Arsenal anaweza kukutana na yeyote kati ya timu za pili kasoro man city na PSG.Anaweza kukutana na Real Madrid,Bayern Munich,Sevilla,Benfica,Leverkusen au Porto.
Invisible au moderator yoyote mwingine unaombwa kuchanganya huo uzi ulioanzishwa leo wa draw ya uefa kwenye uzi huu.Huu ni uzi mama wa matukio yote ya uefa ya mwaka huu kama unavyojionesha....Aksante
Kama kawaida leo mechi za super 16 zinaaza.Benfica wanaikaribisha Dortmund na Barcelona ni wageni wa PSG.Mechi zote zitaanza 22:45 EATmuda mfupi ujao.Tuendelee kuwa pamoja
Messi amebakiza magoli 7 afikishe magoli 100 ya UEFA.Mpaka sasa mchezaji mwenye rekodi ya kufunga magoli mengi ya UEFA ni Christiano Ronaldo mwenye magoli 95.