Kuelekea 2025: Kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri

Ungeweka ushahidi badala ya kuandika pumba Kwa sababu una chuki na Samia
Ila nadhani Una mtindio wa ubongo. Hakuna mwenye akili timamu asiyeiona rushwa kwenye chaguzi za CCM. Hata Sasa wanaojipitisha toka CCM wanagawa hela bila aibu Kwa wapiga Kura na viongozi ngazi zote. Ni mwehu atakayekanusha hili. Hapo unasubiri Samia aseme kuna rushwa kwenye Uchaguzi ndo na wewe uje ukiri rushwa ipo. Chicken head wanasubiri kauli toka juu.
 
Zikibahatika kuja na zikapitia kwenye mzunguko wangu!!aahhh nazipokea na nazitafuna Haswaa Mbona ni kamchango kakodi yangu!!!
 
Ila nadhani Una mtindio wa ubongo. Hakuna mwenye akili timamu asiyeiona rushwa kwenye chaguzi za CCM. Hata Sasa wanaojipitisha toka CCM wanagawa hela bila aibu Kwa wapiga Kura na viongozi ngazi zote. Ni mwehu atakayekanusha hili. Hapo unasubiri Samia aseme kuna rushwa kwenye Uchaguzi ndo na wewe uje ukiri rushwa ipo. Chicken head wanasubiri kauli toka juu.
Uwe unasoma na kuelewa sio kukurupuka kisengerema

Uchaguzi kwenye Vyama vya upinzani Kuna Rushwa Kwa taarifa yako
 
Kuna Wilaya viongozi wa CCM ngazi za kata na vijiji ndio mafisadi wanaohujumu miradi ya serikali. Na wanaaminika sana na wamewekwa katika kamati za ujenzi wa miradi (Madarasa na Vituo vya afya). Ni hatari, na hiyo wilaya imekaa kisiasa sana, mtumishi ukizingua unaazimiwa
 
Wadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri.

Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
ok sawa chadema...
 
Siku za nyuma ilikuwa mwenye Kisu kikali ndio mla nyama, ila siku hizi wananchi wameamka, unatoa rushwa na kura hupati.
kumbe wengi hamuwajui Wabongo!, Tshert, kofia na shibe ya siku 1, inamaliza kila kitu!.
P
 
Wadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri.

Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
Nani kakwambia ccm wanategemea sanduku la kura?....unachoona kama uchaguzi ni mazingira yakupata ya misaada tu
 
Wadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri.

Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
Huyu ofisi yake imejaarushwa ila huwa anapenda sana kusingizia ofis nyingiene
 
Wadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri.

Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
Serikali ipi ya ccm Ilikuwa safi
 
kumbe wengi hamuwajui Wabongo!, Tshert, kofia na shibe ya siku 1, inamaliza kila kitu!.
P
Kama tshirts, shibe na kofia ingekuwa zinawabeba ccm, tusingeona wizi wa kura na uhayawani wa wazi. Matumizi ya vyombo vya Dola kusimamia uharamia kwenye chaguzi, kutangaza matokeo yasiyo ya halali huwa inatokana na Nini? Hiyo ya rushwa unazosema ni kweli, lakini kwa sasa Yana matokea hafifu kuliko hujuma nyingine za wazi kabisa.

Siku ccm wataamua kutegemea rushwa Peke yake na kuacha njia nyingine kubwa zinazowabeba kwa sasa, hawatakuwa na uwezo wa kupata 50% ya kura zote, na hawatakaa waweze kupata tena, kwani ccm sio chama Cha kizazi hiki.
 
Mhe. Rais kwa suala la RUSHWA KIRI wazi kuwa umeshindwa. Mbona wakati wa Hayati Magufuli suala la rushwa ilikuwa kama historia.
 
Rushwa ipi ilikuwa wakati wa magufuli? Rushwa haimalizwi kwa kuzuia vyombo vya habari kuwa huru kutangaza habari hizo.
 
Back
Top Bottom