Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Labda niwe nimemsikia vbaya mkwassa leo....kwenye pressHaraka zote zile ili awahi game na Simba, hatakuwepo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda niwe nimemsikia vbaya mkwassa leo....kwenye pressHaraka zote zile ili awahi game na Simba, hatakuwepo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuwe serious mkuu hivi ukiondoa yondani nani atapata namba simba?Exactly mkuu, Charles amesema Moro na Tariq hawatakuwepo sasa hata kama wakiwepo haisaidii kitu, watapigwa tu
Vpi D Nchimbi mbona hasikiki wala kumtupia kwenye picha zoezini? Au ndio bas tena na yeyeExactly mkuu, Charles amesema Moro na Tariq hawatakuwepo sasa hata kama wakiwepo haisaidii kitu, watapigwa tu
Vpi D Nchimbi mbona hasikiki wala kumtupia kwenye picha zoezini? Au ndio bas tena na yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini wao wanasema watufunga timu ambayo.....ata rashid juma ana namba ya kudumuUkweli ni kwamba kwa sasa hakuna mkuu..Kwasababu huyo Moro na Sadney walifanya majaribio Simba wakafeli, na Niyonzima wameona hana jipya...!
Kwa hyo umefuraaaahiiii kuona hao maninja hawatakuwepo? Yanga hawana mchezaji maalumu Wa kufunga wala kuokoaWakubali tu saiv wanaokotana.....kama ndondo.
Haya naskia mcheza karate lamine hatokuwepo......
Mchezaji waliyemuokota mwingine sijui tariq naye.....hayupo.....
Kifo kinawahusu hawa kesho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]R.I.P viti vya uwanja wa Taifa.
Nawaona wazee wa kujimwambafay. Hala hala tu na viti sababu hamchelewi hasa pale haya mnayoyatarajia yatakuwa kinyume.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Poa poa. Anza.
Nawaona wazee wa kujimwambafay. Hala hala tu na viti sababu hamchelewi hasa pale haya mnayoyatarajia yatakuwa kinyume.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Hahahaaa. Kesho ndio tutayajua yote Mtani.[emoji16]Nyuma kuna sufuria mtani