Kuelekea Dar Derby VPL Simba SC dhidi ya Yanga SC, One Touch Operation 3 Points

Kuelekea Dar Derby VPL Simba SC dhidi ya Yanga SC, One Touch Operation 3 Points

Exactly mkuu, Charles amesema Moro na Tariq hawatakuwepo sasa hata kama wakiwepo haisaidii kitu, watapigwa tu
Labda niwe nimemsikia vbaya mkwassa leo....kwenye press
 
Tuwe serious mkuu hivi ukiondoa yondani nani atapata namba simba?
Ukweli ni kwamba kwa sasa hakuna mkuu..Kwasababu huyo Moro na Sadney walifanya majaribio Simba wakafeli, na Niyonzima wameona hana jipya...!
 
Kwenye press kuelekea Derby..Kocha wa Simba Sven Vanderbroeck amesema wachezaji Miraji na Rashid wanakosekana (majeruhi)

Kocha wa Yanga Charles amesema Moro ana kadi tatu za njano na Tariq ni (majeruhi)

Wengine sijapata taarifa zao mkuu
Vpi D Nchimbi mbona hasikiki wala kumtupia kwenye picha zoezini? Au ndio bas tena na yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba kwa sasa hakuna mkuu..Kwasababu huyo Moro na Sadney walifanya majaribio Simba wakafeli, na Niyonzima wameona hana jipya...!
Lakini wao wanasema watufunga timu ambayo.....ata rashid juma ana namba ya kudumu
 
Wakubali tu saiv wanaokotana.....kama ndondo.
Haya naskia mcheza karate lamine hatokuwepo......
Mchezaji waliyemuokota mwingine sijui tariq naye.....hayupo.....
Kifo kinawahusu hawa kesho.
Kwa hyo umefuraaaahiiii kuona hao maninja hawatakuwepo? Yanga hawana mchezaji maalumu Wa kufunga wala kuokoa
 
IMG-20200103-WA0010.jpg
 
Nakumbusha tu, timu ya mwisho kuifunga Simba SC Uwanja wa Taifa ilikuwa Sevilla ya Spain..!One Touch SimbaNguvuMoja
 
Back
Top Bottom