Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Elections 2015 Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!

Sidhani kama itakuwa approach sahihi ya kusaidia ukweli au uongo kujulikana.Pengine Mods wameona italeta upotoshaji au mtafaruku mkubwa wahusika wakifanya juhudi ya kujiokoa
Nikijuacho ni kwamba hii nchi miaka yote imekuwa tajiri sana ya wanaharakati wafanyiao mamabo yao gizani.Wanafanaya kazi kama mchwa,ila Mungu wa haki atasimama na kuwapa pigo kubwa pale wanapodhani kuwa wanakaribia pata ushindi.Hata hivyo suspicion zikishapandwa si muda itakuwa wazi mitaani.
Mleta mada wagombea wote anaowasapoti,wananuka rushwa!halafu kuna wanaojiita wapenda mabadiliko,wanakubaliana na ushauri wake kwamba ni mzuri kwa chadema,ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni mwenyewe.
 
Kweli humu JF kuna watu ufata mkumbo nimeamini jmushi1, ila tutaendelea kuwabaini rangi zao zote kadri mungu anavyotupa uzima
 
Last edited by a moderator:
tehe! tehe! nadhani kwasababu ni kweli. This world is not my home.
vipi kama ni yule mwanasiasa wenu?anayesema dunia ni nyumbani ni mwehu.
Pia kujitanguliza kwa kujilipua ni ushetani kwani wamelaaniwa wote walio na maagano na kifo.
 
una "finger prints" za kuongea kwa mafumbo,so hakuna jipya!same shovel different shit!

Na hiyo signature yako,unazungumzia evidence gani?why can't it be counted?

Maana ya signature yangu ni hii, hakimu anaposikiliza ushahidi, haangalii ni mashahidi wangapi au aina ngapi za ushahidi zimeletwa mbele yake, bali ni ushadhidi gani una "state the matter beyond reasonable doubt".

Kwa mfano, polisi wote wakisema Daudi Mwangosi (Rest in Peace) aliuliwa na kitu chenye ncha kali, na madaktari wakathibitisha hivyo, tena wakaongea vituo vyote vya television, na magazeti yote yakaandika front page. Wewe utaamini? Pale nitakupokuonyesha picha tatu, hasa zile zilotelwa humu jamii forums. Bila shaka utaniambia photo shop na nimechanganyikiwa niliwahi kulazwa milembe etc. Na bila shaka kina mama watafanya maandamano kunipinga eti nina hela mimi? Tehe! Tehe!
 
Maana ya signature yangu ni hii, hakimu anaposikiliza ushahidi, haangalii ni mashahidi wangapi au aina ngapi za ushahidi zimeletwa mbele yake, bali ni ushadhidi gani una state the matter beyond reasonable doubt.

Kwa mfano, polisi wote wakisema Daudi Mwangosi (Rest in Peace) aliuliwa na kitu chenye ncha kali, na madaktari wakathibitisha hivyo, tena wakaongea vituo vyote vya television, na magazeti yote yakaandika front page. Wewe utaamini? Pale nitakupokuonyesha picha tatu, hasa zile zilotelwa humu jamii forums. Bila shaka utaniambia photo shop na nimechanganyikiwa niliwahi kulazwa milembe etc. Na bila shaka kina mama watafanya maandamano kunipinga eti nina hela mimi? Tehe! Tehe!
Nimekuelewa kidogo sana mara baada ya wewe kujieleza kwa kiswahili.Hata hivyo umetumia kiingereza kibovu na kamwe hakina maana uliyoielezea.Achilia mbali spelling error.

Kama una maanisha ushahidi unapimwa na wala hauhesabiwi,basi maneno uliyoyatumia ni wrong,sidhani kama kupima ni sawa na ku weigh.Labda ungetumia neno measured?Pia kwa taarifa yako,siyo "weighted" rather its weighed!kiswahili ni lugha changa ambayo bado haina misamiati mingi ama pengine hatuifahamu.Unaweza kusema "kupima uzito" lakini tafsiri yake kwa kiingereza ikawa tofauti.measurements vs weighing...

Huo mfano wa mauwaji ya Mwangosi(RIP),bado sijaelewa unamaanisha kitu gani?

Pia nadhani tusubiri Pasco ajibu maswali yake,ama kama unamsaidia fanya hivyo.Tuachane na mambo ya signature yako kwasasa.
 
Becareful when you think you are about to win...historia inaonyesha disappointments nyingi sana kwa watu wanaojiaminisha kuwa karibu washinde.

Well,nashukuru kwa kukubali kaushauri ketu.Kuwa ushirikina wako unaweza amua ufanyia "gizani " tukuite mchawi na ufaidi maslahi yake,au uufanyie hadharani tuuite "Uganga".

Kizuri ni kwamba mpo programmable.You cant win a war, without knowing you enemy very well lets alone being able to take on him.

----"kuna mzungu aliniambia acha watu wawaue wazungu sana,ila siku mzungu anapoteza akili na kuanza kuua basi huua kwa ufanisi sana"---

Same mentality, yai la kizungu, embe la kizungu. Wake up. Sio wazungu wote ni mapdre.
 
Same mentality, yai la kizungu, embe la kizungu. Wake up. Sio wazungu wote ni mapdre.
Inaonyesha huna uelewa wa kutosha kuweza kujadiliana hapa.Uelewa wako hauruhusu mjadala na wewe,ama hujapita huko nyuma kuona ni mambo gani na mijadala gani tunaiepuka?

Nicholas,huyu tuachane naye.Tusubiri hao wazee wenyewe,wakiingia mitini jumla puwa tu,lakini hii kitu tuachane nayo.
 
Last edited by a moderator:
Same mentality, yai la kizungu, embe la kizungu. Wake up. Sio wazungu wote ni mapdre.

Basi sema sio wote wana Nuclear, au sio wote nchi zao wana biological weapons?Sio wote wanaweza wakoroga waarabu wote kwa Facebook ,na you tube sio wote wanapeleka askari afghanistan ili kunoa na kuzifanyia majaribio silaha zao.Sio wote nchi zao zimeweka hela nyingi sana kusoma tabia,tamaduni,imani na uimara wa jamii za watu duniani, sema sio wote wanaweka budget kubwa watu waingie kujitolea nchi nyingini ili waweze fanya tafiti za kiafya huku wakichukua DNA za watu....

Iam waking up when you are still sleeping...mtanyamazishana sana kwa kauli zenu za kujipa moyo kwa maneno na si kwa vitendo.
 
Huyo anaweza kusema "I'm weighting 5kgs" badala ya "I'm weighing 5kgs"

Huyu si mganga wa kienyeji ni mchawi huyu amekuja kuvuruga thread tu.
 
Nimekuelewa kidogo sana mara baada ya wewe kujieleza kwa kiswahili.Hata hivyo umetumia kiingereza kibovu na kamwe hakina maana uliyoielezea.Achilia mbali spelling error.

Kama una maanisha ushahidi unapimwa na wala hauhesabiwi,basi maneno uliyoyatumia ni wrong,sidhani kama kupima ni sawa na ku weigh.Labda ungetumia neno measured?Pia kwa taarifa yako,siyo "weighted" rather its weighed!kiswahili ni lugha changa ambayo bado haina misamiati mingi ama pengine hatuifahamu.Unaweza kusema "kupima uzito" lakini tafsiri yake kwa kiingereza ikawa tofauti.measurements vs weighing...

Huo mfano wa mauwaji ya Mwangosi(RIP),bado sijaelewa unamaanisha kitu gani?

Pia nadhani tusubiri Pasco ajibu maswali yake,ama kama unamsaidia fanya hivyo.Tuachane na mambo ya signature yako kwasasa.

JMUSHI1, POLE SANA NDUGU YANGU. HIYO LUGHA IPO KISHERIA ZAIDI NA HAPA SIO MAHALA PAKE. LAKINI HEBU TAFUTA HATA MWANAFUNZI WA SHERIA WA MWAKA WA KWANZA ANAWEZA KUKUSAIDIA.

Naona umedandia Pikipiki kwa mbele.
 
Nipo and will leave no stone unturned. Nitajibu yote!.

P.
Aliyepo hapa hadi usawa huu ni mganga wa kienyeji,we nadhani unasoma tu.

Jibu moja moja kwanza usizikusanye,maana utakapojibu,unaweza kujikuta either hujajibu,ama kuongeza utata na maswali mengine.I'm keenly waiting for your answers.
 
JMUSHI1, POLE SANA NDUGU YANGU. HIYO LUGHA IPO KISHERIA ZAIDI NA HAPA SIO MAHALA PAKE. LAKINI HEBU TAFUTA HATA MWANAFUNZI WA SHERIA WA MWAKA WA KWANZA ANAWEZA KUKUSAIDIA.

Naona umedandia Pikipiki kwa mbele.
Weighted ni lugha ya kisheria?
 
Kwanini hukuijibu wakati "unaijibu"?Ama umefanya kitu gani mkuu?maswali hayo ni magumu kiasi hicho?ama huamini on what you're preachin?
Niko mobile, maswali yanataka detailed answer. Naweza kujibu hoja zinazohitaji short answers only!.
 
huyo anaweza kusema "i'm weighting 5kgs" badala ya "i'm weighing 5kgs"

huyu si mganga wa kienyeji ni mchawi huyu amekuja kuvuruga thread tu.

i like when you talk with examples. Now go down oxford english dictionary and find out the difference btn those synonyms; weighted v/s weighed? Tehe! Tehe! Usipige kelele eti umebwaka chumba cha gesti.
 
chadema imeonyesha fikra mbadala ambazo zimeonyesha mwanga wa matumaini kwa watanzania waliochoka kwa dhiki na tabu nyingi.............
 
i like when you talk with examples. Now go down oxford english dictionary and find out the difference btn those synonyms; weighted v/s weighed? Tehe! Tehe! Usipige kelele eti umebwaka chumba cha gesti.
Usilete hayo maneno ya kubakwa chumba cha gesti hapa si pahala pake,kwasababu nikikuripoti unaweza limwa ban maana ndo unapoelekea.

Haujui maana ya maneno unayoyabandika,huna umakini wowote,sasa kwasababu unatolewa nishai,unaleta hasira na maneno machafu.

Nimekuuliza weighted ni neno la kisheria?jibu hilo swali!si ulisema ni maneno ya kisheria?
 
Inaonyesha huna uelewa wa kutosha kuweza kujadiliana hapa.Uelewa wako hauruhusu mjadala na wewe,ama hujapita huko nyuma kuona ni mambo gani na mijadala gani tunaiepuka?

Nicholas,huyu tuachane naye.Tusubiri hao wazee wenyewe,wakiingia mitini jumla puwa tu,lakini hii kitu tuachane nayo.

yeah Jmushi..Hawa wanadhani wanapoambia tusiaendekeze kila kitu cha mzungu basi ni kujisahau na kusema kila kitu kirahisi.muulize dream car yake itakuwa imetoka wapi?Au ni nyumbu?Hawezi jua kwanini kwanini kanchi kama Finland kametafsiri vitabu vya lugha nyingine kuja zao zaidi ya jumla ya vitabu vyote ambavyo nchi za kirabu na africa wameweza tafsiri.Ndio maana Nyerere alilianzisha ila serikali dhaifu haijaliendeleza.

Wenzetu wamewekeza kuijua dunia na nje ndani.wana common understanding ktk mambo ya msingi.Na maneno wayatumiayo katik press au hata speech za kawaida yanapeleka hidden meaning sana.Ni kama lugha ndani ya lugha. Hapa kwetu kama hata nchimbi hakuweza itafsiri sms text ya Slaa hadi kuishia kutumika kama chombo cha kuisafisha CHADEMA.SI hatari hii.Ile msga wenye akili wameilewa ila CCM wote na mawaziri wao hawakuilewa na wala hawakuigopa.Morogo Slaa alitoa hints(kuwa CCM waliandaa vijana na silaha kudhuru watu katika mikutano ya CDM) ila CCM hawakutahidi zuia pasitoke kifo na mbaya zaidi aliyeuwawa ni muuza magazeti.Sasa hizo ni lugha wenye akili huzielewa na wajinga huweza tumwa na aduizao na wakaifanya kazi kwa bidii bila kujua wanatumika.

Siwezi shangaa CCM kwani hata wakipewa hela za kufanya utafiti kujua saikolojia ya jamii ya kitanzania bado watakula hela na kupika data.Hata wakipewa hela waanze ichunguza na kuisoma CDm bado waakula hela na kupika data huku wakijipa natumaini kuwa wanaijua CDM, wanawajua watanzania.
 
Back
Top Bottom