Kuelekea Dar Derby VPL Simba SC dhidi ya Yanga SC, One Touch Operation 3 Points

Kwan huyu refa anafanya nin

kelphin kepph
 
Yaan shambulizi linaendelea mpira unasimamishwa kha!?

kelphin kepph
 
W
Watu mnaishi kwa Historia eti hujui.....derby zinavyokuwa.....
Kila kitu kipo wazi kuwa yanga ni mbovu.
Mchezaji ametua juzi kesho anacheza afu unatarajia matokeo.
Wazee wa power bank Mungu anawaonaaa. Mshukuruni Mama kawanusuru kwa kipigo leo
 
Wakati sisi tukirudia hizo nyie mnarudia zipi mtani....lazima tuzirudie maana bado zipo....kuwa simba timu namba 16 kwa ubora Afrika inakwenda kucheza na magodoro fc....wanaosubiri kudra za mwenyezi Mungu kushinda
Naamini umeamini Mkuu. Bila shaka ulilala mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…