Kuelekea Champions league final Millenium Stadium

Kuelekea Champions league final Millenium Stadium

Arsenal inahitaji kushinda 4 bila nyumbani ili ifuzu.I mean Arsenal wawe wanafunga wao tu golini kwa Neurer huku akina Alcantara wakishindwa kupata hata goli moja!
Labda kama walifungwa 4_1
Ndo wanahitaji kushinda 4_0
Lakin.kama n zle 5_1
Bhas na wao lazma
Wawarudishie bao zao 5_0
Ndo wafuzu
 
Labda kama walifungwa 4_1
Ndo wanahitaji kushinda 4_0
Lakin.kama n zle 5_1
Bhas na wao lazma
Wawarudishie bao zao 5_0
Ndo wafuzu
Arsenal akishinda 4-0 atakuwa amefuzu. Matokeo ya mwisho itakuwa 5-5. Kumbuka hapo Arsenal atakuwa anafaida ya kufunga goli ugenini, hivyo atakuwa na offer yabkupewa goli la ziada. Ila ukweli itakuwa ngumu sana kupata bao 4 huku wakiwazuia Bayern wasifunge hata bao moja.
 
Monaco na Falcao wao kama wamefungwa mota.
 
Hii mechi burdaani sana maana ni magoli tu hakuna njaa.
 
Labda kama walifungwa 4_1
Ndo wanahitaji kushinda 4_0
Lakin.kama n zle 5_1
Bhas na wao lazma
Wawarudishie bao zao 5_0
Ndo wafuzu
Jifunze vizuri sheria za goli la ugenini.Taratibu tu huku ukiweka kaumakini kadogo sana utaelewa.Mara nyingine sio kila kitu kirahisi kinaeleweka kwa urahisi
 
FT

Leverkusen 2 Atletico 4

Man city 5 Monaco 3
 
Kylian Mbappe introduces himself in world of Football....Dogo anaonekana atakuja kusumbua sana, ile kasi yake inanikumbusha Thierry Henry
 
Kylian Mbappe introduces himself in world of Football....Dogo anaonekana atakuja kusumbua sana, ile kasi yake inanikumbusha Thierry Henry
Yupo vizuri na wengi wanamfananisha na Henry.Mimi bado nampa muda
 
Leo ni

Porto v Juventus
Sevilla v Leicester
 
Full Time
Juventus 2 (Pjaca, Daniel Alves) Porto 0
Sevilla 2 (Sarabia, Correa) Leicester City 1 (Vardy)
 
Back
Top Bottom