Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

Kama kuna kosa ambalo sitakaa nitubu ni la kumchukia adui yangu edward lowasa.namchukia kwa sababu:
1)alikuwa ni mwanamtandao uliomsaidia mr. Walker kuingia ikulu- na nchi imeyumba sana ktk uongozi wake. Watu wanauawa hovyo na jwtz+polisi huku amekaa kimya. Anajipendekeza na kuwatukuza wamarekani kuliko waafrika majirani zetu! Simpendi kikwete- simpendi lowasa.
2)ana uchu wa madaraka.nd'o maana anashinda makanisani na misikitini akihonga waumini ili apate urais 2015.
3)ana tamaa mbaya ya pesa. Na yuko radhi kusaini mikataba feki(richmond)yenye athari mbaya kwa uchumi wa taifa na raia ilimradi apate pesa! El ni mtu hatari sana, sitaki awe rais.
4)ni zaidi ya fisadi
 
Sitamani hata kusikia EL akizungumziwa kuwa rais wa Nchi hii.
 
Mleta tread hafai kabisa hata kwenye jamii.......... huyo EL anakuja kufia madarakani hata ukimuuliza mdogo wako wa miaka 10 sasa kuhusu EL atakwambia yule aliye jiuzilu kwa kashifa ya RICHMOND? sasa Pasco anafanya impersonation huku kila mtanzania ana mtazamo wake na issue ya EL inatutafuna hadi sasa na kesho na kesho........ watu wasomi wenye uwezo wapo wengi .............kwani uongozi ni nini? "you get everything done through the efforts of others people' baada yakua umepanga safu yako vizuri.
 
mleta mada umelipwa kiasi gani kutuletea uzi mrefu hivi usio na hoja,kwangu mimi lowasa ni shetani ambae hata ukimpaka rangi hapendezi!
 
El angekua mtu mwema na anatakia mema nchi na jamii kwa ujumla,angeweka ukweli wa mambo hadharani,kufichaficha vitu ndio kunatugharimu watanzania...
 
Hii sio nchi ya majaribio, inayakoroga unakwenda for good, watu wapo wengi sana hatuwezi kura matapishi ya bunge na rais
 
Mwigulu Nchemba ndiye anayeandaliwa kuwa rais wa nchi katika uchaguzi ujao!
 

Chuki ndio inakusumbua sana na hoja zako ni mfu kijana...
 

El ana uwezo wa kuongoza na kwa sasa mtu kama Lowasa Tz hii hakuna. Hata tukipinga ukweli tunaujua
 
El angekua mtu mwema na anatakia mema nchi na jamii kwa ujumla,angeweka ukweli wa mambo hadharani,kufichaficha vitu ndio kunatugharimu watanzania...

Ataweka wazi ngoja time zisogee kidogo. Cku ambayo watz mtamwaga chozi the way mmeibiwa
 
Mkuu umenena vema,na hapa ndo wameshikwa pabaya,wamweke EL awalipe kisasi au wamweke mwingine
waandike historia muhimu kwa watanzania wote,hii ndo inaitwa ''ukimeza nchale uchitema nchale''
 
Pasco kwa hiyo ndani ya chama cha ccm unaona wanachama wote wana akili ndogo ya kuongoza kuwa raisi ,je unamkumbuka yule bwana mdogo wa mheshimiwa sana aliyetamka pasipo kumumunya maneno kwamba raisi ajaye atatoka kaskazini.edo ni mtendaji sana namkubali ila shida yake tamaa
 
Lowassa ndo anayefaa. Tunataka rais anayethubutu kufanya mambo. Mnaosema ni fisadi jiulizeni Obama alikuja kukagua nini Ubungo?
 
Mkuu mmaranguoriginal, kwanza karibu jf!. Sijazungumzia popote kuhusu akili kubwa au ndogo!, nimezungumzia uwezo!. Kwa sasa hapa nchi ilipofikia, kwa uwezo na track record, ndani ya CCM hakuna mpinzani wala mshindani, he is the one and only best they have!.

Tatizo la CCM, huwa halimchagui the best!. Wasisitize na wamarangu wengine wote hata walio katika kile chama cha wachagga kuwa akisimamishwa huyu, anairudisha ile posti ya Mangi Mkuu!.
Happy New Year.
Pasco
 

kiongozi pasco upo? mbona mmaranguoriginal anakukuchanganya na paskali? mwambie a google vizuri,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…