RaiaMbishi,Kwa upande mmoja, iwapo Lowassa atateuliwa kuwa mgombea, Chama kitameguka kupitia watu kama kina Sitta, Membe, Mwakyembe, Nape, Mwandosya, Salma Kikwete, Ridhiwani, Mengi na wafuasi wao mbalimbali ambao watahamishia nguvu zao kwa chama kingine cha upinzani.....
Wewe kaa tu usubiri press conference mapema mwaka 2015 akiwa mzima na sisi tukiwa wazima, kama njia yako ya kujihakikishia kwamba atagombea;Hapo kwenye RED:
Mada yako inaweza ikawa na malengo mazuri lakini hoja zake ni KAPUT na kama sivyo hivyo basi zitakuwa ni hoja za KIUDAKU na ama siyo za kiudaku basi wewe utakuwa ni Lowassa au mtu aliye karibu sana na Lowassa.
Utajenga vipi hoja kwa jambo ambalo halipo?. Kwani Lowassa katangaza kuwa atagombea na zaidi kabisa, hujasema kile atakacho gombea.
Tangia ya Kibanda yamkute yaliyomkuta, Pasco hana ujasiri tena kwani anahitaji macho yake kushuhudia uchaguzi wa 2015 na meno yake kutafuna ndafu kusheherekea ushindi wa CCM au Chadema kutegemeana ataegemea wapi;RaiaMbishi,
Kwenye italic nyekundu umekosea Big Time! Nakupa dondoo ndogo tu hapa chini kwa snap shot za tweet za Mengi ukishindwa kuelewa muulize Pasco wa JF
Humu kuna wajuvi wa mambo na mahayawani......kama wewe sio hayawani nionyeshe ni wapi Lowassa kasema anagombea urais 2015?
Hicho ndicho nilikuwa ninakitaka kiwe msingi wa hoja yako kuliko kuanza kujadili kitu ambacho hatufahamu kama kitatokea.Wewe kaa tu usubiri press conference mapema mwaka 2015 akiwa mzima na sisi tukiwa wazima, kama njia yako ya kujihakikishia kwamba atagombea;
cha msingi wajiandae tu kukabidhi madaraka kwa wananchi.Kwa upande mmoja, iwapo Lowassa atateuliwa kuwa mgombea, Chama kitameguka kupitia watu kama kina Sitta, Membe, Mwakyembe, Nape, Mwandosya, Salma Kikwete, Ridhiwani, Mengi na wafuasi wao mbalimbali ambao watahamishia nguvu zao kwa chama kingine cha upinzani.
Kwa upande mwingine, iwapo Jina la Lowassa litakatwa na sekretarieti ya Kamati Kuu ya CCM katika hatua za awali, Chama kitameguka kupitia ushawishi wake mkubwa kwenye NEC, UWT, UVCCM, "Wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa", na marafiki zake nchi nzima wenye mafanikio kibiashara ambao ndio wafadhili wakubwa wa CCM katika maeneo yao.
Maswali muhimu yanayofuatia ni je:
a) Mpasuko upi ni nafuu kwa CCM? Kwanini/kivipi?
b) Mpasuko upi ni kheri kwa Chadema? Kwanini/kivipi?
Humu kuna wajuvi wa mambo na mahayawani......kama wewe sio hayawani nionyeshe ni wapi Lowassa kasema anagombea urais 2015?
Mwenye macho haambiwi tazama.Humu kuna wajuvi wa mambo na mahayawani......kama wewe sio hayawani nionyeshe ni wapi Lowassa kasema anagombea urais 2015?