Kuelekea Dar Derby VPL Simba SC dhidi ya Yanga SC, One Touch Operation 3 Points

Kwa hyo umefuraaaahiiii kuona hao maninja hawatakuwepo? Yanga hawana mchezaji maalumu Wa kufunga wala kuokoa
Kwanini nifurahi mkuu....kwani huyo tariq mwanandondo.....
Na karateka lamine Moro wana kiwango gani?....
Huyo Lamine Morogoro....sijui....si alikuja kwetu kuomba kibarua tukamnyima kwenu dhahabu....
Mkuu ntajie mchezaji wenu anayeweza kupata namba kwenye timu namba kumi na sita kwa ubora Afrika SIMBA SC
 
Nothing new Mtani kila siku hoja zenu ni hizo za mwaka 47. Lol.

Najua mpaka mwakani mtakuwa mnazirudia rudia hizi hizi maana hamna kipya.
 
Nothing new Mtani kila siku hoja zenu ni hizo za mwaka 47. Lol.

Najua mpaka mwakani mtakuwa mnazirudia rudia hizi hizi maana hamna kipya.
Wakati sisi tukirudia hizo nyie mnarudia zipi mtani....lazima tuzirudie maana bado zipo....kuwa simba timu namba 16 kwa ubora Afrika inakwenda kucheza na magodoro fc....wanaosubiri kudra za mwenyezi Mungu kushinda
 
Oooh. Basi endelea kuzirudia rudia uzidi kupata amani ya moyo.

Nikukumbushe tu Mtani hizo unazoziita kudra za Mwenyezi Mungu katika kushinda ndio zitakazokulaza mapema kesho. Teh.
 
Oooh. Basi endelea kuzirudia rudia uzidi kupata amani ya moyo.

Nikukumbushe tu Mtani hizo unazoziita kudra za Mwenyezi Mungu katika kushinda ndio zitakazokulaza mapema kesho. Teh.
Basi.....tusubiri tuone swala asikimbie mtu humu kesho....
Mtafungwa mapema mkalalie magodoro yenu..magodoro fc...
 
Mnyama mkali Simba sc tafuna hao Mbute mbute

Simba nguvu moja
Simba bingwa 2019/2020
#onetouch
#operation3points
 
Swadakta..!NguvuMoja
 
Ukweli ni kwamba kwa sasa hakuna mkuu..Kwasababu huyo Moro na Sadney walifanya majaribio Simba wakafeli, na Niyonzima wameona hana jipya...!
Kwani nyie huwa mnajua wachezaji wazuri na wabaya? Si huwa mnaunda zengwe tu basi mnafukuza mchezaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…