Kuelekea Champions league final Millenium Stadium

Kuelekea Champions league final Millenium Stadium

Barcelona wanahitaji muujiza kuepuka kikombe hiki
 
Jamani mkeka wangu huku [emoji24] [emoji23] [emoji24] [emoji30] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji27] [emoji19] [emoji35]
 
Jamani mkeka wangu huku [emoji24] [emoji23] [emoji24] [emoji30] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji27] [emoji19] [emoji35]
Wenyewe wa mikeka wanasema "Barcelona amesepa na kijiji'
 
Tulipenda barca muende hata robo final lakini 16 imewapenda zaidi..tuonane mwakani tu maana hakuna namna tena
 
FT

Benfica 1 Dortmund

Pierre Aubamayang amekosa penati muhimu sana kwa Dortmund
 
Baada ya jana Barcelona kufundishwa soka na PSG leo kuna mechi zingine mbili

Arsenal v Bayern Munich
Real Madrid v SS Napoli
 
Vikosi vya tinu zote vinaingia uwanjani kuashiria muda umefika
 
Magolli 10 yaliyofungwa kwenye hiizo mechi mbili yalitosha kuzifanya Arsena na Napoli ziwe na nafadivfiny sana ya kundelea.
FT
Bayern 5 Arsenal 1
Real Madrd 3 Napoliv1
 
Chistian Ronaldo bado anaendelea kuwa na magoli yake 95 baada ya kutofunga goli.
 
Arsenal inahitaji kushinda 4 bila nyumbani ili ifuzu.I mean Arsenal wawe wanafunga wao tu golini kwa Neurer huku akina Alcantara wakishindwa kupata hata goli moja!
 
Leo inaendelea tena ligi hii bora kabisa

Man city v monaco
 
Back
Top Bottom