Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

Wakimweka lowasa njia nyeupe kwa upinzani wacheni wamichanganye hatutakubali wangoa kucha tena
 
Mkuu Baba Rey, karibu jf!.
Hii ndio posti yako ya kwanza, na ile thanks yako ya kwanza ndio imetoka kwangu!.

Kwa vile aliyetajwa pia zimewekwa na sababu, ukipinga weka pia na sababu!, sio kusema tuu "napinga!"
P.
 
Mkuu Baba Rey, karibu jf!.
Hii ndio posti yako ya kwanza, na ile thanks yako ya kwanza ndio imetoka kwangu!.

Kwa vile aliyetajwa pia zimewekwa na sababu, ukipinga weka pia na sababu!, sio kusema tuu "napinga!"
P.

Nataka kujiunga kambi yako Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Baba Rey, karibu jf!.
Hii ndio posti yako ya kwanza, na ile thanks yako ya kwanza ndio imetoka kwangu!.

Kwa vile aliyetajwa pia zimewekwa na sababu, ukipinga weka pia na sababu!, sio kusema tuu "napinga!"
P.

Nataka kujiunga kambi yako Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Pasco, kama huo ukweli halisi unaouzungumza una mfeva Lowasa basi wewe tayari ni shabiki wake, kuwa shabiki wake sio lazima uwe mwana CCM, unaweza ukawa mwanaCHADEMA au ukawa sio mwana chama wa chama chochote cha siasa.
Mkuu Mjuni Lwambo, kuna kitu kinaitwa "facts", ukieleza kitu ambacho ni facts, unabaki neutral!. Mfano JK ndiye rais wa nchi. Yeye ndiye rais wako, rais wa Dr. Slaa, rais wa Mbowe, rais wa wote. Kumtaja JK kuwa ndio rais sio kumfeva ni stating the facts! hivyo sio shabiki wake!.
Mimi sio shabiki wa EL bali nimetoa facts kuhusu uwezo wake!, na kusema hakuna wa kushindana naye ndani ya CCM na nje ya CCM!, this is a fact na sio ushabiki!.
P.
 
Lowasa HAFAI KUWA RAISI inanisikitisha sana kuona watanzania kuish bila FIKRA lowasa nimpenda fedha angalien tu mambo yake kisha MKIFIKIRI mtakubaliana na mimi hii nchi mwishowe hata WABAKAJI watakuja kuwa marais TUSIPO Fikiria Huyu lowasa alituibia fedha Zetu leo tunataka kumpa lowasa refer Kwenye LIST OF SHAME ambayo haikukanushwa hadi leo.
 
Lowassa ataivunja nchi. Ni heri yeye keshakuwa tajiri hata kama kwa kutokana na raslimali zetu.
 
Jambazi yule tena fisadi mkubwa sana hastahili kupewa nchi kwa namna yoyote ile lakini mabilioni yameshaandaliwa ili kumwagwa kama rushwa naye anunue Urais 2015 kama alivyonunua DHAIFU 2005 na kuchukua nafasi ambayo ilithibitika miaka mingi kwamba haiwezi hata chembe.

Lowassa ataivunja nchi. Ni heri yeye keshakuwa tajiri hata kama kwa kutokana na raslimali zetu.
 
Akisimamishwa Lowassa hata usumbufu wa kumnadi haupo,mazishi ya CHADEMA mchana kweupee. Napenda kusema kwamba awamu ijayo hatuchangui chama tunachangua "MAAMUZI MAGUMU"
 
CCM ni chama kikongwe sio tu hapa kwetu TANZANIA ila hata kwa bara letu la Africa kimebakia kuwa ni chama adhimu kati ya vyama vilivyowaletea wananchi uhuru kutoka kwenye utawala wa Wakoloni.
Kwa bahati mbaya sana CCM kimepoteza mwelekeo na Imani ya kuendelea kuwaongoza Wananchi wake.Mambo yanayokifanya chama hiki kikongwe kipoteze mvuto kwa UMMA ni pamoja na kushindwa kuidhibiti ama kuiondoa kabisa Rushwa,Kutotimiza baadhi ya Ahadi zake muhimu walizoadi wakati wa Kampeni Viongozi walioko madarakani, Mfano:-MAISHA BORA KWA KILA MTZ,UNUNUZI WA MELI MPYA TATU (3) Ziwa Victoria,Ziwa Tanganyika na Ziwa Nyasa na UJENZI WA RELI KWA MATUMIZI TRENI IENDAYO KASI KUTOKA DAR HADI MWANZA.
Pamoja na chama hiki kikongwe kuendelea kuonesha ni kweli kimezeeka sana hata kukosa uwezo wa kuzuia mfumko wa bei kwa bidhaa za Mafuta (Petrol na Disel),Vyakula na Bidhaa za Ujenzi.
Lakini chama hiki bado kinajipiga kifua na kujinadi kwa Wananchi kwamba Kitabakia madarakani kwa miaka mingi ijayo.
Tumebakiwa na mwaka moja tu na miezi michache tuingie tena kwenye Uchaguzi Mkuu unaolenga kupata Madiwani,Wabunge na Rais.Dalili zoote zinaonesha wazi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI kuna fukuto la Moshi la kuashiria mbio za Urais zilishaanza kitambo-Hakuna wakupuuzia dalili hizo la awe mwendawazimu peke yake.Mara utasikia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.Benard Membe anatajwa naye yumo kwa wasaka tonge kupitia Urais!!!
Siku za hivi karibuni kwa WANAOWANIA URAIS kasi yao ya kujitambulisha wazi yenye nia ya kujijenga ama kujiimarisha ndani na nje chama imeongezeka sana hasa kwa Mh.January Makamba na Mh.Edward Lowassa.Je! nani ataibuka mbabe ndani ya CCM mpaka mwisho? Ni AshaRosse Migiro ama Emmanuel Nchimbi? Muda una majibu sahihi.Hata mambo mema na mabaya tujifunze kuyapa wakati siuze wasaka Urais? Kila kitu kitakuwa dhahiri Pumba na Ngano vitabainika.
Wakati CCM imeziba masikio kana kwamba hakujawahi kutokea Ufisadi uwao yote kwenye Nchi hii kwa kuruhusu baadhi ya Vigogo kuendelea kukaza msuli wa kuijiimarisha ili kutafuta uhalali wa kuja kupigiwa KURA yakuwaidhinisha KULA.
Upande wa pili kwa Wapinzani hasa CHADEMA chama kikuu cha Upinzani wao wako kwenye mambo yafuatao:- 1.Kusalitiana ndani ya chama na kuuondoa usaliti huo. 2.Kuimarisha Chama kote Nchini.3.Kuendelea kujizalisha (Ongezeko la Wanachama na Wakereketwa) kuanzia ngazi ya Shina, Tawi, Majimbo hadi Taifa.
CHADEMA kimetabiriwa kufa sio jana na leo tu,mara kadhaa watabiri wengi wameibuka kutokea chama Tawala(CCM Mf.Mh.S.Wassira,) Nakujinadi kwa jamii yote kupitia vyombo vya Habari eti haitafika June 2013 CHADEMA ITAKUWA IMEKUFA. Pamoja na mautabiri yote hayo tunashangaa kuona CHADEMA Ya akina Dr.Slaa, Mbowe,Tundu Lissu, Mnyika, Prof.Abdala Safari,Halima Mdee,G.Lema na wengine wengi bado CHADEMA kinapumzi ya uhai ya kutosha kukabiliana na CCM KWENYE UCHAGUZI MKUU WA 2015.
Shutuma za mikakati na mbinu chafu zakuiua CDM zinaelekezwa noja kwa moja kwa CHAMA CHA MAPINDUZI NA IDARA YA USALAMA WA TAIFA (TISS).
PAMOJA NA HAYO YOTE LEO NATAKA NISEME KIDOGO JUU YA VIGOGO WAWILI NA WANASIASA WA MUDA MREFU HAPA NCHINI;Yaani MH. EDWARD LOWASSA NA DR.WILBROAD SLAA:- Hawa wote wanatumia njia moja ya kujieneza kwa Jamii ya Watanzania,(Tofauti yao ni mmoja anajieneza kwa bidii yake mwenyewe bila ya suport ya chama chake na Mwingine anajieneza kupitia chama chake ili kuifikia Nguvu ya Umma)
Bila kupuuza Mh.Eddo Lowassa anatambua sana umuhimu wa rasilimali watu, amewafikia misikitini na makanisani,anao watu Jeshini,tiss,wakuu wa Mikoa na Wilaya hata kwa watu wa rika zote utasikia Lowasaa anasifiwa kuliko anavyoshambuliwa kuwa ni Fisadi,CCM WAKIMWEGUA MAPEMA INAHOFIWA HUO NDIO UTAKUWA MWISHO WA CCM MAANA Mh.Lowassa ataondoka na kundi kubwa Kuhamia CHADEMA au kwenda chama kingine kipya kitakachokuwa kimeanzishwa mapema 2014.
Hakuna ubishi Dr.Slaa anakubalika sana kwa misimamo yake iliyo thabiti na kwa utendaji wake uliotukuka.MH.LOWASSA NA DR.SLAA WOTE NI WACHAPA KAZI NA WOTE WANATOKA WANATOKA KASKAZINI.
Ikitokea wote wawili kila mmoja akasimamishwa ili kupeperusha Bendera ya chama chake NANI ATAIBUKA KUWA MSHINDI NA KUWA RAIS WA JMT???
Nawasilisha kwenu wana JF.
 
Watanzania hatutaki fisadi, wameshaongoza kwa muda mrefu bila mafanikio, sasa ni wakati wa Dr.Slaa ndio Rais wa watanzania ajaye labda mjiandae kuiba kura kama last time.
 
Hatuwezi kumtenga mtu na chama chake katika ishu ya uongozi,hili swali lako ni sawa na kulinganisha CHADEMA VS CCM nafikiri jibu lipo wazi

Nimekujibu hivyo kwasababu CDM hatuna watu bali tuna taasisi ama chama na hivyo hatuna majina ya watu mmoja mmoja tuna majina kama timu.
 
Nyerere alishamumaliza Lowasa na Kikwete. Tukakiuka kwa kikwete sasa tukijaribu tena kwa Lowasa, mhh mimi nitahamia Ghana
 
Back
Top Bottom