BABAAKUBWA
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 120
- 27
Kama kuna kosa ambalo sitakaa nitubu ni la kumchukia adui yangu edward lowasa.namchukia kwa sababu:
1)alikuwa ni mwanamtandao uliomsaidia mr. Walker kuingia ikulu- na nchi imeyumba sana ktk uongozi wake. Watu wanauawa hovyo na jwtz+polisi huku amekaa kimya. Anajipendekeza na kuwatukuza wamarekani kuliko waafrika majirani zetu! Simpendi kikwete- simpendi lowasa.
2)ana uchu wa madaraka.nd'o maana anashinda makanisani na misikitini akihonga waumini ili apate urais 2015.
3)ana tamaa mbaya ya pesa. Na yuko radhi kusaini mikataba feki(richmond)yenye athari mbaya kwa uchumi wa taifa na raia ilimradi apate pesa! El ni mtu hatari sana, sitaki awe rais.
4)ni zaidi ya fisadi