Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Mimi ningependa neno MABADILIKO liwe na maana pana zaidi ya neno kubadili chama kilichopo madarakani na kuleta chama kipya. Watanzania wanataka neno MABADILIKO litoe majibu mbadala ya baadhi ya maswali kama: -

  1. Je MABADILIKO yatafanya nini katika kuboresha shule zetu za kata kuondokana na hali ya sasa? Nini nafasi ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vikuu katika kuboresha ELIMU KWENYE SHULE ZA KATA?
  2. Je MABADILIKO yanawezaje KUJITEGEMEA bila KUPATA NGUVU YA MJOMBA WA KIZUNGU? JE WATANZANIA WATEWEZAJE KUPUNGUZA UTEGEMEZI HATA KATIKA MAMBO YA UENDESHAJI WA MAMBO YETU YA NDANI NA YA KIBAJETI?
  3. Je MABADILIKO yanasimamo gani kuhusu sera ya kilimo (KILIMO KWANZA) katika kuleta maendeleo endelevu kwa mtanzania? je MABADILIKO yanaamini katika dhana tajwa na je dhana hii inatofautishaje na ubinafusishaji tulioufanywa katika miaka iliyopita? na je MABADILIKO yanajua athari za imported agri-commercialisation katika nchi ambayo zaidi ya 80% wanategemea Ardhi kwa KILIMO NA UFUGAJI?
  4. Je MABADILIKO yanajua chanzo cha mambo yalivyo hivi sasa? yamejiandaa vipi katika kurekebisha mfumo "THE SYSTEM"? In my view this is a centre of all our problems - the system is not working as the system so whatever we see are the consequences of the system failure.

NB: I stand to be corrected. kama nimekosea herufi au neno rekebisha na chanjia hoja ya MABADILIKO KAMA MBADALA (ALTERNATIVE SOLUTION)

I SUBMIT.
Mbona hayo maswali hayana core issues na ni too obvious.Nikiangalia kwa number.

1.Si chama cha kisiasa kinachomwambia mhitimu wa ualimu chuo Kikuu au mkufunzi, au mwanafunzi toka hizo shule ajiulize maswali kama hili.Nitatumiaje elimu na uwezo wangu kufanya mabadiliko katika shule zetu za kata? Hapa hakuna kitu cha mazingira mazuri wala nini?unaweza mpatia mtu kila kitu akpata hela ya kununua blackberry kashinda facebook, kupanga jioni baada ya kazi wakapate anasa wapi.Ukawap akila kitu ch akurahisisha kazi ukawa umewashiwishi ku pika report baada ya kupoteza muda katika nasa na matumizi mabaya ya fedha.
-Ila chama kinaweza himiza elewaji wa taswira nzima ya uwajibikaji na uzalendo kwa mambo muhimu ya leo na yanayokuja wakuta vizazi vijavyo.
2.huwezi ishi dunia bila kutegemea wengine kwa vile nao wanatutegemea.tatizo ni kwamba ni jinsi gani unaweza fanya wakutegemee ili nawe upate nguvu ya kusema ungependa mkopo uwe na masharti gani.Otherwise kama hukopesheki kwa mwenzio ni "risk" business,risk business inahitaji bigger "insurance".SO core issue ni kupunzura hizo risk, kuongeza say katika makubalino.

3.Kilimo kwanza pamoja na kwamba imeundwa na kuendeshwa kimakosa,bado kinaweza kisiwe ndio pato kuu kwa watu wengi.Watu humalizia hela ya mavuno mapema sana na kuanza ishi kwa kubangaiza katika uchuuzi na mambo memgine,tena mara nyingi uchuuzi wa mazao toka nje, tuna matuda mengi tuu toka, nje, vinywaji vingi toka nje.Watu wengi wapo mjini na wamkeuwa wakiishi kwa vyakula toka nje kwa karibu sawa au zaidi ya vitokavyo ndani.Pia sioni mahali watu wametaja athari za kupeleka mazao nje na upotevu wa bidhaa adimu maji.Saudi Arabia,Russia na nchi nyingine zimepiga marufuku uuzwaji wa vyakula nje issue ikiwa maji.Kwa hiyo kilimo kwanza kinaweza fanywa kiwe na mchango mkubwa ila pia kuangalia huko kwingine kunapowasaidia watu kuishi kipindi kirefu bila kilimo napo nini kifanywe vizuri zaidi.

4. Sijui wanaaminsha nini kwani failure ya system ya CCM ni "wingi wa wizara na kubwa wa kila wizara" na poor communication between hizo wizara.Sidhani kama hili linasuggest mfumo wowote unoingi ufanya mabadiliko.Kwani system yoyote ya chama kigeni itakuwa hijathibitisha kushindwa.Kwa hivyo hii haiwezi kuwa katika ahadi kwani chama kama CDM tayari ni tofauti.

Kama ni ndio fikra za wana CCM basi wakasome maandiko.Huwezi weka kiraka kipya katika nguo kukuu..kitabaduka na sehemu ya nguo kukuu na hivyo kuiharibu zaidi.
 
Mkuu Mushi, asante kwa angalizo. Hata hivyo, kuna issue hapa: huyu jamaa (zomba) hayuko peke yake humu JF bali ni mob au syndicate fulani kwa ajili ya kuchafua hali ya hewa kadiri inavyowezekana. Hivyo, usishangae wakaanzisha thread wenyewe kwa ID tofauti tofauti huku wakiji-pretend pro-Chadema halafu humo humo ndani ya mob wakaanza kuutukana uislam ili kutimiza malengo yao ya kisiasa. Hii ni changamoto nyingine.
Nashukuru kwa angalizo,kuna member mmoja anakwenda kwa jina Mwanaukweli alinishtua kuhusu hili.Kila mwenye nafasi akiona hayo,basi tutumie busara kuyazima.Hii ni kwa faida si tu ya JF,bali taifa.
 
Last edited by a moderator:
Pasco naona mmeamua fanana na huyu jamaa,sijui motive Yenu nini?Hizi nguvu si mgeziweka kubuni na kuyatest mambo mapya halafu mumkabidhi kuliko kujenga hoja nyepesi halafu mkazilazimisha ktik makoo ya watu.Au ndio kumchuna hivyo..?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-za-uongo-elimu-bure-chadema-ikishinda-8.html

Kaweka data za TRA as if kila mapato ya eneo husika ni kodi.Ingekuwa hivyo basi Tanesco wakiweka wasingeweka Item ya VAT katika risiti.Nimeiona hiyo posting nimeshtuka na kupata huruma sana .Kwani msiwe mnajadili mamabo halisia basi kwa faida ya wananchi kabla kampeni hazijaanza .Agalau huko mnaweza weka uongo na ujinga mwingine ili biashara ije isha kama Igunga.
 
umekunywa nini leo pasco?
Sikubaliani na namba 6: si kweli kuwa CDM inapendwa sababu tu CCM imechokwa,,!
Nguvu kubwa ya CDM ni vijana “TAIFA LA LEO” Ambao 1977 wakati ccm inaanzishwa ama hawakuwepo au walikuwa watoto wa miaka 1-8 . Hivyo Hoja ingekuwa CCM IMECHOKWA basi wazee ambao relatively ni wengi ccm kuliko CDM ,wote wangekuwa CDM maana walikuwa nayo tangu 1977 ilipo anzishwa.

My opinion: CDM Inapendwa kwa sababu sera zake zinajibu maswali ,mahitaji na matarajio ya vijana wa taifa hili,
1: Ukosefu wa ajira kwa vijana.
2: kupiga vita ufisadi kwa vitendo.
3:uwajibikaji .
4: sera mbadala ya mikopo ya elimu ya juu
5:bei nzuri ya mazao ya kulima na uhuru wa masoko
6😛embejeo kwa urahisi bila ukilitimba kama ilivyo sasa.
Hayo na mengine mengi ndio yanatuvuta wananchi na vijana CDM, Si kuchoka ccm pekee ingekuwa kuchokwa basi republican na democrat vya marekani visingekuwepo hadi leo kutokana na ukongwe wa zaidi ya karne kadhaa
Mkuu Sembuli, asante kwa hoja hizi ni za msingi sana na hili ndilo aneo serious la Chadema kufanyia kazi, not just mention, but how?

Ila pia bado tuna idadi kubwa ya wapiga kura watazama sura, just imagine kwa upande wa CCM, akisimama yule mgombea wangu, hivi Chadema atasimama nani?!,
 
Kwanini hukuijibu wakati "unaijibu"?Ama umefanya kitu gani mkuu?maswali hayo ni magumu kiasi hicho?ama huamini on what you're preachin?

yupo busy atengeneza ID ingine.Nadhani kakwama anajiuliza hadi ID ingine ije jenga jina hii thread itakuwa imefungwa.
 
Hembu imagine "Mkandara" atapata wapi jina lingine linaloweza mjengea picture ya kutisha hivyo?"hawezi jiita shivji kwani yupo active katik media tofauti na Mkandara halisi","hawezi jiita Haroub Othman kwani marehemu","hawezi jiita Rwetama, au Baregu,Safari kwa vile wote hao ni CDM" "hawezi jiita pia wale wote wanaoweza mnyima uhuru wa kuingiza udini kwa kujifanya yupo upande wao".Its a sad end.Wana jamvi tumpe pooooleee saaaaaaaaaaaana.Kwani uongo haulipi.Ila raiamwema wanaweza lipa kauhai jina lake.
*************************************
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Pasco is Loading..............!Please wait.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
 
Mbona hayo maswali hayana core issues na ni too obvious.Nikiangalia kwa number.

1.Si chama cha kisiasa kinachomwambia mhitimu wa ualimu chuo Kikuu au mkufunzi, au mwanafunzi toka hizo shule ajiulize maswali kama hili.Nitatumiaje elimu na uwezo wangu kufanya mabadiliko katika shule zetu za kata? Hapa hakuna kitu cha mazingira mazuri wala nini?unaweza mpatia mtu kila kitu akpata hela ya kununua blackberry kashinda facebook, kupanga jioni baada ya kazi wakapate anasa wapi.Ukawap akila kitu ch akurahisisha kazi ukawa umewashiwishi ku pika report baada ya kupoteza muda katika nasa na matumizi mabaya ya fedha.
-Ila chama kinaweza himiza elewaji wa taswira nzima ya uwajibikaji na uzalendo kwa mambo muhimu ya leo na yanayokuja wakuta vizazi vijavyo.
2.huwezi ishi dunia bila kutegemea wengine kwa vile nao wanatutegemea.tatizo ni kwamba ni jinsi gani unaweza fanya wakutegemee ili nawe upate nguvu ya kusema ungependa mkopo uwe na masharti gani.Otherwise kama hukopesheki kwa mwenzio ni "risk" business,risk business inahitaji bigger "insurance".SO core issue ni kupunzura hizo risk, kuongeza say katika makubalino.

3.Kilimo kwanza pamoja na kwamba imeundwa na kuendeshwa kimakosa,bado kinaweza kisiwe ndio pato kuu kwa watu wengi.Watu humalizia hela ya mavuno mapema sana na kuanza ishi kwa kubangaiza katika uchuuzi na mambo memgine,tena mara nyingi uchuuzi wa mazao toka nje, tuna matuda mengi tuu toka, nje, vinywaji vingi toka nje.Watu wengi wapo mjini na wamkeuwa wakiishi kwa vyakula toka nje kwa karibu sawa au zaidi ya vitokavyo ndani.Pia sioni mahali watu wametaja athari za kupeleka mazao nje na upotevu wa bidhaa adimu maji.Saudi Arabia,Russia na nchi nyingine zimepiga marufuku uuzwaji wa vyakula nje issue ikiwa maji.Kwa hiyo kilimo kwanza kinaweza fanywa kiwe na mchango mkubwa ila pia kuangalia huko kwingine kunapowasaidia watu kuishi kipindi kirefu bila kilimo napo nini kifanywe vizuri zaidi.

4. Sijui wanaaminsha nini kwani failure ya system ya CCM ni "wingi wa wizara na kubwa wa kila wizara" na poor communication between hizo wizara.Sidhani kama hili linasuggest mfumo wowote unoingi ufanya mabadiliko.Kwani system yoyote ya chama kigeni itakuwa hijathibitisha kushindwa.Kwa hivyo hii haiwezi kuwa katika ahadi kwani chama kama CDM tayari ni tofauti.

Kama ni ndio fikra za wana CCM basi wakasome maandiko.Huwezi weka kiraka kipya katika nguo kukuu..kitabaduka na sehemu ya nguo kukuu na hivyo kuiharibu zaidi.

You are oversimplifying answers to key questions raised - Unajua neno " system" limetumika likiwa na maana gani? unajua hecta ngapi zitamilikiwa (be it directly or indirectly) na wageni kwa mgongo wa kilimo kwanza? unajua athari zake katika Tanzania ya miaka ya 2030 onwards. Je wageni watalima kwa ajili yetu? Maswali yanaweza kuwa mengi? MABADILIKO kazi yake kutoa majibu mbadala na kutuokoa kutokana na athari za mambo haya. Nitatoa mfano mmoja wa alternative solutions that "change" we want to do us.

Vyuo Vikuu na wanafunzi wa vyuo vikuu wanaweza kutumika kimkakati kufundisha shule za kata wakati wa likizo zao. Nimeona mifanyo katika mikoa fulani. MABADILIKO YANAWEZA YAKATUMIA MAJIMBO YAKE KUTEKELEZA UBORESHAJI WA ELIMU KATIKA SHULE HIZI NA KUWA MFANO KWA WENGINE. NI MFANO TU. HII MAANA YAKE NI NINI MABADILIKO NI SULUHISHO MBADALA. YOU GIVE REAL SOLUTIONS AND REAL HOPES TO DESPERATE PEOPLE/SOCIETIES! IN THIS CASE YOU MAKE THEM TRUST AND FOLLOW YOU FOR REAL ALTERNATIVES.

Pasco, nisingependa kumzungumzia mtu hapa but for who he lacks moral authority to give Tanzania "MABADILIKO" she wants!
 
Hembu imagine "Mkandara" atapata wapi jina lingine linaloweza mjengea picture ya kutisha hivyo?"hawezi jiita shivji kwani yupo active katik media tofauti na Mkandara halisi","hawezi jiita Haroub Othman kwani marehemu","hawezi jiita Rwetama, au Baregu,Safari kwa vile wote hao ni CDM" "hawezi jiita pia wale wote wanaoweza mnyima uhuru wa kuingiza udini kwa kujifanya yupo upande wao".Its a sad end.Wana jamvi tumpe pooooleee saaaaaaaaaaaana.Kwani uongo haulipi.Ila raiamwema wanaweza lipa kauhai jina lake.
*************************************
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Pasco is Loading..............!Please wait.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Mkuu Nicholas nimekukubali wewe na JMUsh1 kwa kuwagundua hao wapandikiza chuki madai yao eti ni washauri wa CDM badala ya kuja kwenye mapambano tupambane wanayumbisha watu tu huku wakiwa kwenye pc zao huko abroad....

Pasco is Loading..............!Please wait.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Nimeipenda hii
 
Last edited by a moderator:
You are oversimplifying answers to key questions raised - Unajua neno " system" limetumika likiwa na maana gani? unajua hecta ngapi zitamilikiwa (be it directly or indirectly) na wageni kwa mgongo wa kilimo kwanza? unajua athari zake katika Tanzania ya miaka ya 2030 onwards. Je wageni watalima kwa ajili yetu? Maswali yanaweza kuwa mengi? MABADILIKO kazi yake kutoa majibu mbadala na kutuokoa kutokana na athari za mambo haya. Nitatoa mfano mmoja wa alternative solutions that "change" we want to do us.
Shida ipo wapi mbona vibarua wanalima kwa ajili yetu?Hata matajiri wanaweza lima kwa ajili yetu pia.Shida nini kwani?tatizo ni CCM wana fikra mgando.Control ikiwepo katika jinsi hizo nzinavyoweza bakishwa nchini,huku hao wakulima wakikosa umiliki wa ardhi wa kudumu na pia kuleta ujuzi na vifaa muhimu kwa shughuli hizo.Pia bila kusahau mazingira na afya za watu wetu.Hapo ndipo tatizo na si wageni kulima.
Vyuo Vikuu na wanafunzi wa vyuo vikuu wanaweza kutumika kimkakati kufundisha shule za kata wakati wa likizo zao. Nimeona mifanyo katika mikoa fulani. MABADILIKO YANAWEZA YAKATUMIA MAJIMBO YAKE KUTEKELEZA UBORESHAJI WA ELIMU KATIKA SHULE HIZI NA KUWA MFANO KWA WENGINE. NI MFANO TU. HII MAANA YAKE NI NINI MABADILIKO NI SULUHISHO MBADALA. YOU GIVE REAL SOLUTIONS AND REAL HOPES TO DESPERATE PEOPLE/SOCIETIES! IN THIS CASE YOU MAKE THEM TRUST AND FOLLOW YOU FOR REAL ALTERNATIVES.

Pasco, nisingependa kumzungumzia mtu hapa but for who he lacks moral authority to give Tanzania "MABADILIKO" she wants!
Mikakati ipi sasa hapa unayotaka ikuza?Tatizo la ujamaa wa CCM ndio huo,kila kitu kwao kinapewa kelele kubwa utendajiusio na malengo."DONT SHOOT AT THE DARKNESS BWANA".Hapa si ndicho nilichosema ..Sio chama cha kisasa ndicho kinachowafanya wahitimu na wakufunzi wa vyuo vikuu wakajiulize maswali ya msingi katika hilo?Nikatoa mswali ziadi jinsi gani hata ukiwapataia hela pado hakuna kifanyikacho.hayo yote yanakosa tuu uwajibikaji,uzalendo na mapenzi ya fani husika.Watu wangefanya hayo,wangekwenda extra miles ili kuonyesha fadhila kwa shule walizopitia,jamii iliyowasomesha, na huruma ya kuwakomboa wale waliopo chini,wangeyachukia yote yaliyowakwaza kipindi wakisoma na hivyo kuja saidia yaondoa hayo.Watu wakiipenda fani huja na mawazo mapya sana yenye ubunifu jinsi ya kuboresha sector mablimbali za elimu.

Haya ni zaidi ya mikakati unayotaka isema hapa,ni zaidi ya mishahara na vifaa au chochte material.Wabongo wamechoka,wavivu,hawajui wanataka nini katika fani zao, hawapo tayari kwenda hata one extra inch.Kuna watu tangu nimewajua ktk office moja ya serikali mwaka mzima wamekuwa wakijitahidi sana kuondoka mapema hata kama kazi hazijaisha.Lini atamaliza viporo na kuanza mpya?Kuna walimu computer zao ni za kuangalia ngono miziki, karatasi ni za kuprint vitu binafsi kama michango na vikao vya mitaa etc.Mkakati wa nini sasa?Vijana wakija computer ni kwa ajili ya face book na kutafuta kazi ktk mitandao au kuremba CV tuu.

Mikakati ipi sasa kam ya kuia CDM?hembu jaribuni kupanga mambo kwa umakini na si kulipua kama wafanyavyo wizarani.Policy zote zimeandikwa kwa kurekebisha za zamani offisini bila tafiti.CCM kwani kilimo kwanza wamekijua leo?Sukita iliwashinda.
 
yupo busy atengeneza ID ingine.Nadhani kakwama anajiuliza hadi ID ingine ije jenga jina hii thread itakuwa imefungwa.
Watu wanachukulia siasa kama mambo ya imani!siasa hajengewi hoja "kwa mambo yasiyoonekana",sasa hata hao wanaokubaliana naye kuwa mabadiliko yanahitajika,hawamsaidii kujibu haya maswali na ninashangazwa kwamba hawajaona swali la kumwuliza zaidi ya kumpigia makofi!

Ndo siasa zetu hizo,watu ni wafuata mkumbo tu!Na kwasababu ameandika kitu kinachowafurahisha,basi hata yale mapungufu wanayafumbia macho!JF ya sasa si kama kipindi cha nyuma.Sasa hivi kuna watu na wafuasi wenye imani na watu hao,watu hawajitumi kuanalyse,badala yake ni ushabiki shabiki tu.Yani mtu anakuja na micontradiction kibao lakini hawaioni.

BTW Nicholas,kumbe unawajuwa hawa watu kiasi hiki?kweli loaded is MGANGA WA KIENYEJI hapo juu,umeona anataka kuharibu thread kwa kuingiza udini?hoja aliyoileta Pasco kuhusiana na ile issue ya Mohammed Said na wazee wa gerezani,sasa sijui inahusiana vipi na thread hii?wamekimbia,wanaload na hizi id nyingine?kweli. JF kuna watu wameiharibu kwa kiasi flani!duuh!
 
Last edited by a moderator:
CCM Bwana Wamesha "misuse" neno system kiasi cha kuzifanya tfsiri zao za system hazipatikani katika contexts zote tuzijuazo.Wanadhani mabadiliko yanafanywa kwenye mikutano ndani ya office zao.Wanadhani kushinda kazi na kufanikisha kitu ni propaganda au kumwaga hela na kumpeleka mtu aliyechoka ktk mradi kama kiinua mgongo.

Nimefanya kazi na mzungu mmoja, yeye alikuwa akitumia karatasi ya office anailipia mwisho wa mwezi.Akila chakula kazini huku akiwa kapewa hela ya matumizi alikuwa akirejesha.Sijui waziri gani wa CCM karudisha hela alipokirimiwa huko mikoani?Kuwa na rudo la vijana na wazee wachumia tumbo kiasi hiki ni balaa kwa nchi.Wapo tayari ongea uongo just because wanaisema CDM ila hawajui uongo ni dhambi by iteself na haitegemei nani kasem au kasemewa.
 
wadai uhuru wa nchi hii wameamua kuchukua nchi yao. Chadema , ccm na wengineo kaeni pembeni.
Wewe ni nani mkuu?maana unachokisema,hata Pasco keshakisema hapo nyuma kwenye thread hii kwamba waliopigania uhuru wa nchi yetu siyo hao walioandikwa kwenye vitabu vya historia.Nina fahamu kabisa hii hoja yako inataka kuinstigate something negative kwenye thread hii,nadhani mnataka ifungwe kwasababu hamwezi jibu maswali?.

Kwa maana hiyo unawasaidia wasijibu maswali kwa kuleta hoja ambazo wanaogopa kuzileta kwa kutumia id zao tunazowajuwa nazo.Pole sana.
 
wewe ni nani mkuu?maana unachokisema,hata pasco keshakisema hapo nyuma kwenye thread hii kwamba waliopigania uhuru wa nchi yetu siyo hao walioandikwa kwenye vitabu vya historia.nina fahamu kabisa hii hoja yako inataka kuinstigate something negative kwenye thread hii,nadhani mnataka ifungwe kwasababu hamwezi jibu maswali?.

Kwa maana hiyo unawasaidia wasijibu maswali kwa kuleta hoja ambazo wanaogopa kuzileta kwa kutumia id zao tunazowajuwa nazo.pole sana.

time will tell you. Just wait and join the winners.
 
Nicholas,kuna thread watu wanaanzisha lakini inafutwa kwa kasi ya ajabu!inazungumzia kuhusu mmojawapo wa viongozi wa upinzani kuwa na pesa uswisi!nimeshangaa!Labda inafutwa kwasababu si kweli?
 
Last edited by a moderator:
Nicholas,kuna thread watu wanaanzisha lakini inafutwa kwa kasi ya ajabu!inazungumzia kuhusu mmojawapo wa viongozi wa upinzani kuwa na pesa uswisi!nimeshangaa!Labda inafutwa kwasababu si kweli?

Sidhani kama itakuwa approach sahihi ya kusaidia ukweli au uongo kujulikana.Pengine Mods wameona italeta upotoshaji au mtafaruku mkubwa wahusika wakifanya juhudi ya kujiokoa
Nikijuacho ni kwamba hii nchi miaka yote imekuwa tajiri sana ya wanaharakati wafanyiao mamabo yao gizani.Wanafanaya kazi kama mchwa,ila Mungu wa haki atasimama na kuwapa pigo kubwa pale wanapodhani kuwa wanakaribia pata ushindi.Hata hivyo suspicion zikishapandwa si muda itakuwa wazi mitaani.
 
time will tell you. Just wait and join the winners.

Becareful when you think you are about to win...historia inaonyesha disappointments nyingi sana kwa watu wanaojiaminisha kuwa karibu washinde.

Well,nashukuru kwa kukubali kaushauri ketu.Kuwa ushirikina wako unaweza amua ufanyia "gizani " tukuite mchawi na ufaidi maslahi yake,au uufanyie hadharani tuuite "Uganga".

Kizuri ni kwamba mpo programmable.You cant win a war, without knowing you enemy very well lets alone being able to take on him.

----"kuna mzungu aliniambia acha watu wawaue wazungu sana,ila siku mzungu anapoteza akili na kuanza kuua basi huua kwa ufanisi sana"---
 
Back
Top Bottom