Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,073
- 1,862
- Thread starter
- #41
HT
Benfica 0 Dortmund 0
Benfica 0 Dortmund 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenyewe wa mikeka wanasema "Barcelona amesepa na kijiji'Jamani mkeka wangu huku [emoji24] [emoji23] [emoji24] [emoji30] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji27] [emoji19] [emoji35]
Mkuu leo naamini dunia nzima mikeka imechanikaWenyewe wa mikeka wanasema "Barcelona amesepa na kijiji'
Lazima watakuwepo magaidi wachache waliyojilipua kwa kuwapa nafasi PSGMkuu leo naamini dunia nzima mikeka imechanika
[emoji23] [emoji23] hata hivyo mkuu watakuwa wameangukia kwa dortmund maana nae kanyolewaLazima watakuwepo magaidi wachache waliyojilipua kwa kuwapa nafasi PSG