Maana ya signature yangu ni hii, hakimu anaposikiliza ushahidi, haangalii ni mashahidi wangapi au aina ngapi za ushahidi zimeletwa mbele yake, bali ni ushadhidi gani una state the matter beyond reasonable doubt.
Kwa mfano, polisi wote wakisema Daudi Mwangosi (Rest in Peace) aliuliwa na kitu chenye ncha kali, na madaktari wakathibitisha hivyo, tena wakaongea vituo vyote vya television, na magazeti yote yakaandika front page. Wewe utaamini? Pale nitakupokuonyesha picha tatu, hasa zile zilotelwa humu jamii forums. Bila shaka utaniambia photo shop na nimechanganyikiwa niliwahi kulazwa milembe etc. Na bila shaka kina mama watafanya maandamano kunipinga eti nina hela mimi? Tehe! Tehe!