Kuelekea Champions league final Millenium Stadium

Kuelekea Champions league final Millenium Stadium

Draw itafanyika jumatatu ya tar 12 mwezi huu saa nane mchana za afrika mashariki.

Mshindi wa kwanza anacheza na mshindi wa pli.

Timu toka taifa moja hazikutani kwenye raundi hii.

Timu mbili kutoka kundi moja hazikutani kwenye raundi hii.
 
Mshindi wa kwanza atamalizia nyumbani mechi ya marudiano ya mtoano.
 
Tuangalie possibities za kukutana hapa chini.

Arsenal anaweza kukutana na yeyote kati ya timu za pili kasoro man city na PSG.Anaweza kukutana na Real Madrid,Bayern Munich,Sevilla,Benfica,Leverkusen au Porto.
 
Napoli anaweza kukutana na timu ya pili yoyote isipokuwa Benfica.
 
Barcelona inaweza kukutana na PSG,Benfica,Bayen munich,Leverkusen au Porto.
 
Atletico madrid inaweza kukutana na PSG,Benfica,Man city,Leverkusen au porto.
 
Monaco inaweza kukutana na yoyote isipokuwa PSG na Leverkusen.
 
Borrusia Dortmund inaweza kukutana na yoyote kati ya PSG,Benfica,Man City,Porto au Sevilla.
 
Leicester inaweza kukutana na yoyote isipokuwa man city na porto.
 
Juventus inakutana na yoyote isipokuwa Sevilla.
 
Matokeo ya draw ya leo
5396.jpg
 
Invisible au moderator yoyote mwingine unaombwa kuchanganya huo uzi ulioanzishwa leo wa draw ya uefa kwenye uzi huu.Huu ni uzi mama wa matukio yote ya uefa ya mwaka huu kama unavyojionesha....Aksante
 
Wanaoongoza kwa magoli mpaka sasa

Lionel Messi 10
Edson Cavan 6
Lewandoski 5
 
Kama kawaida leo mechi za super 16 zinaaza.Benfica wanaikaribisha Dortmund na Barcelona ni wageni wa PSG.Mechi zote zitaanza 22:45 EATmuda mfupi ujao.Tuendelee kuwa pamoja
 
Messi amebakiza magoli 7 afikishe magoli 100 ya UEFA.Mpaka sasa mchezaji mwenye rekodi ya kufunga magoli mengi ya UEFA ni Christiano Ronaldo mwenye magoli 95.
 
PSG team
PSG: Trapp, Meunier, Marquinhos, Kimpembe, Kurzawa, Verratti, Rabiot, Di Maria, Matuidi, Draxler, Cavani.
 
Di Maria anaiandikia PSG goli la kuongoza dakika ya 18.
 
Mamno yanazidi kuwa mazuri kwa PSG,Draxler anaiandikia PSG goli la pili dakika ya 40.
 
Back
Top Bottom