Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

okey mkuu lowasa ni mwadilifu sana.

Ndio ni muadilifu.Hana historia ya kushtakiwa kwa mahakamani hata mara moja kwa kutumia vibaya madaraka yake. Wala hana tuhuma za ubadhirifu zilizodhibitishwa popote pale zaidi ya porojo za mitaani. Ni dhahiri kuwa kumlinganisha padri muasi na Mtu wa watu Lowassa ni sawa na kulinganisha Mlima Kilimanjaro na kichuguu.
 
WOTE HAPA JF MNAKURUPUKA TU HAMTAKI KUREJEA MAMBO YA MSINGI. NAULIZA TENA HILI KWA MARA YA MWISHO MAANA KADRI LINAVYOKWEPWA KUTOLEWA JIBU SAHIHI LINAENDELEA KUBAKI VILE NA BAADAYE LITAANDIKWA KWENYE VITABU VYA HISTORIA YA TZ....EDWARD LOWASSA NI WAZIRI MKUU aliyejiuzulu AMA mstaafu!?!?!?
Lowasa aliachia kiti cha Waziri Mkuu kwa kulazimika na si kustaafu kama Mawaziri Wakuu wengine ktk Historia ya TZ. Lakini cha Kushangaza kwa sasa kinachoendela kila anapotajwa ama kuandikwa wanasema ni MSTAAFU. Si waandishi na wasomi waliobobea bado wameshindwa kulibainisha hili na ndo sababu bado ansota kuja kututawala kama Rais!!!! MAJANGA
Nasema hili mara ya mwisho tuwatayarishieni watoto wetu historia sahihi na Tz yenye amani kama tulivyoikuta.
 
Ndio ni muadilifu.Hana historia ya kushtakiwa kwa mahakamani hata mara moja kwa kutumia vibaya madaraka yake. Wala hana tuhuma za ubadhirifu zilizodhibitishwa popote pale zaidi ya porojo za mitaani. Ni dhahiri kuwa kumlinganisha padri muasi na Mtu wa watu Lowassa ni sawa na kulinganisha Mlima Kilimanjaro na kichuguu.
uasi wake ulipelekwa mahakamani huyu padre mkuu?
 
Kuwalinganisha hao ni sawa na kuruka Geti na kukanyaga Mlinzi kila Mmoja ana sifa zake kwa wakati wake!
 
wote hawafai hao Rais bora kwa sifa zote ni katika wafuatao
  • January Makamba
  • Dr Huseein Mwinyi
  • Prof Lipumba
  • George Kahama Jr
  • Zito Kabwe
  • Rose Migiro
  • Amani Karume
  • B.Membe
 
lowassa fisadi mkubwa anataka uraisi wa nn DR SLAA ndo raisi mtarajiwa
 
Hivi bila Lowassa hii inchi haiwezi kujiendesha? Kati ya watu 40m hakuna kiongozi hadi kila siku muongelee huyo Fisadi wenu? Tumechoka na hatutaki watu wasio kuwa na uelewa mambo kama ww.
 
Acha kumdhalirisha dr.wa ukweli kipenzi cha watz na hilo jizi la rasilimali zetu!
 
Matanzania majinga kweli.
Nyie hamjui huu ni mchezo mnachezewa?!
Mwisho wa siku January atajitoa afu atasema kura zote apewe Lowasa.
Tatizo lenu mnadhani kuna bifu lolote apo.
 
Nilimchukia sana alipopata kashfa ya ufisadi mwaka ule, ufisadi uliopelekea ajiuzulu. Baada ya kumfuatilia sana nimegundua kuwa Lowasa ndiye mtu sahihi wa kumpa kura yangu ya Urais mwaka 2015.
 
Back
Top Bottom