Naona unajimwambafai mtaniHahahaaa. Kesho ndio tutayajua yote Mtani.
Najua hamtajibu quote zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unajimwambafai mtaniHahahaaa. Kesho ndio tutayajua yote Mtani.
Najua hamtajibu quote zangu.
Exactly mkuu, Charles amesema Moro na Tariq hawatakuwepo sasa hata kama wakiwepo haisaidii kitu, watapigwa tu
Huu uharibifu na upumbavu mikia msirudie
Kwanini nifurahi mkuu....kwani huyo tariq mwanandondo.....Kwa hyo umefuraaaahiiii kuona hao maninja hawatakuwepo? Yanga hawana mchezaji maalumu Wa kufunga wala kuokoa
Nothing new Mtani kila siku hoja zenu ni hizo za mwaka 47. Lol.Kwanini nifurahi mkuu....kwani huyo tariq mwanandondo.....
Na karateka lamine Moro wana kiwango gani?....
Huyo Lamine Morogoro....sijui....si alikuja kwetu kuomba kibarua tukamnyima kwenu dhahabu....
Mkuu ntajie mchezaji wenu anayeweza kupata namba kwenye timu namba kumi na sita kwa ubora Afrika SIMBA SC
Aaah hatutokuwa sisi kesho...nadhani mtakuwa nyie
Wakati sisi tukirudia hizo nyie mnarudia zipi mtani....lazima tuzirudie maana bado zipo....kuwa simba timu namba 16 kwa ubora Afrika inakwenda kucheza na magodoro fc....wanaosubiri kudra za mwenyezi Mungu kushindaNothing new Mtani kila siku hoja zenu ni hizo za mwaka 47. Lol.
Najua mpaka mwakani mtakuwa mnazirudia rudia hizi hizi maana hamna kipya.
Oooh. Basi endelea kuzirudia rudia uzidi kupata amani ya moyo.Wakati sisi tukirudia hizo nyie mnarudia zipi mtani....lazima tuzirudie maana bado zipo....kuwa simba timu namba 16 kwa ubora Afrika inakwenda kucheza na magodoro fc....wanaosubiri kudra za mwenyezi Mungu kushinda
Hiyo ni asili yako Mtani ngumu kuiacha.Aaah hatutokuwa sisi kesho...nadhani mtakuwa nyie
Basi.....tusubiri tuone swala asikimbie mtu humu kesho....Oooh. Basi endelea kuzirudia rudia uzidi kupata amani ya moyo.
Nikukumbushe tu Mtani hizo unazoziita kudra za Mwenyezi Mungu katika kushinda ndio zitakazokulaza mapema kesho. Teh.
Swadakta..!NguvuMojaKwanini nifurahi mkuu....kwani huyo tariq mwanandondo.....
Na karateka lamine Moro wana kiwango gani?....
Huyo Lamine Morogoro....sijui....si alikuja kwetu kuomba kibarua tukamnyima kwenu dhahabu....
Mkuu ntajie mchezaji wenu anayeweza kupata namba kwenye timu namba kumi na sita kwa ubora Afrika SIMBA SC
Kama Mwadui waliwazabua...sisi kina.nani tushindwe...Daima Mbele Nyuma Mwiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho unaweza ukaishia katikati kutangaza mpira humu. Au unaweza usitangaze kabisaSwadakta..!NguvuMoja
Hilo moja yanga watalipatia wapi?Simba 4 Yanga 1.
Tukutane uwanjani
Kwani nyie huwa mnajua wachezaji wazuri na wabaya? Si huwa mnaunda zengwe tu basi mnafukuza mchezaji?Ukweli ni kwamba kwa sasa hakuna mkuu..Kwasababu huyo Moro na Sadney walifanya majaribio Simba wakafeli, na Niyonzima wameona hana jipya...!