wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeanza
Nilichoka sana asee hapoYaan shambulizi linaendelea mpira unasimamishwa kha!?
kelphin kepph
Wazee wa power bank Mungu anawaonaaa. Mshukuruni Mama kawanusuru kwa kipigo leoWatu mnaishi kwa Historia eti hujui.....derby zinavyokuwa.....
Kila kitu kipo wazi kuwa yanga ni mbovu.
Mchezaji ametua juzi kesho anacheza afu unatarajia matokeo.
Hii hata mimi imenishangaza kwakweliYaan shambulizi linaendelea mpira unasimamishwa kha!?
kelphin kepph
Hahahahaaa. Una jingine Mtani?
😂😂😂😂😂Anayejua anajua tu, watapigwa hadi watafutane....One Touch Operation 3 Points Simba SC Nguvu Moja
Naamini umeamini Mkuu. Bila shaka ulilala mapema.Wakati sisi tukirudia hizo nyie mnarudia zipi mtani....lazima tuzirudie maana bado zipo....kuwa simba timu namba 16 kwa ubora Afrika inakwenda kucheza na magodoro fc....wanaosubiri kudra za mwenyezi Mungu kushinda
😂😂😂😂Leo Vyura watakutana na HORROR SHOW pale taifa kutoka kwa Mnyama Simba.
Simba nguvu moja
#OneTouch
#Operation3Points