Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Mbona hayo maswali hayana core issues na ni too obvious.Nikiangalia kwa number.Mimi ningependa neno MABADILIKO liwe na maana pana zaidi ya neno kubadili chama kilichopo madarakani na kuleta chama kipya. Watanzania wanataka neno MABADILIKO litoe majibu mbadala ya baadhi ya maswali kama: -
- Je MABADILIKO yatafanya nini katika kuboresha shule zetu za kata kuondokana na hali ya sasa? Nini nafasi ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vikuu katika kuboresha ELIMU KWENYE SHULE ZA KATA?
- Je MABADILIKO yanawezaje KUJITEGEMEA bila KUPATA NGUVU YA MJOMBA WA KIZUNGU? JE WATANZANIA WATEWEZAJE KUPUNGUZA UTEGEMEZI HATA KATIKA MAMBO YA UENDESHAJI WA MAMBO YETU YA NDANI NA YA KIBAJETI?
- Je MABADILIKO yanasimamo gani kuhusu sera ya kilimo (KILIMO KWANZA) katika kuleta maendeleo endelevu kwa mtanzania? je MABADILIKO yanaamini katika dhana tajwa na je dhana hii inatofautishaje na ubinafusishaji tulioufanywa katika miaka iliyopita? na je MABADILIKO yanajua athari za imported agri-commercialisation katika nchi ambayo zaidi ya 80% wanategemea Ardhi kwa KILIMO NA UFUGAJI?
- Je MABADILIKO yanajua chanzo cha mambo yalivyo hivi sasa? yamejiandaa vipi katika kurekebisha mfumo "THE SYSTEM"? In my view this is a centre of all our problems - the system is not working as the system so whatever we see are the consequences of the system failure.
NB: I stand to be corrected. kama nimekosea herufi au neno rekebisha na chanjia hoja ya MABADILIKO KAMA MBADALA (ALTERNATIVE SOLUTION)
I SUBMIT.
1.Si chama cha kisiasa kinachomwambia mhitimu wa ualimu chuo Kikuu au mkufunzi, au mwanafunzi toka hizo shule ajiulize maswali kama hili.Nitatumiaje elimu na uwezo wangu kufanya mabadiliko katika shule zetu za kata? Hapa hakuna kitu cha mazingira mazuri wala nini?unaweza mpatia mtu kila kitu akpata hela ya kununua blackberry kashinda facebook, kupanga jioni baada ya kazi wakapate anasa wapi.Ukawap akila kitu ch akurahisisha kazi ukawa umewashiwishi ku pika report baada ya kupoteza muda katika nasa na matumizi mabaya ya fedha.
-Ila chama kinaweza himiza elewaji wa taswira nzima ya uwajibikaji na uzalendo kwa mambo muhimu ya leo na yanayokuja wakuta vizazi vijavyo.
2.huwezi ishi dunia bila kutegemea wengine kwa vile nao wanatutegemea.tatizo ni kwamba ni jinsi gani unaweza fanya wakutegemee ili nawe upate nguvu ya kusema ungependa mkopo uwe na masharti gani.Otherwise kama hukopesheki kwa mwenzio ni "risk" business,risk business inahitaji bigger "insurance".SO core issue ni kupunzura hizo risk, kuongeza say katika makubalino.
3.Kilimo kwanza pamoja na kwamba imeundwa na kuendeshwa kimakosa,bado kinaweza kisiwe ndio pato kuu kwa watu wengi.Watu humalizia hela ya mavuno mapema sana na kuanza ishi kwa kubangaiza katika uchuuzi na mambo memgine,tena mara nyingi uchuuzi wa mazao toka nje, tuna matuda mengi tuu toka, nje, vinywaji vingi toka nje.Watu wengi wapo mjini na wamkeuwa wakiishi kwa vyakula toka nje kwa karibu sawa au zaidi ya vitokavyo ndani.Pia sioni mahali watu wametaja athari za kupeleka mazao nje na upotevu wa bidhaa adimu maji.Saudi Arabia,Russia na nchi nyingine zimepiga marufuku uuzwaji wa vyakula nje issue ikiwa maji.Kwa hiyo kilimo kwanza kinaweza fanywa kiwe na mchango mkubwa ila pia kuangalia huko kwingine kunapowasaidia watu kuishi kipindi kirefu bila kilimo napo nini kifanywe vizuri zaidi.
4. Sijui wanaaminsha nini kwani failure ya system ya CCM ni "wingi wa wizara na kubwa wa kila wizara" na poor communication between hizo wizara.Sidhani kama hili linasuggest mfumo wowote unoingi ufanya mabadiliko.Kwani system yoyote ya chama kigeni itakuwa hijathibitisha kushindwa.Kwa hivyo hii haiwezi kuwa katika ahadi kwani chama kama CDM tayari ni tofauti.
Kama ni ndio fikra za wana CCM basi wakasome maandiko.Huwezi weka kiraka kipya katika nguo kukuu..kitabaduka na sehemu ya nguo kukuu na hivyo kuiharibu zaidi.