kubwa sana ktk kupanga na kutayarisha mikakati kwa fikra za kwamba utauza lakini ukiwaletea wananchi hawatazipenda. CCM wameweka ngvu kubwa ktk kukibomoa Chadema is it the roght thing? Dont' think so na ndio maana wananchi wanazidi kukikimbia..Hapa naweza kusema kuna Udhaifu na Mapungu ya uongozi maana planning huanza na kutazama soko lako hata iwe biashara huwezi kwenda China kama ni right palce kuchukua mzigo halafu ukaleta mali isiyokuw anasoko nchini ikakudodea..Hivyo Doing the right thing inatangulia sku zote..

Vile vile 'Doing the right thing' pekee haitoshi isipokuwa 'Doing things right' inaongeza matamanio. Ni jambo zuri sana kuwapa watu kile wanachokihitaji (soko) lakini pia unatakiwa kuweka ktk mazingira ambayo wanunuzi wataendelea kupenda kununua kutoka kwako. Doing thing right it's about your own image na sio product unayouza. Hivyo maadam CCM inapwaya na wananchi wana hamu ya kuwaondoa madarakani kuna kila sababu Chadema kujiweka ktk nafasi ya kuonyesha inaweza na ikapendwa kwa sababu hizo. Ding thing right haina maana mbaya hata kidogo sijui nyie wenzangu mmesoma shule zipi, lakini mimi sioni kabisa tatizo lolote..
Mukandara kama umekubali kufanya ushirikina sirini basi kubali kuitwa "mchawi" otherwise option nyingine ambayo sio mbaya sana "kuitwa mganga". Tatizo la msingi ni kuwa mshirikina.

Unachoongea hapa ni matusi kwa wana CDM,yaani haiwezekani wafanye vitu sahihi na kwa mafanikio kiasi hichi halafu uje na longolongo nyepesi kiasi hichi kuwa "They dont do things right".Dunia imshagundua vitu sana kiasi cha kufanya ugunduzi mpya kuwa mgumu sana.Kuna kitu kinaitwa "efficiency" kinameba zaidi ya unachokomaa nacho hapa desperately.CDM kitu efficiency kipo katk core ya principals zao.Wana jopo dogo sana ingawa wewe na sita mnaona ni safu nyembamba.Walitumia helcoptor wewe na weneka mlikuja juu sana kuwa Mbowe tuu ndio kupenda sifa.Ila mwishowe wakathibitisha walikuwa na wanaendelea kuwa fara ahead of you.

Mbona una fight for less,wakati watu wanakwenda for more?wewe kwako kusema kuwa "doing thing right" kunaishia kumpatia mteja akipendacho ni is fighting for less.Smart Seller ana introduce vitu vipya kwa mteja kila kukich aili kuongeza soko na market share.Maana mitandao kam ebay,alibaba, Linkedin, facebook, google etc wana tools za "autosuggest". Wansuggest profile za watu, rafiki wa rafiki zako, bidhaa nyingine iliyowavutia watu na pengine zinaweza kuvuti na wewe, pia wanaweza kuuliza km ulichokuwa ukitafuta kinafafa na kitu fulani walichonacho. Hii yote ni kukufungua akili kuwa jitihada zako zote zimemezwa na "kaushirikina kako ka siri kisiasa" haihusiani na customer experience wala bigger thing "efficiency".
 
Mukandara kama umekubali kufanya ushirikina sirini basi kubali kuitwa "mchawi" otherwise option un aoption nyingine ambayo sio mbaya sana "kuitwa mganga". Tatizo la msingi kuwa mshirikina.

Unachoongea hapa ni matusi kwa wana CDM,yaani haiwezekani wafanye vitu sahihi na kwa mafanikio kiasi hichi halafu uje na longolongo nyepesi kiasi hichi kuwa "They dont do things right".Dunia imshagundua vitu sana kiasi cha kufanya ugunduzi mpya kuwa mgumu sana.Kuna kitu kinaitwa "efficiency" kinameba zaidi ya unachokomaa nacho hapa desperately.

Mbona una fight for less,wakati watu wanakwenda for more?wewe kwako kusema kuwa "doing thing right" kunaishia kumpatia mteja akipendacho ni is fighting for less.Smart Seller ana introduce vitu vipya kwa mteja kila kukich aili kuongeza soko na market share.Maana mitandao kam ebay,alibaba, Linkedin, facebook, google etc wana tools za "autosuggest". Wansuggest profile za watu, rafiki wa rafiki zako, bidhaa nyingine iliyowavutia watu na pengine zinaweza kuvuti na wewe, pia wanaweza kuuliza km ulichokuwa ukitafuta kinafafa na kitu fulani walichonacho. Hii yote ni kukufungua akili kuwa jitihada zako zote zimemezwa na "kaushirikina kako ka siri kisiasa" haihusiani na customer experience wala bigger thing "efficiency".
Unajua sipendi kujadiliana na wewe kwa sababu unahukumu watu na wala husemi mawazo yako. Unahcofanya ni ku quote maneno ya mtu halafu unamshambulia pasipo kueleza ama kuelewa tunazungumzia kitu gani.. Kwa mfano hapa...Sisi tunazungumzia maandalizi ya Uchaguzi wa mwaka 2015 (just ahead) wakati wewe unazungumzia mikutano na maandamano ya kukisambaza chama kwa wananchi vijijini.

Hakuna mtu alosema ni jambo baya tena zuri sana lakini halina maandalizi ya kuchukua nchi ama kuingia IKULU isipokuwa kujenga wanachama zaidi na tunafanikiwa kwa hilo. Wewe mwenyewe umeshakubali kwamba chama hakishindi uchaguzi kwa namba ya wanachama isipokuwa wapiga kura, sasa unashindwa vipi kuelewa nachokisema?..Kama juhudi hizi zingekuwa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2015 CCM wasingesika zikipigwa marufuku na unless wewe unafikiri hizi ni propaganda za uchaguzi.

Jaribu sana kusoma hoja nzima na zilizotangulia utaelimika sio kuchota mistari..
 
Duuh! Huyu member anaeitwa NICHOLAS ni kiboko....yaani anawakimbiza watu kwa hoja kama upepo wa M4C.
Mkandara alifungua thread kama hii aliyoianzisha Pasco...nondo ambazo ameshushiwa kule Mkandara na huyu
Nicholas ni balaa tupu hadi mtu mzima kalala mbele. Sasa ni zamu ya Pasco...sijui na yeye atakula chocho.
Acha nibakie kuwa msomaji tu hapa.
 
Utajibadilisha majina na kujipongeza lakini uandishi wako haupotei..
 
...Mkuu Mzalendo80, Pasco bado anajaribu sana kuzuga watu hapa jamvini kwa kusema hivi, "Mimi sina chama na sina upande, nilipowaambia CCM kuwa wamechokwa pia niliwashauri cha kufanya kuondokana na kuchokwa kwao." lakini ukweli ni kwamba bado ni gamba wa kutupa na wala hatalivua gamba. Yule mgombea wake bado anampigia chapuo la nguvu kwa mategemeo kwamba kama mambo yatamnyookea 2015 baada ya kuchakachua matokeo ya uchaguzi basi anaweza kuambulia manukato japo kidogo ili naye ajirushe kwa raha zake.
Mkuu BAK, kusema ukweli, nimecheka baada ya kuisoma posti yako hii, maana ndio kwanza nimemaliza kuisoma post ya Nico, amepiga nyundo za kufa mtu, kufumba kufumbua, nimecheka kwa sababu kumbe kuna ma great thinkers humu wanadhani namfagilia EL ili nipate chochote?.

  1. Kwa taarifa tuu, baada ya Mwl. Nyerere kustaafu, nimemfanyia kazi pale MNF na ni mimi ndie niliyefanya recording yake ya ziara yake ya mwisho nchini kwenye kambi za wakimbizi.Ni mimi ndie niliesafiri nae ule mkutano wake wa mwisho nchini Uswis na hizo footage ndizo the last akiwa on duty, tuliporudi ndipo alianza kuugua!Kwenye familiy level, nimesoma na mwanae mmoja na nilikuwa MC wa harusi ya bintie, hivyo closeness hiyo ingeni guarantee nimuombe anipigie chapuo lolote popote, nipate kijiposti chochote ili nisife njaa.
  2. Kipindi cha Mwinyi nilikuwa on-off on- off ila kama ni kutaka ulaji, ningelobby nisingekosa chochote!.
  3. Ben, kijana wake shule moja darasa moja na alipokuja NY nilipelekwa rasmi Presidential Suite kuwa introduced, hivyo kama ni lobbying, ningelobby niwe anybody!.
  4. Kijana wa JK is a friend tangu pale UD, kabla hata hajaukwaa up presidaa, mahali JK alipotangazia nia kwa mara ya kwanza ni UD, master mind yule yule kijana ambaye sasa ndie master mind wa Membe. Hivi kweli kama nia yangu ni hii njaa ya kupitiliza inayonikabili, kweli ningeshindwa kwenda kwa kijana kumlilia shida angalau na mimi nitoke!.
  5. Kama nilikuwa na connections tangu Nyerere, Mwinyi, Mkapa, na sasa JK, nili lobby chochote, why should i fight for EL ili kuja kuwa anybody?!.
Kuna watu hawaamini kuwa kuna kundi fulani la watu, sisi ni masikini jeuri, yaani tumeuzoea umasikini mpaka kufikia point, tumejiridhisha kuwa umasikini wetu ndicho tulichopangiwa na Mungu ana unaupokea kwa moyo mkunjufu huku ukiwafurahia matajiri kwa utajiri wao Mungu aliowajalia na ndio maana siku zote, huwa nawapiga vita sana hawa hate preachers wetu humu jf kwa kuumwa na roho za chuki, vivu na husda, kwa kila mwenye kautajiri hata kadogo tuu!.

Kwa ufano, usafiri wangu wa siku zote kwenye carrear yangu as a journalist ni boda boda!, usafiri huo ndio nimekuwa nikiutumia siku zote na kwenda nao popote!. Nilishaonywa sana kuhusu hatari za usafiri wa kimasikini hivyo kwa mizunguko yangu sikusikia, siku ya siku, yalinikuta, japo kwa sasa siwezi kuendelea kuendesha boda boda, lakini boda boda yangu nimeipark pale mbele ya kibanda nilichopanga na marafiki zangu wengi wanatamani niwauzie, nimegoma kuiza smply because usafiri wa kimasikini wa boda boda, sio tuu ndio ninaoupenda for convenience, bali ndio most affordable mode of transport kwa sisi watu wa hali ya chini!.

Kwenye CCM nampigania EL kwa nguvu zangu zote kwa sababu naamini ni kwa kupitia yeye, Tanzania itapata ule ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania na pia ili litimie lile neno kuwa "rais wa 2015" lazima atatoke Kaskazini.

Pasco.
 
Unajua sipendi kujadiliana na wewe kwa sababu unahukumu watu na wala husemi mawazo yako. Unahcofanya ni ku quote maneno ya mtu halafu unamshambulia pasipo kueleza ama kuelewa tunazungumzia kitu gani.. Kwa mfano hapa...Sisi tunazungumzia maandalizi ya Uchaguzi wa mwaka 2015 (just ahead) wakati wewe unazungumzia mikutano na maandamano ya kukisambaza chama kwa wananchi vijijini.

Hakuna mtu alosema ni jambo baya tena zuri sana lakini halina maandalizi ya kuchukua nchi ama kuingia IKULU isipokuwa kujenga wanachama zaidi na tunafanikiwa kwa hilo. Wewe mwenyewe umeshakubali kwamba chama hakishindi uchaguzi kwa namba ya wanachama isipokuwa wapiga kura, sasa unashindwa vipi kuelewa nachokisema?..Kama juhudi hizi zingekuwa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2015 CCM wasingesika zikipigwa marufuku na unless wewe unafikiri hizi ni propaganda za uchaguzi.

Jaribu sana kusoma hoja nzima na zilizotangulia utaelimika sio kuchota mistari..

Mkandara na mimi nazidi kuona matatizo yako kwa ukaribu zaidi sasa.
1. Unamlaumu Nicholas kwa kuhukumu watu wakati wewe kwa sasa ndio kinara wa kutoa hukumu kwa CHADEMA, au mkuki kwa nguruwe, au hujui kwamba unachokifanya kinatafisiliwa vipi?

2. Unasema nyinyi mnazungumzia maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2015 wakati Nicholas anazungumzia mikutano na maandamano, naomba nikatamkie leo jioni hii kwamba kama ni kweli hauwezi kulink uchaguzi wa 2015 na mikutano na maandamano ya CHADEMA basi wewe ni Mnafiki wa Pili nchi hii kwa ukubwa baada ya Samwel Sitta.
 
Sawa sawa, Hawa ni "CERTIFIED LIERS" tena wanafiki, maneno meeeeeeeeeeeeeeeeengi hakuna pointi, wanajizungusha kwa ufahamu wa kucheza na maneno na vijibusara hewa lakini ukiangalia kwa makini maandiko yao mareeeeeeeeefu hayana hata chembe ya msaada, Ni wao wenyewe na wana CCM wenzao ndio wakisoma maandiko yao wanaelewa wanamaanisha nini no wonder why umewaia wachawi, ni kama vile wamejitengenezea ka secrete society ambako wanayoyaandika wanaelewa wao wenyewe. Self proclaimed Great Thinkers.

Nawapa option ya Mwisho kabla sijawacertify kuwa vilaza.
CCM Inatakiwa kubadirika kwa kuacha kukumbatia viongozi ambao wamekwisha bainika kuwa ni Mafisadi, Mfano Lowasa, Chenge, Mkono n.k

watueleze Chadema wanatakiwa kubadirika namna gani, na kwa nini?
Ha ha haaaaa...acha nijichekee mie! hii ndiyo JF bwana....acha niendelee kuwa msomaji tu
 
Mkuu hakuna sababu ya kutoleana matusi wala kumhukumu mtu kwa mawazo yake. Tunakusoma na kukuelewa japokuwa unachoongea wewe ndio uongo mkubwa maana ndio kwanza nayasikia kwako. Mtatukana weee mwisho wa siku hamshindani na Mkandara isipokuwa 2015 ni uchaguzi mkuu..

#168 Umeandika hivi:-
Nachokijua mimi ni kwamba CHADEMA wanakubaliana na Waislamu kuwa na Mahakama ya Kadhi na ni matarajio yangu kwamba watawasupport katika kuhakikisha kwamba Kadhi anaoperate effectively.
Kitu kingine nakitambua ni kwamba CHADEMA wanashare sentiments na waislamu wengi juu ya uwepo wa BAKWATA, Lakini pia najua hawakubaliani na kuiingiza Tanzania kwenye Jumuiya ya nchi za Kidini ikiwemo OIC. inawezekana yakawapo mambo mengi sana ambayo waislamu wanahitaji direct support ya Serikali ama Idara za Kiserikali na ninauhakika kwamba serikali chini ya CHADEMA haitokuwa nzito kwenye kutoa ushirikiano huo na pia nina uhakika mkubwa sana kwamba kuna baadhi ya mambo watawaambia waislamu kwamba haya hayawezekani.

Ushauri wangu kwa waislamu ama Jumuiya za Kiislamu ni kujiandaa kuwa na viongozi wenye upeo wa kusimamia maslahi yao reasonably ama sivyo SERIKALI ITAENDELEA KUWA SERIKALI

Hicho ni kile ninachokijua mimi, kwa vile umeamua kukiita ni uongo, eleza ukweli ni nini? Pili onyesha ni wapi nimekutukana? tuache longo longo sasa.
 
Mkuu BAK, kusema ukweli, nimecheka baada ya kuisoma posti yako hii, maana ndio kwanza nimemaliza kuisoma post ya Nico, amepiga nyundo za kufa mtu, kufumba kufumbua, nimecheka kwa sababu kumbe kuna ma great thinkers humu wanadhani namfagilia EL ili nipate chochote?.

  1. Kwa taarifa tuu, baada ya Mwl. Nyerere kustaafu, nimemfanyia kazi pale MNF na ni mimi ndie niliyefanya recording yake ya ziara yake ya mwisho nchini kwenye kambi za wakimbizi.Ni mimi ndie niliesafiri nae ule mkutano wake wa mwisho nchini Uswis na hizo footage ndizo the last akiwa on duty, tuliporudi ndipo alianza kuugua!Kwenye familiy level, nimesoma na mwanae mmoja na nilikuwa MC wa harusi ya bintie, hivyo closeness hiyo ingeni guarantee nimuombe anipigie chapuo lolote popote, nipate kijiposti chochote ili nisife njaa.
  2. Kipindi cha Mwinyi nilikuwa on-off on- off ila kama ni kutaka ulaji, ningelobby nisingekosa chochote!.
  3. Ben, kijana wake shule moja darasa moja na alipokuja NY nilipelekwa rasmi Presidential Suite kuwa introduced, hivyo kama ni lobbying, ningelobby niwe anybody!.
  4. Kijana wa JK is a friend tangu pale UD, kabla hata hajaukwaa up presidaa, mahali JK alipotangazia nia kwa mara ya kwanza ni UD, master mind yule yule kijana ambaye sasa ndie master mind wa Membe. Hivi kweli kama nia yangu ni hii njaa ya kupitiliza inayonikabili, kweli ningeshindwa kwenda kwa kijana kumlilia shida angalau na mimi nitoke!.
  5. Kama nilikuwa na connections tangu Nyerere, Mwinyi, Mkapa, na sasa JK, nili lobby chochote, why should i fight for EL ili kuja kuwa anybody?!.
Kuna watu hawaamini kuwa kuna kundi fulani la watu, sisi ni masikini jeuri, yaani tumeuzoea umasikini mpaka kufikia point, tumejiridhisha kuwa umasikini wetu ndicho tulichopangiwa na Mungu ana unaupokea kwa moyo mkunjufu huku ukiwafurahia matajiri kwa utajiri wao Mungu aliowajalia na ndio maana siku zote, huwa nawapiga vita sana hawa hate preachers wetu humu jf kwa kuumwa na roho za chuki, vivu na husda, kwa kila mwenye kautajiri hata kadogo tuu!.

Kwa ufano, usafiri wangu wa siku zote kwenye carrear yangu as a journalist ni boda boda!, usafiri huo ndio nimekuwa nikiutumia siku zote na kwenda nao popote!. Nilishaonywa sana kuhusu hatari za usafiri wa kimasikini hivyo kwa mizunguko yangu sikusikia, siku ya siku, yalinikuta, japo kwa sasa siwezi kuendelea kuendesha boda boda, lakini boda boda yangu nimeipark pale mbele ya kibanda nilichopanga na marafiki zangu wengi wanatamani niwauzie, nimegoma kuiza smply because usafiri wa kimasikini wa boda boda, sio tuu ndio ninaoupenda for convenience, bali ndio most affordable mode of transport kwa sisi watu wa hali ya chini!.

Kwenye CCM nampigania EL kwa nguvu zangu zote kwa sababu naamini ni kwa kupitia yeye, Tanzania itapata ule ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania na pia ili litimie lile neno kuwa "rais wa 2015" lazima atatoke Kaskazini.

Pasco.

Lowasa Akifa??
 
Jamani huyu NICHOLAS ni computer au binadamu? tukionaje tumpe tu mji na hii thread ifungwe.
 
Back
Top Bottom