Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cty kapotea njiaaLeo inaendelea tena ligi hii bora kabisa
Man city v monaco
Leverkusen anakubaliLeverkusen v Atletico madrid
Labda kama walifungwa 4_1Arsenal inahitaji kushinda 4 bila nyumbani ili ifuzu.I mean Arsenal wawe wanafunga wao tu golini kwa Neurer huku akina Alcantara wakishindwa kupata hata goli moja!
Arsenal akishinda 4-0 atakuwa amefuzu. Matokeo ya mwisho itakuwa 5-5. Kumbuka hapo Arsenal atakuwa anafaida ya kufunga goli ugenini, hivyo atakuwa na offer yabkupewa goli la ziada. Ila ukweli itakuwa ngumu sana kupata bao 4 huku wakiwazuia Bayern wasifunge hata bao moja.Labda kama walifungwa 4_1
Ndo wanahitaji kushinda 4_0
Lakin.kama n zle 5_1
Bhas na wao lazma
Wawarudishie bao zao 5_0
Ndo wafuzu
Jifunze vizuri sheria za goli la ugenini.Taratibu tu huku ukiweka kaumakini kadogo sana utaelewa.Mara nyingine sio kila kitu kirahisi kinaeleweka kwa urahisiLabda kama walifungwa 4_1
Ndo wanahitaji kushinda 4_0
Lakin.kama n zle 5_1
Bhas na wao lazma
Wawarudishie bao zao 5_0
Ndo wafuzu
Yupo vizuri na wengi wanamfananisha na Henry.Mimi bado nampa mudaKylian Mbappe introduces himself in world of Football....Dogo anaonekana atakuja kusumbua sana, ile kasi yake inanikumbusha Thierry Henry