Hakuna uwanja wa kuhimili mashabiki wa simba na yanga hapo chugq, labda hiko kipya kikikamilika, huo wa karume ni wa timu kama.mashujaaKwanini hawa tusiwapeleke huko Arusha.
Mashindano ya Rolling stone ambayo iliwatoa watu kama kina nyoni yalikua mazuri.Nimetoka Chugastan miaka ishirini iliyopita nikimuacha Ally Mtumwa mwanaharakati mkuu wa mpira jijini hapo nasikia mpaka leo ndiye pekee aliye baki mpaka leo kusaidia mpira huko.
Mrisho Gambo akiwa mkuu wa Mkoa na sasa mbunge anahusika sana na udororo huo ,abishe tuje na facts and figures 😡
Kuna tofauti gani ya karume na uwanja wa Azam kwa capacity ya fans?Hakuna uwanja wa kuhimili mashabiki wa simba na yanga hapo chugq, labda hiko kipya kikikamilika, huo wa karume ni wa timu kama.mashujaa
Uwanja wa arusha ni mkubwa kuliko wa azam wazo zuri kupeleka wasudani arusha lakini halmashauri imeahatangaza msimu huu kununua timu ya ligi kuu kuweka makazi arusha so soon ligi itachezwa arusha mji mkubwa kama ule unastahili pilika pilika za kila siku good news pamba ya mwanza nayo imepanda ligi kuu so kwa majiji makubwa mwanza tayari wanayo bado arusha tu sasaKuna tofauti gani ya karume na uwanja wa Azam kwa capacity ya fans?
Mbona pale match zinachezwa kama kawaida.
Simba na Yanga zenyewe zilikua zinatumia huo uwanja kwa match zao.
Hiyo ni move nzuri kwa halmashauri , itachangamsha mji kuelekea Afcon.Uwanja wa arusha ni mkubwa kuliko wa azam wazo zuri kupeleka wasudani arusha lakini halmashauri imeahatangaza msimu huu kununua timu ya ligi kuu kuweka makazi arusha so soon ligi itachezwa arusha mji mkubwa kama ule unastahili pilika pilika za kila siku good news pamba ya mwanza nayo imepanda ligi kuu so kwa majiji makubwa mwanza tayari wanayo bado arusha tu sasa